Tetesi: CHADEMA muda wowote kusitisha Oparesheni UKUTA

Status
Not open for further replies.
Wakisitisha maandamano na zuio la vyama vya siasa kuendesha shughuli zake kikatiba nalo halina budi kusitishwa.
 
Hahaha nimeshindwa hata kusoma huu ugoro wako ,wamesitisha ,Lowasa yuko Mbeya ,juzi Mbowe alikua Arusha ,kina Beregu walikua wanachanja mbuga huko wakapata ajali ,Lisu yupo makao makuu anaandaa mashitaka ,Sumaye naye anapiga jaramba Pwani ,mweee hii ngoma mbona nzito
Kwa hiyo wewe hautaki balaa tusilolipenda libatilishwe? Vita huwa vinamalizika kwa majeshi ya pande hasimu kupewa amri ya kurudi nyuma. Mbowe ni M/kiti,kwa akili zako anaweza kushindwa "kutoa maagizo" ya kuahirisha balaa hili niksi linaloweza kusababisha umwagikaji wa damu?
Ndiyo nyie vichochezi visivyokuwa na mbele wala nyuma. Na siku "pendwa" ikifika wewe utakuwa bar umejificha,"umeufyata" unalewa na wala maandamano hautashiriki,bali utayaangalia kwenye luninga za kwenye ulevi.
 
Utanipotezea muda kukujibu ,endelea na wengine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom