CHADEMA msisuse kuibua madhaifu ya CCM na Serikali yake kama yapo, Pamoja tutaijenga nchi yetu

Unaye sema hayo ni Joni
 
Ili waambiwe siyo wazalendo wanapinga pinga na wanatumiwa na mabeberu.
 
Ushirikiano si mliukataa mapema bwashee? Hebu ngoja tutest chama kimoja kwanza baada ya hii mitano tutajua tumwongezee mheshimiwa au vipi
Tulishatest Zanzibar lakini Zitto Kabwe na maalimu Seif wameomba poo bwashee!
 
Nyie ibeni tu kodi zetu hamna shida, ndio raha ya nchi ya chama kimoja.
Ukilala Chadema , ukiamka Mbowe..
Utakua una ongea peke yako barabarani..
Naona kiu ya damu zetu imekua kubwa, Mnatafuta damu za CHADEMA, mmetukosa.
 
Nyie ibeni tu kodi zetu hamna shida, ndio raha ya nchi ya chama kimoja.
Ukilala Chadema , ukiamka Mbowe..
Utakua una ongea peke yako barabarani..
Naona kiu ya damu zetu imekua kubwa, Mnatafuta damu za CHADEMA, mmetukosa.
Kwani ruzuku siyo kodi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…