johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Siasa ni sayansi na mipango.
Nawapa tu angalizo ndugu zangu wa Chadema kwamba wawe na hii kumbukumbu kwamba Dkt. Magufuli amedhaminiwa na watu zaidi ya milioni moja ili agombee urais.
Panapo uzima hizo ni kura tayari za mapema asubuhi. Hapo bado kampeni hazijaanza.
Katika mazingira haya chama makini cha upinzani kitajikita kwenye ubunge na udiwani. Huo ndio ukweli mchungu.
Mungu awabariki nyote na hasa Lyatonga Mrema
Maendeleo hayana vyama!