Hio akenjo kwio? Unamaanisha ARCHANGEL ama? Nimecheka sana 🤣 🤣 🤣 🤣Nani aliyekwambia CCM na serikali yake ina madhaifu.
Chea ndo the akenjo.
Chama kipo safi, mafisadi wote wamekwisha wengine wamekimbilia chadema.
Wewe unaogopa risasi?Tumewashtukia mnataka tuibue madhaifu ya ATCL mtumiminie risasi 36 mchana kweupe na mharibu cctv camera kuondoa ushahidi.
Pambafu kabisa.
Kmmae zaoMmejadiliana mmeona hamuwezi kujenga nchi kwa mawazo ya upande mmoja siyo!!
Endeleeni na mambo yenu, watu wakibakia kimya mnaanza kuwachokoza!!
Km la mmko, unajisahaulisha ?! Kupita bila kupingwa, wizi wa kura sio dhuluma we msengelema ?Dhuluma ya nini bwashee?!
We mpuuzi, si mlitaka Chadema ifutike? Sasa leo unaanza kusema nini tena?
Chadema wameona waache mfanye mtakavyo,halafu mmeanza kuwachokoza tena. Mtakuwa mmelaamiwa nyie washenzi.
mmko ana papai bwawa!Km la mmko, unajisahaulisha ?! Kupita bila kupingwa, wizi wa kura sio dhuluma we msengelema ?
mmko ana papai bwawa!
Kama hujui athari za kutokuwa na mwakilishi wa chama chako bungeni siwezi kukusaidia mtafute daktari.Nitaathirikaje wakati kwa makusudi rasmi na haramu sitakiwi kusikika. Ndiyo maana wewe na wenzio ni wa hovyo tu.
?????Kama hujui athari za kutokuwa na mwakilishi wa chama chako bungeni siwezi kukusaidia mtafute daktari.
katuni zingine bwana; hivi mchoraji unaanzaje kuwaza hivyo? Mbona wazima na wafu umewaweka meza moja! Una maan gani?Utaibua vipi madhaifu pamoja na ufisadi wa CCM katika mazingira kama haya?!
View attachment 1683175
Kama hujui athari za kutokuwa na mwakilishi wa chama chako bungeni siwezi kukusaidia mtafute daktari.
Tatizo mnaona upinzani Kama ni mbowe. Nyie matatizo mnayoyaona Wala hayawahusu yanamhusu mbowe. Hata ikitokea jpm akashinda kisu anataka akuchinji huwezi hata kulia au kupiga kelele mpaka mbowe akusemee halafu uchaguzi ukija unamchagua aliyetaka kukuchinja. Zindukeni nyie mazombiNi wazi kuwa baada ya CHADEMA kubakiwa na wabunge 20 tu uwanja wa bunge hautakuwa rafiki sana kwao kutupasha taarifa "nzito nzito" kama ilivyozoeleka.
Hivyo nawashauri CHADEMA kwa haraka watafute njia mbadala za kuhabarisha Umma makandokando ya chama tawala na Serikali yake kama yapo.
Tusisahau kuwa CHADEMA bado ni chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vilivyobaki havina historia ya kuikemea CCM na Serikali yake.
Maendeleo hayana vyama!
Mamko ana papai bwawa tope!Mifisiemu hamna akili kaf.rwe ndo malipo ya kujipendekeza mala.ya wa mk.undu
Wanaogopa kupewa kesi kama ya AKWILINANi wazi kuwa baada ya CHADEMA kubakiwa na wabunge 20 tu uwanja wa bunge hautakuwa rafiki sana kwao kutupasha taarifa "nzito nzito" kama ilivyozoeleka.
Hivyo nawashauri CHADEMA kwa haraka watafute njia mbadala za kuhabarisha Umma makandokando ya chama tawala na Serikali yake kama yapo.
Tusisahau kuwa CHADEMA bado ni chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vilivyobaki havina historia ya kuikemea CCM na Serikali yake.
Maendeleo hayana vyama!
CCM ni Wasafi na kinaongozwa na "mtakatifu" hakuna kasoro wala madhaifu utakayoyaona CCM ya sasa. Hao CHADEMA ndo walikuwa wanasababisha CCM ichafuke kwa vile imekufa CCM wamekuwa safi kabisa. Ukiwa mchafu ukavunja kioo unakuwa msafi jumla.Ni wazi kuwa baada ya CHADEMA kubakiwa na wabunge 20 tu uwanja wa bunge hautakuwa rafiki sana kwao kutupasha taarifa "nzito nzito" kama ilivyozoeleka.
Hivyo nawashauri CHADEMA kwa haraka watafute njia mbadala za kuhabarisha Umma makandokando ya chama tawala na Serikali yake kama yapo.
Tusisahau kuwa CHADEMA bado ni chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vilivyobaki havina historia ya kuikemea CCM na Serikali yake.
Maendeleo hayana vyama!
We jamaa unachekesha bado unaiwaza chadema kweli...umepitwa na wakati jomba..kwanza wale wabunge 19 chadema ilishawafukuza, au umesahau..chadema wenyewe wamevurugwa wachambue madhaifu yao kwanza kabla hawajarukia kwa ya wenzao..hiyo ndio principle ya ki Mungu.Ni wazi kuwa baada ya CHADEMA kubakiwa na wabunge 20 tu uwanja wa bunge hautakuwa rafiki sana kwao kutupasha taarifa "nzito nzito" kama ilivyozoeleka.