Pre GE2025 CHADEMA msipotumia akili huo mgao wenu wa Wabunge mlioahidiwa mtajikuta mmepewa Mbunge mmoja tena, achaneni na maridhiano

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mleta Mada, umeongea mambo ya msingi sana! Nionavyo vyama havijitambui, wananchi(raia) hatujitambui, sote tumekuwa kama wajinga! Inasikitisha sana. Sijui tunatoka vipi kwenye hili tope la aibu. Nchi yetu sasa hivi tumefika maali hatuwezi kushindana na mataifa jirani kwa sababu ya "cavalier attitude" tupo tupo tu!
 
Wakiachana na mariadhano, wafanyaje .?
 
Kwenye hayo makubaliano ndipo ulaghai ulioanzia, ngoja wavune walichopanda.
 
Kwa hiyo Baba jayaron umeamini leo kwamba yule mwenyekiti wa mkongwe wa chama pinzani ni kada kindakindani wa chama tawala - ingawa anajitahidi sana kuficha hilo kwa kupeperusha bendera ya Q-ba?
Sitaki kukubaliana na hilo ila naamini mfumo unaotumiwa na ccm sasa Tanzania hatujaamini kama unaweza ukatokeo Tanzania hivyo chadema walitakiwa wasimame na kujua namna ya kukabiliana na ccm ambayo ni kigaidi
 
Huyu babu na katili ni kijina mdogo?
 
Lissu hakauki jimboni, anaweka mazingira mazuri ya kuupata mgao
 
 
Huu ni unafiki, hata kuandamana tu watu hawatoki. Mara ngapi Lissu, Mbowe na viongozi wengine wamejitokeza lakn hakuna support kutoka kwa wananchi.

Upinzani wa kweli unaanza na wananchi sio viongozi. Viongozi hawawezi anza kushawishi watu wawe wapinzani.

Ila katika kundi la wananchi wapinzani watatoka viongozi.
 
Hiyo ahadi kwao ilitoka kwako?
 
🚮
Huyo ndiye muasisi wa huo uhuni na uovu wote unaotekelezwa sasa
 
Mmh!
 
Upi
Upinzani wa kweli ukoje mkuu?! Kwa mtazamo wako!
 
Watanzania ni wanafiki sana! Viongozi wa chadema wameshajitoa sana, kuwatetea watanzania ni kupoteza muda! Kila mtu aibe anavyoweza!
 
Mbowe asipokabidhi kijiti mapema hii kungali Bado na joto kigodo CHADEMA lazima imfie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…