CHADEMA msipoyakabili/kuyakemea haya magazeti yatawayumbisha wafuasi wenu na kuleta mgawanyiko, yakemeeni

Hata Zitto Kabwe ilianzaga hivyo hivyo hadi Membe akamuonea huruma na kutaka kumpa Ubalozi wa Ujerumani
 
Tukemee kuandika uongo/hisia. Ukiandika UKWELI hakuna atakayekukemea. hata ukiandika positive UONGO utakemewa. Kwamba tanzania ni developed country, utakemewa kwa kuandika uongo ingawa ni "positive" post
TOKA UKOOO, UNATAKA TUKEMEE NA KUINGILIA WAANDISHI WA HABARI KWA KUWA WAMEANDIKA USICHOPENDA KUKISIKIA?? WAAACHENI WAANDISHI WA HABARI WAWE HURU, HIII NDIO URU WA KUONGEA. MAGAZETI YAYO YANGEANDIKA SHUTUMA JUUU YA CCM, UNGESHANGILIA SANAA. TULIENI WAANDISHI WAWE MAKINI NA WANACHOKIONA. HALAFU UNAWAKEJERI ETI WANAANDIKA HISIA? FUTAKAULI HIYO.
 
CHADEMA wanapenda kukosoa wenzao lakini wao hawataki kukosolewa. Wao ni malaika, watakatifu na wasafi, kila wanachokifanya ni sahihi, ukiwakosoa wanakupopoa, sio viongozi tu ni mpaka wanazi wao. Sijui siku wakishika dola itakuaje, tusije tukakosea.
 
Ndio uandishi wa habari wa ukanjanja, kuuza gazeti. Lisu anabainisha mapungufu katika maridhiano, huyu anesema wanapingana/wametofautiana. Kutofautiana siyo dhambi, ila si kweli mpaka leo hii, hawajatofautiana.
Sasa kama sio kutofautiana huko ni kitu gani kingine?

Wakati Mbowe yupo kwenye maridhiano, Lissu yupo barabarani anayapinga maridhiano, ndipo Mwananchi wakasema viongozi wanatofautiana, wewe unakuwa mkali kisa nini?!

Hiyo yako ni mihemko tu.
 
Hilo Gazeti siku hizi limechukua nafasi ya magazeti ya Musiba hakuna jipya hapo ni kulipuuza.
 
Sitashangaa mkisema mtalisusia hilo gazeti coz kuna kipindi mlitishia kususia mtandao fulani wa simu. Punguzeni mihemko.
 
Sasa kama sio kutofautiana huko ni kitu gani kingine?

Wakati Mbowe yupo kwenye maridhiano, Lissu yupo barabarani anayapinga maridhiano, ndipo Mwananchi wakasema viongozi wanatofautiana, wewe unakuwa mkali kisa nini?!

Hiyo yako ni mihemko tu.
Atajua Hajui Muda si mrefu!
 
Yakemeeni magazeti haya uchwara msiyape nafasi bila kukanusha upuuzi kama huu.

Content za mikutano yenu yote, Sauti mnazopiza kuhusu Katiba Mpya, wameona hili ndilo la kuwataarifu wananchi? Wakemeeni Erythrocyte
Unatukosea sana media, gazeti la Mwananchi unaweza kuliita gazeti uchwara?.
Uamuzi wa contents hufanywa na kitu kinachoitwa editorial independence, hata useme makubwa mazuri na ya maana vipi, editorial independence inapendekeza editor ndio anayeamua news ni nini!. Unataka Chadema watupangie sisi media kitu cha chakuandika au kuripoti kuhusu Chadema?.

Na kwa kukusaidia tuu, gazeti za Mwananchi wameamua kuifanya hiyo story leads ni baada ya kusoma bandiko la nguli huyu hapa JF Katiba mpya, Mbowe na Lissu ni wamoja? Wanazungumza lugha moja na kupaza sauti moja? Kwanini wanaonekana kama kila mtu na lake, kila mtu na lwake?
P
 
Waanzilishi wa Magazeti ya Musiba wanatafuta pa kutokea
 
Yakemeeni magazeti haya uchwara msiyape nafasi bila kukanusha upuuzi kama huu.

Content za mikutano yenu yote, Sauti mnazopiza kuhusu Katiba Mpya, wameona hili ndilo la kuwataarifu wananchi? Wakemeeni Erythrocyte



View attachment 2634029
Kitengo Cha habari kimekufa kabisa tokea Mrema ateuliwe hiyo nafasi. Hicho kitengo ni kheri kirudishwe tu kwa Mnyika alikua very vocal enzi zile tukiguswa tu Nape au issue yoyote kuu ikiibuka basi unategemea Press Conference nzito ya Kina Mnyika na Marando.

Mrema should be fired, he is a liability sijui kwanini Mbowe anachagua maafisa habari lege lege maana hata Makene alikua mzigo tu. Mara kumi wangempa yule Kambaya angekitendea haki kuliko huu ujinga unaokula mshahara wa Bure.
 
Huyo editor anaye amua cha kuandika hawezi fika ama bei au ushawishi wa wamiliki wa Magazeti ya Musiba?
 
😀😀
 
Yakemeeni magazeti haya uchwara msiyape nafasi bila kukanusha upuuzi kama huu.

Content za mikutano yenu yote, Sauti mnazopiza kuhusu Katiba Mpya, wameona hili ndilo la kuwataarifu wananchi? Wakemeeni Erythrocyte

Habari hii ilianzia hapa hapa . Tuliambiwa CHADEMA na Mbowe wanamtenga LISU kisa majukwaa. Inashangaza kwelikweli. Aliyoyasema LISU kule simiyu hakuna kilichoandikwa leo unaripotiwa mgogoro hahahaha
 
Kupishana na mwenyekiti hadharani ni Migogoro
Mwenyekiti sio Mungu boss, labda huko CCM maana mwenyekiti ndio anagawa vyeo, hivyo anaabudiwa hata kinafiki ili atoe ulaji. Huyo mwenyekiti watu walijifanya kumheshimu akaishia kumleta Lowassa. Hakuna kukubaliana na mwenyekiti kwenye kila kitu, hasa kama inaonekana anataka kupoteza mwelekeo. Tena huu ndio muda sahihi wa yeye kukaa pembeni.
 

Kwenye hili la kitengo cha mawasiliano uko sahihi sana. Ingia kwenye website ya CDM ni hadi aibu, taarifa ni za toka election ya 2020. Yaani wall za members ziko active kuliko official website ya chama!
 
Nakubaliana na wewe!
 
Huoni kwamba CDM kuyakemea magazeti ni UDIKTETA?

Sioni kosa lao Mwananchi, maana kutofautiana ndo DEMOKRASIA yenyewe.
Unatofautiana kwa kusema ukweli
 
Kumbuka mrema ni mchagga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…