Uchaguzi 2020 CHADEMA msisahau kabla kampeni hazijaanza, Dkt. Magufuli tayari ana uhakika wa kura zaidi ya milioni moja!

Duh... Kweli Mbowe anajivunia kuwa na watu vichwa bata namna hii!
 
Cha muhimu sio ana kura ngapi, muhimu ni je ni za haki???????.. Kama angekuwa nazo milioni 30 za haki ambazo sio za kutafutiwa kwa nguvu na wakurugenzi wa tume yake basi angekuwa wa maana sana.
 
ƙelele za vƴura hazimzuii temɓo ƙunƴwa maji. ...😀😁😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…