Tetesi: CHADEMA muda wowote kusitisha Oparesheni UKUTA

Tetesi: CHADEMA muda wowote kusitisha Oparesheni UKUTA

Status
Not open for further replies.
Hata wasipo hairisha
UKUTA umeshindwa tayari
Kyela wala hamna maandalizi yyt ya UKUTA
Wala hatuna habari nao
Tumeshtuka
 
Kwa walipofikia hawawezi kusitisha. Tumaini peke yake walilobaki nalo Viongozi wa Chyademan walilobaki nalo ni Poliysi wazingire nyumba zao ikifika hiyo sep 1.

Polysi wakizingira nyumba zao mkakati wa Viongozi wa Chyademan kutoshiriki maandamano utakuwa umefanikiwa.

Ombi langu kwa Polisi wasiwafate Majumbani wawasubiri Mitaani.

Unajua maana halisi ya hatua hiyo? Kweli mitego mingine haifaa ya weza kama mpka kokoro badala ya samaki.
 
Hatuwezi kumwacha dikteta aendelee kusigina demokrasia. Maandamano na mikutano ya hadhara tarehe 1 Septemba viko pale pale. Dikteta ajiandae kuumbuka.
 
Wao wafanye wasifanye
Maandamano kama hayo hushiriki wasio jitambua.
Mwenye akili zake hawezi kuandamana kwa hoja za kijinga kama hizo,
Ufisadi umewapoteza leo wamekosa hoja wanakuja na upuzi upuzi!!!

Mimi sita weka msiba wala kuumia kwa lolote litakalo tokea Tar 01

MAGU NI WATOFAUTI SANA
Hata tulipoandamana kupinga ufisadi bado mlikebehi na kutupiga mabomu ya machozi na Risasi za moto!
Siku za mbele tukimalza la udikteta mtasema tumeacha jambo la msingi kupigania demokrasia!Ndivyo mlivyo
 
Lengo la chadema sio ukuta,lengo lao ni serikali ya mseto kupitia muafaka kama ilivyokuwa zenji....
 
Bila kujali kama yatafanyika au la lakini tayari yamekuwa ni ushindi mkubwa sana kwa CHADEMA
Makada maarufu kama Bashe Mzee Wassira, Ndugai wameongea kwa uwazi wengine wameongea kwa siri
Majeshi imebidi yarudi viwanjani kujifua (asante UKUTA, jamaa wamepunguza manyama uzembe )
Viongozi wa dini wameongea vikao vimefanyika
Kichekesho cha mwaka na dhikaha ya kukera sana watawala ni pale siku ya tarehe moja maaskari na zana zao zote na maandalizi yao yote watakapomwagwa mtaani halafu wasione muandamaji hata mmoja...inauma mno
 
Wao wafanye wasifanye
Maandamano kama hayo hushiriki wasio jitambua.
Mwenye akili zake hawezi kuandamana kwa hoja za kijinga kama hizo,
Ufisadi umewapoteza leo wamekosa hoja wanakuja na upuzi upuzi!!!

Mimi sita weka msiba wala kuumia kwa lolote litakalo tokea Tar 01

MAGU NI WATOFAUTI SANA
Hivi hoja za kijinga ni zipi? Kati ya watu kudai haki yao kwa mujibu wa katiba na hoja ya kuita watu 2000 kwenye uchaguzi wa mwenyekiti halafu hamna uchaguzi mtu anapewa kijiti? Yaani wajinga siku zote hawawezi kuona mbele
 
Viroba tatizo
 
Hata tulipoandamana kupinga ufisadi bado mlikebehi na kutupiga mabomu ya machozi na Risasi za moto!
Siku za mbele tukimalza la udikteta mtasema tumeacha jambo la msingi kupigania demokrasia!Ndivyo mlivyo
Hujitambui
Majizi yalisha wanunua kwa viroba
 
Inaonekana UKUTA umewaingia lumumba kuliko hata sisi chadema.. Hahahaa wenzetu hamlali.. Na mkilala mnauota UKUTA.. sisi akha.. tunaisubiri kwa hamu September mosi tufanye yetu.. Polisi hawana uwezo wa kutuzuia na ndo maana wanatishia watu kwa mazoezi.. Mama ni mechi bc.. Chadema 3 na polisiccm 0 na dakika ni ya 89 na mwamuzi anaangalia saa yke kuashiria mechi kuisha... Hahaaa namuona uncle magu haamini kilicho tokea.. teh teh teh teh.. Kashika kiuno kuashiria mzee mzima UKUTA ume mchosha...
Viroba tatizo
 
Wao wafanye wasifanye
Maandamano kama hayo hushiriki wasio jitambua.
Mwenye akili zake hawezi kuandamana kwa hoja za kijinga kama hizo,
Ufisadi umewapoteza leo wamekosa hoja wanakuja na upuzi upuzi!!!

Mimi sita weka msiba wala kuumia kwa lolote litakalo tokea Tar 01

MAGU NI WATOFAUTI SANA
Ujinga ni pale unapo hisi maandamano hayapo kwa mujibu wa katiba
 
MBOWE ANAKOELEKEA ATAOKOTA MAKOPI SASA..... Anadhani awamu hii ya 5 kuna muda wa kuitwa Ikulu na kubembelezwa....

Tunawatakia kila la kheri ktk kushikishana ukuta.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom