CHADEMA msiruhusu kuingiliwa na wanaharakati wenye misimamo mikali mtatoka kwenye mstari

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,590
Reaction score
31,133
Ndani ya week hii Kuna tuhuma zimeibuka nzito sana juu ya kiongozi mkubwa wa chama - John Heche akituhumiwa kula pesa za tone tone jambo ambalo sisi wananchi bado hatuna uhakika nalo kama ni kweli au ni uongo.

Ila kinachoumiza zaidi ni kuona viongozi wetu wakuu wa chama akiwemo God bless lema kutuhumiwa kuwa anatumika na ccm kumpaka matowape John heche atoke kwenye uongozi. Hili jambo nalikemea na kupinga kwa nguvu kubwa. Wanaharakati uchwara Akina mange kimambi wanataka kutuharibia chama chetu

Hiki chama kimejitoa kwa damu Leo hii soka, Mdude, Ben saa8 na alphonce mawazo hawapo kwasababu yakupigania chama kwa manufaa ya watanzania.. Nitajieni ni mwanaharakati gn kafa kwa kupigania watanzania?

Godbless lema kalala mahabusu, polisi, gerezani hadi kukoswakoswa na risasi kwenye kupinga matokeo ya uchaguzi wa meya jiji la arusha 2013s. Hao wanaharakati usenge wanataka kutuvuruga wao wapo huko wanatomaswa na wazungu sisi tupo ground tunakula vumbi huku

Anatokea kichaa anasema lema kanunulika mara ooh heche ww Kula tu pesa zingine tutachanga.. Hujui ubadhirifu wa pesa za tone tone ukitokea wa kwanza kuulizwa na kuingia kwenye kashfa ni God bless lema? Hujui kuwa ni mwenyekiti wa hii tone tone? No body is perfect 100 %kama hizo tuhuma zipo acha wao wazimalize kwenye vikao vyao sio nyinyi wanaharakati upuuzi mnaanza Kuja kuwakosea adabu viongozi wetu waliotupambania mpaka hapa tulipo

Katika kosa kubwa mtafanya viongozi wa chama nikuruhusu na kuwapa attention hawa wapuuzi. Hatutaki sisi kuwa kama akina savimbi na riek wa south Sudan, tunataka kusukuma karata kama alivyozichanga rais wa sasa wa Zambia na rais wa Malawi aliyepita ili tushike dola.

Mimi yangu nihayo tu. Naomba nirudi baharini kuvua pweza na ngisi kwaherini
 

Attachments

  • Screenshot_20260709_041226_X.jpg
    72.7 KB · Views: 14
Kwani Mange kafanya nini?
Mpuuzi tu yule anataka kutucontol anafikili watanzania hatuna akili. Anakosea adabu viongozi wetu. God bless, John heche, mnyika na wengine wote tutawatetea na kuwalinda kwa wivu mkubwa. Hawa watu wapo mbali na familia zao, Wana risk maisha yao ili kutetea anakuja bwege mmoja anaongea shudu
 
Kafanya nini? Mbona alichangia 1000 usd juzi chadema? Huyu ni kiungo muhimu katika vita ya UKOMBOZI.
 
Kàfanya nini? Sema Mange kakosea wapi
 
Propaganda za ANKO T wa Mbutu hizo sizikuumize kichwa.
 
Wewe ni nani wakushauri..kumbuka kua Mange na Maria ndiyo washauiri wetu na viongozi wetu makini kwa CHADEMA.Acha watupe ukweli kama Heche amekula pesa azirudishe nasikia katumia hizo pesa kununua magari ya kusomba mizigo na ardhi huko Kenya.
 
Kwamba kwakua wao ni viongozi wetu basi ata wakifanya makosa tukubali..Basi hamna haja ya kuipinga CCM kwenye issue ya ufisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…