Uchaguzi 2020 CHADEMA msisahau kabla kampeni hazijaanza, Dkt. Magufuli tayari ana uhakika wa kura zaidi ya milioni moja!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Siasa ni sayansi na mipango.

Nawapa tu angalizo ndugu zangu wa Chadema kwamba wawe na hii kumbukumbu kwamba Dkt. Magufuli amedhaminiwa na watu zaidi ya milioni moja ili agombee urais.

Panapo uzima hizo ni kura tayari za mapema asubuhi. Hapo bado kampeni hazijaanza.

Katika mazingira haya chama makini cha upinzani kitajikita kwenye ubunge na udiwani. Huo ndio ukweli mchungu.

Mungu awabariki nyote na hasa Lyatonga Mrema

Maendeleo hayana vyama!
 
Mbona keshaanza kampeni kitambo tu! Sema hana ile "haiba" ya kupendwa tu. Na pengine hilo ndilo linampa tabu sana (internally). EL na hata JK walikuwa wanapendwa tu pamoja na kutofanya vitu vya kipekee sana.

JPM amefanya makubwa lakini hajiamini kabisa.....anawabania sana wapinzani wake. Yaani kwa mambo aliyofanya hakuwa na sababu za kuwadhibiti wapinzani wake kiasi anachofanya. Shame!
 
kumbukumbu kutoka mitaa ya Ufipa zilizotufikia hapa Lumumba zinaonyesha kuwa zile 300M za faini ya kuwakomboa Mbowe & co wasifungwe wastani ulikuwa ni sh 150 kwa kila mchangiaji - meaning idadi ya walioichangia Chadema ilifika milioni 2.

HT: Chadema 2 - 1 MATAGA

game on!!
 
Yaani huyu yahaya mbatizaji atawaua MANDWANYE wa CDM kwa kiharusi na sonona.Anawatandika Sana nondo wasizoweza jibu...
 
Siasa ni sayansi na mipango.

Nawapa tu angalizo ndugu zangu wa Chadema kwamba wawe na hii kumbukumbu kwamba Dr Magufuli amedhaminiwa na watu zaidi ya milioni moja ili agombee urais.

Panapo uzima hizo ni kura tayari za mapema asubuhi...... Hapo bado kampeni hazijaanza.

Katika mazingira haya chama makini cha upinzani kitajikita kwenye ubunge na udiwani...... Huo ndio ukweli mchungu.

Mungu awabariki nyote na hasa Lyatonga Mrema

Maendeleo hayana vyama!

Kabisa hizo milioni moja, kisha ana milioni 4@ kutoka tume ya uchaguzi na vyombo vya dola, hizo ni milioni 9 tayari.
 
kumbukumbu kutoka mitaa ya Ufipa zilizotufikia hapa Lumumba zinaonyesha kuwa zile 300M za faini ya kuwakomboa Mbowe & co wasifungwe wastani ulikuwa ni sh 150 kwa kila mchangiaji - meaning idadi ya walioichangia Chadema ilifika milioni 2.

HT: Chadema 2 - 1 MATAGA

game on!!
Bosi Mtuhuru alichangia shingapi?
 
Siasa ni sayansi na mipango.

Nawapa tu angalizo ndugu zangu wa Chadema kwamba wawe na hii kumbukumbu kwamba Dr Magufuli amedhaminiwa na watu zaidi ya milioni moja ili agombee urais.

Panapo uzima hizo ni kura tayari za mapema asubuhi...... Hapo bado kampeni hazijaanza.

Katika mazingira haya chama makini cha upinzani kitajikita kwenye ubunge na udiwani...... Huo ndio ukweli mchungu.

Mungu awabariki nyote na hasa Lyatonga Mrema

Maendeleo hayana vyama!
Najua Lissu tayari anazo 5,000,000 kabla hata hajashuka kutoka mamtoni.
 
Mbona keshaanza kampeni kitambo tu! Sema hana ile "haiba" ya kupendwa tu. Na pengine hilo ndilo linampa tabu sana (internally). EL na hata JK walikuwa wanapendwa tu pamoja na kutofanya vitu vya kipekee sana.

JPM amefanya makubwa lakini hajiamini kabisa.....anawabania sana wapinzani wake. Yaani kwa mambo aliyofanya hakuwa na sababu za kuwadhibiti wapinzani wake kiasi anachofanya. Shame!
Makubwa yapi aliyofanya? tusaidieni sisi wengine tusioyaona hayo makubwa nasi tuyaone! hapo ulipo maisha yako yamekuwa bora kiasi gani kureflect hayo makubwa aliyofanya
 
Madaraka ni pesa sio kutumikia wananchi..Tanzania ya leo.
 
Miaka 5 anapiga kampeni pamoja na kuchapisha fomu yake peke yake, bado anapata wadhamini/kura 1M, ni dhahiri kuwa watu wameshamchoka yesu wao!
 
Siasa ni sayansi na mipango.

Nawapa tu angalizo ndugu zangu wa Chadema kwamba wawe na hii kumbukumbu kwamba Dkt. Magufuli amedhaminiwa na watu zaidi ya milioni moja ili agombee urais.

Panapo uzima hizo ni kura tayari za mapema asubuhi. Hapo bado kampeni hazijaanza.

Katika mazingira haya chama makini cha upinzani kitajikita kwenye ubunge na udiwani. Huo ndio ukweli mchungu.

Mungu awabariki nyote na hasa Lyatonga Mrema

Maendeleo hayana vyama!
Unadhani yanatoka rohoni? Kujipendekeza kama mlivyo nyote na wewe ili akuone. Siku ya kura ni siri...
 
2ao chadema na ACT wanamsubiri Membe aje awabust ili kunogesha kampeni!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom