Chadema mtaamka lini? Mramba asali Mbowe bado hajatosheka

Chadema mtaamka lini? Mramba asali Mbowe bado hajatosheka

Mumuache na yeye ale, wakati Yuko jela hamkuandamana Wala nini, mnataka mwenzenu aumie tu, Mbowe hebu kula, usisikilize hao wasio na muelekeo
Alipotoka jela tu alienda kukoga Ikulu na suti alizikuta kule kule akabadilisha
 
Muacheni alambe asali

Odinga akiwaambia watu waingie barabarani kukiwasha wanaingia na kukiwasha …nyie mkiambiwa ingie road mkiwashe mnaingia kwa Milad ayo kuangalia walioandamana
 
Binadamu hamna jema,

Akileta siasa za jino kwa jino, tatizo akiamua kushirikiana na watawala pia tatizo, jema lipi ndugu zetu “wahafidhina”???
yaani hawa ndio binadamu...hawana jema hata kidogo kikubwa simamia unachoamini
 
Kwanini mnapenda kujificha nyuma ya CCM bila kujali hata hali mbaya ya ndugu zenu?
Mbowe lini alijali, aliushawishi umma miaka nenda miaka rudi sasa vipande 30 vya pesa vinamshughulisha
 
Back
Top Bottom