Hawa wametoa hii habari kwa maelekezo maalumYakemeeni magazeti haya uchwara msiyape nafasi bila kukanusha upuuzi kama huu.
Content za mikutano yenu yote, Sauti mnazopiza kuhusu Katiba Mpya, wameona hili ndilo la kuwataarifu wananchi? Wakemeeni Erythrocyte
View attachment 2634029
CHADEMA is no more my furendiYakemeeni magazeti haya uchwara msiyape nafasi bila kukanusha upuuzi kama huu.
Content za mikutano yenu yote, Sauti mnazopiza kuhusu Katiba Mpya, wameona hili ndilo la kuwataarifu wananchi? Wakemeeni Erythrocyte
View attachment 2634029
Definitely, kazi kubwa ya kudai katiba mpya wanayofanya kwenye mikutano yote, wapuuzi hawa wameona hili ndilo la maana? washenzi wakubwaHawa wametoa hii habari kwa maelekezo maalum
Your wishesCHADEMA is no more my furendi
Hawapaswi kuyakemea, hawatakua na tofauti na CCM, wanachopaswa kufanya ni either kufafanua au kutoa msimamo, badala ya kuruhusu vyombo hivyo vitafsiri msimamo wao.Yakemeeni magazeti haya uchwara msiyape nafasi bila kukanusha upuuzi kama huu.
Content za mikutano yenu yote, Sauti mnazopiza kuhusu Katiba Mpya, wameona hili ndilo la kuwataarifu wananchi? Wakemeeni Erythrocyte
View attachment 2634029
nimesema wayakemee, sikusema wayakataze wasiandike, elewa mantiki! Mtu akisema uongo unaukanusha. Silence mens consentKumbe nyie jamaa nanyi mna vimelea vya kidikteta tu, siioni tofauti yenu na CCM kifikra, inaonekana wote mna muelekeo unaofanana.
Hayo magazeti hayayumbishi wafuasi, kauli mkingamo za viongozi wa chama ndizo zinayumbisha wafuasi, kama hata adui yako humjui basi huwezi kushinda vita.
ndiyo kukemea, siyo kuyakataza.........Hawapaswi kuyakemea, hawatakua na tofauti na CCM, wanachopaswa kufanya ni either kufafanua au kutoa msimamo, badala ya kuruhusu vyombo hivyo vitafsi mdimamo wao.
Mtu akisema UONGO unamkemea, ila humkatazi kuandika anachokiamini! Unamkemea asiandike uongo. Unamkemea asitunge uongo akauandikaHuoni kwamba CDM kuyakemea magazeti ni UDIKTETA?
Upo kwenye heat? Mbona hutulii?Yakemeeni magazeti haya uchwara msiyape nafasi bila kukanusha upuuzi kama huu.
Content za mikutano yenu yote, Sauti mnazopiza kuhusu Katiba Mpya, wameona hili ndilo la kuwataarifu wananchi? Wakemeeni Erythrocyte
View attachment 2634029
Haya ndio matamanio ya kila mwanaccm.CHADEMA is no more my furendi
Mkuu sipingi angalizo lao, lakini kulingana na uhuru wa vyombo vya habari huwezi kuwazuia kuandika wanachotaka. Ni juu ya CDM kusimamia wanachoamini. Hata hivyo wananchi wengi sio wasomaji wa magazeti. Na wanaosoma wanaweza kuelewa malengo ya kinachosemwa.Mtu akisema UONGO unamkemea, ila humkatazi kuandika anachokiamini! Unamkemea asiandike uongo. Unamkemea asitunge uongo akauandika