5523 JF-Expert Member Joined Nov 13, 2014 Posts 2,275 Reaction score 2,410 Apr 1, 2023 Thread starter #21 chiembe said: Mumuache na yeye ale, wakati Yuko jela hamkuandamana Wala nini, mnataka mwenzenu aumie tu, Mbowe hebu kula, usisikilize hao wasio na muelekeo Click to expand... Alipotoka jela tu alienda kukoga Ikulu na suti alizikuta kule kule akabadilisha
chiembe said: Mumuache na yeye ale, wakati Yuko jela hamkuandamana Wala nini, mnataka mwenzenu aumie tu, Mbowe hebu kula, usisikilize hao wasio na muelekeo Click to expand... Alipotoka jela tu alienda kukoga Ikulu na suti alizikuta kule kule akabadilisha
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 16,427 Reaction score 22,418 Apr 1, 2023 #22 5523 said: Rais wa LGBT labda na upinde Click to expand... Kwanini mnapenda kujificha nyuma ya CCM bila kujali hata hali mbaya ya ndugu zenu?
5523 said: Rais wa LGBT labda na upinde Click to expand... Kwanini mnapenda kujificha nyuma ya CCM bila kujali hata hali mbaya ya ndugu zenu?
P Pohamba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 27,632 Reaction score 61,194 Apr 1, 2023 #23 Muacheni alambe asali Odinga akiwaambia watu waingie barabarani kukiwasha wanaingia na kukiwasha …nyie mkiambiwa ingie road mkiwashe mnaingia kwa Milad ayo kuangalia walioandamana
Muacheni alambe asali Odinga akiwaambia watu waingie barabarani kukiwasha wanaingia na kukiwasha …nyie mkiambiwa ingie road mkiwashe mnaingia kwa Milad ayo kuangalia walioandamana
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 10,963 Reaction score 13,287 Apr 1, 2023 #24 Mla Bata said: Binadamu hamna jema, Akileta siasa za jino kwa jino, tatizo akiamua kushirikiana na watawala pia tatizo, jema lipi ndugu zetu “wahafidhina”??? Click to expand... yaani hawa ndio binadamu...hawana jema hata kidogo kikubwa simamia unachoamini
Mla Bata said: Binadamu hamna jema, Akileta siasa za jino kwa jino, tatizo akiamua kushirikiana na watawala pia tatizo, jema lipi ndugu zetu “wahafidhina”??? Click to expand... yaani hawa ndio binadamu...hawana jema hata kidogo kikubwa simamia unachoamini
5523 JF-Expert Member Joined Nov 13, 2014 Posts 2,275 Reaction score 2,410 Apr 1, 2023 Thread starter #25 fazili said: Kwanini mnapenda kujificha nyuma ya CCM bila kujali hata hali mbaya ya ndugu zenu? Click to expand... Mbowe lini alijali, aliushawishi umma miaka nenda miaka rudi sasa vipande 30 vya pesa vinamshughulisha
fazili said: Kwanini mnapenda kujificha nyuma ya CCM bila kujali hata hali mbaya ya ndugu zenu? Click to expand... Mbowe lini alijali, aliushawishi umma miaka nenda miaka rudi sasa vipande 30 vya pesa vinamshughulisha
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 16,427 Reaction score 22,418 Apr 1, 2023 #26 5523 said: Mbowe lini alijali, aliushawishi umma miaka nenda miaka rudi sasa vipande 30 vya pesa vinamshughulisha Click to expand... Upo serious kweli au unafanya siasa kama kibarua?
5523 said: Mbowe lini alijali, aliushawishi umma miaka nenda miaka rudi sasa vipande 30 vya pesa vinamshughulisha Click to expand... Upo serious kweli au unafanya siasa kama kibarua?