johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hata Zitto Kabwe ilianzaga hivyo hivyo hadi Membe akamuonea huruma na kutaka kumpa Ubalozi wa UjerumaniNi kweli kwani wakiandika hivyo ni uongo? Ni ukweli mtupu! True fact!
Mbowe yuko kwenye maridhiano, Lisu anakosoa mapungufu anaoyaona kwa mwenendo wa CCM ndani ya maridhiano, hayo ndiyo kutofautiana?
Of course mwananchi limekuwa likiwaandika vibaya chadema tangu aingie magufuli and samia now!