johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Dhuluma ya nini bwashee?!Dhuluma ni mbaya sana.Ni aibu kubwa ile sala mjengoni nashauri ibalike liwekwe jina la mungu wenu wa sasa hadi muda wake uishe kiukweli ndie anaeabudiwa kuliko Muumba.
Siasa siyo uadui bwashee.Wewe unawashwa sana, nyuzi zako nyingi zinaonyesha kuunga mkono upumbavu wa CCM na Maccm wenyewe sasa unakuja na mpya ya kuitaka CHADEMA kuibua madhaifu ya serikali.
Kule kwetu tunatumia magunzi kuwashia pasi za kienyeji maana umeme haujafika au pengine umekatika. Sasa nguo zimejikunja na umeme hakuna wanaanza kutafuta magunzi wakati waliyatukana sana kipindi umeme unawaka. Sasa wasubiri tena luku ikate na hela hawana mfukoni ndo watajua umuhimu wa magunzi. Mkaa nao umepigwa ban.Mmeshaanza kuona umuhimu wa magunzi. Tatizo ni kuwa mmeshachelewa.
Washenzi ni akina Robert Amsterdam!We mpuuzi,si mlitaka Chadema ifutike? Sasa leo unaanza kusema nini tena?
Chadema wameona waache mfanye mtakavyo,halafu mmeanza kuwachokoza tena. Mtakuwa mmelaamiwa nyie washenzi.
Damu mlizomwaga zimeanza kuwalevya, tutasikia mengiNi wazi kuwa baada ya Chadema kubakiwa na wabunge 20 tu uwanja wa bunge hautakuwa rafiki sana kwao kutupasha taarifa "nzito nzito" kama ilivyozoeleka.
Hivyo nawashauri Chadema kwa haraka watafute njia mbadala za kuhabarisha Umma makandokando ya chama tawala na serikali yake kama yapo.
Tusisahau kuwa Chadema bado ni chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vilivyobaki havina historia ya kuikemea CCM na serikali yake.
Maendeleo hayana vyama!
Hata weweSiasa siyo uadui bwashee.
Anayewashwa ni Robert Amsterdam!
Miaka mitano ijayo ni CCM peke yenu,tunaisubiri kwa hamu kubwa Tanzania kama uraya na Arusha kama karufonyia.Ni wazi kuwa baada ya Chadema kubakiwa na wabunge 20 tu uwanja wa bunge hautakuwa rafiki sana kwao kutupasha taarifa "nzito nzito" kama ilivyozoeleka.
Hivyo nawashauri Chadema kwa haraka watafute njia mbadala za kuhabarisha Umma makandokando ya chama tawala na serikali yake kama yapo.
Tusisahau kuwa Chadema bado ni chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vilivyobaki havina historia ya kuikemea CCM na serikali yake.
Maendeleo hayana vyama!
50 kabisa!Mitano mingine