CHADEMA msisuse kuibua madhaifu ya CCM na Serikali yake kama yapo, Pamoja tutaijenga nchi yetu

CHADEMA msisuse kuibua madhaifu ya CCM na Serikali yake kama yapo, Pamoja tutaijenga nchi yetu

Waibue mapungufu ili watekwe na wasiojulikana?

Kama mmebadilika, na kuamua kuacha siasa za kihayawani, mturudishie kwanza Ben Saanane na Azory Gwanda, na mtueleze kwa nini mliamua kumtwanga risasi Tundu Lisu kwa sababu tu ya kukosoa.

Vinginevyo, furahieni utawala wa chama kimoja, hakuna wa kuwapigia kelele. Nadhani vyama vya upinzani vimegundua kuwa ukiona kivhaa kashika panga na mkuki, siyo wa kumsogelea. Tusubiria siku atakapodondosha hizo silaha, ndipo tumsogelee na kumpeleka hospitali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom