Chadema Msituangushe vijana 2025. Bungeni njia ni nyeupee pee.

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Kila mmoja anaona mwenendo mbovu w serikali na Bunge letu. Mijadala haieleweki. Serikali haina msimamizi kabisa

Kwa ninavyoona upinzani msilambe asali mkatusaliti 2025 naomba mtupe nafasi tuende bungeni.

Najua mmepigwa stop mikutano ya hadhara lakini tunawasubiri Kwa hamu 2025 mkiliamsha dude.

Mje na ajenda ambazo zitawwacha midomo wazi CCM. Hadi watajuta Kwa nini waliwazuia kuaanza kampaign. Mapema ili wapate majibu.

Nashauri vile ambavyo mliingiza wabunge wengi 2010 napenda iwe ivoivo 2025 maana CCM itakuwa inatambaa.

Tuombe uzima..
 
little-nerd-boy-wearing-large-black-glasses-and-thinking-picture-id183027640.jpg
 
Sina imani na mwenyekiti wa Chadema kisharambishwa asali hakuna nguvu upinzani
 
Kila mmoja anaona mwenendo mbovu w serikali na Bunge letu. Mijadala haieleweki. Serikali haina msimamizi kabisa

Kwa ninavyoona upinzani msilambe asali mkatusaliti 2025 naomba mtupe nafasi tuende bungeni.

Najua mmepigwa stop mikutano ya hadhara lakini tunawasubiri Kwa hamu 2025 mkiliamsha dude.

Mje na ajenda ambazo zitawwacha midomo wazi CCM. Hadi watajuta Kwa nini waliwazuia kuaanza kampaign. Mapema ili wapate majibu.

Nashauri vile ambavyo mliingiza wabunge wengi 2010 napenda iwe ivoivo 2025 maana CCM itakuwa inatambaa.

Tuombe uzima..
Mungu ibariki CHADEMA...! Mkakati wa CHADEMA digital unafanya vizuri mno
 
Back
Top Bottom