CHADEMA msisuse kuibua madhaifu ya CCM na Serikali yake kama yapo, Pamoja tutaijenga nchi yetu

Nani aliyekwambia CCM na serikali yake ina madhaifu.

Chea ndo the akenjo.

Chama kipo safi, mafisadi wote wamekwisha wengine wamekimbilia chadema.
Hio akenjo kwio? Unamaanisha ARCHANGEL ama? Nimecheka sana 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hili wazo nalipinga kwa nguvu zote, Kama ccm na system wangetambua umuhimu wa kuwa na upinzani imara bungeni, basi wangeheshimu mchakato wote wa uchaguzi na maamuzi ya wananchi wangeyaheshimu sana. Chadema shikilieni hapo hapo
 
Nitaathirikaje wakati kwa makusudi rasmi na haramu sitakiwi kusikika. Ndiyo maana wewe na wenzio ni wa hovyo tu.
Kama hujui athari za kutokuwa na mwakilishi wa chama chako bungeni siwezi kukusaidia mtafute daktari.
 
Ni wazi kuwa baada ya CHADEMA kubakiwa na wabunge 20 tu uwanja wa bunge hautakuwa rafiki sana kwao kutupasha taarifa "nzito nzito" kama ilivyozoeleka.

Hivyo nawashauri CHADEMA kwa haraka watafute njia mbadala za kuhabarisha Umma makandokando ya chama tawala na Serikali yake kama yapo.

Tusisahau kuwa CHADEMA bado ni chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vilivyobaki havina historia ya kuikemea CCM na Serikali yake.

Maendeleo hayana vyama!
Tatizo mnaona upinzani Kama ni mbowe. Nyie matatizo mnayoyaona Wala hayawahusu yanamhusu mbowe. Hata ikitokea jpm akashinda kisu anataka akuchinji huwezi hata kulia au kupiga kelele mpaka mbowe akusemee halafu uchaguzi ukija unamchagua aliyetaka kukuchinja. Zindukeni nyie mazombi
 
Ni wazi kuwa baada ya CHADEMA kubakiwa na wabunge 20 tu uwanja wa bunge hautakuwa rafiki sana kwao kutupasha taarifa "nzito nzito" kama ilivyozoeleka.

Hivyo nawashauri CHADEMA kwa haraka watafute njia mbadala za kuhabarisha Umma makandokando ya chama tawala na Serikali yake kama yapo.

Tusisahau kuwa CHADEMA bado ni chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vilivyobaki havina historia ya kuikemea CCM na Serikali yake.

Maendeleo hayana vyama!
Wanaogopa kupewa kesi kama ya AKWILINA
 
CCM ni Wasafi na kinaongozwa na "mtakatifu" hakuna kasoro wala madhaifu utakayoyaona CCM ya sasa. Hao CHADEMA ndo walikuwa wanasababisha CCM ichafuke kwa vile imekufa CCM wamekuwa safi kabisa. Ukiwa mchafu ukavunja kioo unakuwa msafi jumla.
 
Ni wazi kuwa baada ya CHADEMA kubakiwa na wabunge 20 tu uwanja wa bunge hautakuwa rafiki sana kwao kutupasha taarifa "nzito nzito" kama ilivyozoeleka.

Hivyo nawashauri CHADEMA kwa haraka watafute njia mbadala za kuhabarisha Umma makandokando ya chama tawala na Serikali yake kama yapo.

Tusisahau kuwa CHADEMA bado ni chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vilivyobaki havina historia ya kuikemea CCM na Serikali yake.

Maendeleo hayana vyama!
We jamaa unachekesha bado unaiwaza chadema kweli...umepitwa na wakati jomba..kwanza wale wabunge 19 chadema ilishawafukuza, au umesahau..chadema wenyewe wamevurugwa wachambue madhaifu yao kwanza kabla hawajarukia kwa ya wenzao..hiyo ndio principle ya ki Mungu.
 
Back
Top Bottom