johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mtaa wa ufipaKazipata wapi??
Siasa ni sayansi na mipango.
Nawapa tu angalizo ndugu zangu wa Chadema kwamba wawe na hii kumbukumbu kwamba Dr Magufuli amedhaminiwa na watu zaidi ya milioni moja ili agombee urais.
Panapo uzima hizo ni kura tayari za mapema asubuhi...... Hapo bado kampeni hazijaanza.
Katika mazingira haya chama makini cha upinzani kitajikita kwenye ubunge na udiwani...... Huo ndio ukweli mchungu.
Mungu awabariki nyote na hasa Lyatonga Mrema
Maendeleo hayana vyama!
Bosi Mtuhuru alichangia shingapi?kumbukumbu kutoka mitaa ya Ufipa zilizotufikia hapa Lumumba zinaonyesha kuwa zile 300M za faini ya kuwakomboa Mbowe & co wasifungwe wastani ulikuwa ni sh 150 kwa kila mchangiaji - meaning idadi ya walioichangia Chadema ilifika milioni 2.
HT: Chadema 2 - 1 MATAGA
game on!!
Najua Lissu tayari anazo 5,000,000 kabla hata hajashuka kutoka mamtoni.Siasa ni sayansi na mipango.
Nawapa tu angalizo ndugu zangu wa Chadema kwamba wawe na hii kumbukumbu kwamba Dr Magufuli amedhaminiwa na watu zaidi ya milioni moja ili agombee urais.
Panapo uzima hizo ni kura tayari za mapema asubuhi...... Hapo bado kampeni hazijaanza.
Katika mazingira haya chama makini cha upinzani kitajikita kwenye ubunge na udiwani...... Huo ndio ukweli mchungu.
Mungu awabariki nyote na hasa Lyatonga Mrema
Maendeleo hayana vyama!
angalia neno "wastani".Bosi Mtuhuru alichangia shingapi?
Makubwa yapi aliyofanya? tusaidieni sisi wengine tusioyaona hayo makubwa nasi tuyaone! hapo ulipo maisha yako yamekuwa bora kiasi gani kureflect hayo makubwa aliyofanyaMbona keshaanza kampeni kitambo tu! Sema hana ile "haiba" ya kupendwa tu. Na pengine hilo ndilo linampa tabu sana (internally). EL na hata JK walikuwa wanapendwa tu pamoja na kutofanya vitu vya kipekee sana.
JPM amefanya makubwa lakini hajiamini kabisa.....anawabania sana wapinzani wake. Yaani kwa mambo aliyofanya hakuwa na sababu za kuwadhibiti wapinzani wake kiasi anachofanya. Shame!
Yeye hawezi kuchangia juu ya wastani.Itakuwa alitoa mia.angalia neno "wastani".
yeah!!Yeye hawezi kuchangia juu ya wastani.Itakuwa alitoa mia.
Unadhani yanatoka rohoni? Kujipendekeza kama mlivyo nyote na wewe ili akuone. Siku ya kura ni siri...Siasa ni sayansi na mipango.
Nawapa tu angalizo ndugu zangu wa Chadema kwamba wawe na hii kumbukumbu kwamba Dkt. Magufuli amedhaminiwa na watu zaidi ya milioni moja ili agombee urais.
Panapo uzima hizo ni kura tayari za mapema asubuhi. Hapo bado kampeni hazijaanza.
Katika mazingira haya chama makini cha upinzani kitajikita kwenye ubunge na udiwani. Huo ndio ukweli mchungu.
Mungu awabariki nyote na hasa Lyatonga Mrema
Maendeleo hayana vyama!