Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Wazungu wanamsemo wao mashuhuri sana unaosema, there is no honor among thieves, wakimanisha kwamba wahalifu hawaheshimiani linapokuja suala la maslahi ama kugeukana. Sasa kwa watu wa namba tumeshaona uwezo wa Chadema kupewa ubunge kwa njia ya rushwa kama mlivyokubaliana na CCM ni kaburi la kifo.
Probability of an event inatoa majibu, ikiwa kwenye mitaa zaidi ya Elfu 4 mmebulia mitaa 36 vipi kwenye majimbo ya uchaguzi chini ya 300 mtapata Nini? Lissu alionya siasa zetu Sasa haziheshimu wananchi, haziheshimu wapiga kura, haziheshimu waasisi wa taifa hili tena kina Nyerere na karume.
Vijana wadogo kina Mohammed Mchengerwa wanaamua maisha ya watu kweli? Tuko serious ama tumerogwa? Hata hapo Rwanda, Uganda ama Somalia hakuna ujinga kama huu.