Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Duh... Kweli Mbowe anajivunia kuwa na watu vichwa bata namna hii!kumbukumbu kutoka mitaa ya Ufipa zilizotufikia hapa Lumumba zinaonyesha kuwa zile 300M za faini ya kuwakomboa Mbowe & co wasifungwe wastani ulikuwa ni sh 150 kwa kila mchangiaji - meaning idadi ya walioichangia Chadema ilifika milioni 2.
HT: Chadema 2 - 1 MATAGA
game on!!