Chadema mtaamka lini? Mramba asali Mbowe bado hajatosheka

Chadema mtaamka lini? Mramba asali Mbowe bado hajatosheka

5523

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2014
Posts
2,275
Reaction score
2,410
2a991af7-d561-41f2-9ea9-334fc6556281.jpg
 
Mumuache na yeye ale, wakati Yuko jela hamkuandamana Wala nini, mnataka mwenzenu aumie tu, Mbowe hebu kula, usisikilize hao wasio na muelekeo
 
Acha alambe asali, hakuna wapinzani nchi hii zaidi ya wachumia tumbo...
 
Mumuache na yeye ale, wakati Yuko jela hamkuandamana Wala nini, mnataka mwenzenu aumie tu, Mbowe hebu kula, usisikilize hao wasio na muelekeo
Kwani jela kakaa peke yake? Hakuna wafuasi wa chadema wako jela mpaka Leo? Sisi wengine tulikaa lokapu oysterbay mwezi mzima tulikamatwa siku tatu kabla ya uchaguzi yote hayo tunakipambania chama alafu Leo mbowe kalamba asali anakiuwa chama nyie nzi wake mnaona sawa tu

Sent from my RMX2189 using JamiiForums mobile app
 
Mmezoea kuongozwa na maskini sasa mjiabdae kuongozwa na matajiri kama nchi zilizoendelea.
 
K
Wa nchi gani aloo,
Bora tumuache bi mkubwa tu
wa mnapenda sana kuongozwa na wanyonge? Ili mpige hela? Sasa ni wakati wa kuongozwa na matajiri na wanaojua uchumi la sivyo nchi hii haiendi popote.
 
Acha alambe asali, hakuna wapinzani nchi hii zaidi ya wachumia tumbo...
Alikuwa anamnanga maalim seif sana sasa yeye kila kukicha anaamkia Ikulu, hela ni mbaya sana kwisha habari yao
 
Binadamu hamna jema,

Akileta siasa za jino kwa jino, tatizo akiamua kushirikiana na watawala pia tatizo, jema lipi ndugu zetu “wahafidhina”???
Kwisha habari yenu mulibanaa sasa mumeachia kilaini kwa mama sasa mnafaidi matunda ya mapinduzi, Tz itahitaji miaka 100 zaidi kupata upinzani wa kweli, Tundu lissu naye kashikwa ni Belgium haweze kuvumilia hata wiki 1 Tanzania
 
Back
Top Bottom