Uchaguzi 2020 CHADEMA msisahau kabla kampeni hazijaanza, Dkt. Magufuli tayari ana uhakika wa kura zaidi ya milioni moja!

Uchaguzi 2020 CHADEMA msisahau kabla kampeni hazijaanza, Dkt. Magufuli tayari ana uhakika wa kura zaidi ya milioni moja!

kumbukumbu kutoka mitaa ya Ufipa zilizotufikia hapa Lumumba zinaonyesha kuwa zile 300M za faini ya kuwakomboa Mbowe & co wasifungwe wastani ulikuwa ni sh 150 kwa kila mchangiaji - meaning idadi ya walioichangia Chadema ilifika milioni 2.

HT: Chadema 2 - 1 MATAGA

game on!!
Duh... Kweli Mbowe anajivunia kuwa na watu vichwa bata namna hii!
 
Cha muhimu sio ana kura ngapi, muhimu ni je ni za haki???????.. Kama angekuwa nazo milioni 30 za haki ambazo sio za kutafutiwa kwa nguvu na wakurugenzi wa tume yake basi angekuwa wa maana sana.
 
I
Siasa ni sayansi na mipango.

Nawapa tu angalizo ndugu zangu wa Chadema kwamba wawe na hii kumbukumbu kwamba Dkt. Magufuli amedhaminiwa na watu zaidi ya milioni moja ili agombee urais.

Panapo uzima hizo ni kura tayari za mapema asubuhi. Hapo bado kampeni hazijaanza.

Katika mazingira haya chama makini cha upinzani kitajikita kwenye ubunge na udiwani. Huo ndio ukweli mchungu.

Mungu awabariki nyote na hasa Lyatonga Mrema

Maendeleo hayana vyama!
ƙelele za vƴura hazimzuii temɓo ƙunƴwa maji. ...😀😁😂
 
Back
Top Bottom