naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,766
- 2,431
Ndiyo maana sina Chama na siwezi kuamini mwana siasa yeyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jikite kwenye mada...La msingi ni maneno ya Mbowe.Sass hicho kikatuni ndiyo Source ya hii habari?
Ndiomaana imekaa kikatunikatuni tu,
BACK TANGANYIKA
Riek MacharNdiyo maana sina Chama na siwezi kuamini mwana siasa yeyote.
Mbowe anatafuta sababu ili ionekane serikali inataka mazngumzo.Taratibu naanza kukumbuka ile stop walio pigwa baa ya vichaa walipo sisitiza kwenda Dodoma kuwasaidia polisi kuzuia mkutano wa Ccm usifanyike
vijana morali ilikuwa juu sana tangazo likapita kuwa wameandikisha zaidi ya vijana elfu tano nchi ikaanza kuhamaki tukaamini labda wapo serious dah Mara ghiiiiiiiiiiiiiiiiii so tegemea Mkuu hilo kutokea mana kama serikali itaona kuwa ni tishio wanaweza omba mazungumzo sasa mbowe yeye ndo anaomba mazungumzo
Nimenukuu chanzo mkuu!...
.....unamlisha maneno?
Hakika,wiki ni siku nyingi kwa mwanasiasa.Hii zama nyingine litakalokua na liwe magu mazungumzo No
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema kuwa chama chake kiko tayari kusitisha mikutano na maandamano ya Septemba 1 yaliyotajwa kuwa sehemu ya Operesheni UKUTA, endapo yataanzishwa mazungumzo kutafuta muafaka. Mbowe ambaye hivi sasa yuko kanda ya Kaskazini akipanga mikakati na viongozi wa chama hicho kuhusu namna ya kuratibu na kutekeleza operesheni UKUTA, amesema kuwa wako tayari kusitisha mpango huo na kushiriki mazungumzo yoyote yatakayoanzishwa ( Source😀ar 24)
My take;
Huu ni mwanzo wa Mbowe kubadili gia angani nina uhakika kabisa moyoni mwake hakuna kitu kama ukutani!. Je kama wakisitisha 'udikteta' wa raisi utakwisha?...ni jibu gani anategemea kutoka serikalini?...anaamini ataruhusiwa kuendelea na mikutano na maandamano?...au safari ya Ogasti,28 ni kweli?
=======
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema kuwa chama chake kiko tayari kusitisha mikutano na maandamano ya Septemba 1 yaliyotajwa kuwa sehemu ya Operesheni UKUTA, endapo yataanzishwa mazungumzo kutafuta muafaka.
Mbowe ambaye hivi sasa yuko kanda ya Kaskazini akipanga mikakati na viongozi wa chama hicho kuhusu namna ya kuratibu na kutekeleza operesheni UKUTA, amesema kuwa wako tayari kusitisha mpango huo na kushiriki mazungumzo yoyote yatakayoanzishwa.
“Tutashiriki mazungumzo yoyote ya kusaka muafaka na kama matamko ya Rais Magufuli yakibalishwa. Tutawaeleza wanachama kusitisha mikutano ya Septemba 1 na kuendelea na mikutano ya kawaida,” alisema Mbowe.
Kiongozi huyo wa Chadema alitangaza kufanyika kwa Operesheni Ukuta nchi nzima na kwamba Kamati Kuu ya Chama hicho imeridhia kufanya maandamano na mikutano nchi nzima kwa lengo la kupinga kile walichodai ni kuminywa kwa demokrasia ndani na nje ya Bunge.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amewataka kusitisha maandamano hayo akieleza kuwa kama walizoea kutikisa kiberiti, wakati huu hiki ni kiberiti cha gesi.
Source: Dar24
Riek Machar
CHADEMA ni hatari.Chadema wako kama Wanawake, siku zote Mwanamke akitaka kitu huwa akwambii moja kwa moja bali hukuanzishia visa, na kila unapompuuzia basi visa huongezeka!
Hakuna majadiliano na yoyote ili tuone hiyo Septemba Mosi watafanya nini!
Utamalizwa kabla hujapata hao wajukuu manaake unajifanya kichwa maji.Nimeshajiandaa kwa lolote....! Ila wajukuu zangu wapate mahali salama pa kuishi miaka ijayo
Hakika mkuu.Utamalizwa kabla hujapata hao wajukuu manaake unajifanya kichwa maji.
Hayakuusu...!Utamalizwa kabla hujapata hao wajukuu manaake unajifanya kichwa maji.
Waendelee tu,anafikiri Jpm ana muda wa kuwaita ikulu wanywe chai...Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema kuwa chama chake kiko tayari kusitisha mikutano na maandamano ya Septemba 1 yaliyotajwa kuwa sehemu ya Operesheni UKUTA, endapo yataanzishwa mazungumzo kutafuta muafaka. Mbowe ambaye hivi sasa yuko kanda ya Kaskazini akipanga mikakati na viongozi wa chama hicho kuhusu namna ya kuratibu na kutekeleza operesheni UKUTA, amesema kuwa wako tayari kusitisha mpango huo na kushiriki mazungumzo yoyote yatakayoanzishwa ( Source😀ar 24)
My take;
Huu ni mwanzo wa Mbowe kubadili gia angani nina uhakika kabisa moyoni mwake hakuna kitu kama ukutani!. Je kama wakisitisha 'udikteta' wa raisi utakwisha?...ni jibu gani anategemea kutoka serikalini?...anaamini ataruhusiwa kuendelea na mikutano na maandamano?...au safari ya Ogasti,28 ni kweli?
=======
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema kuwa chama chake kiko tayari kusitisha mikutano na maandamano ya Septemba 1 yaliyotajwa kuwa sehemu ya Operesheni UKUTA, endapo yataanzishwa mazungumzo kutafuta muafaka.
Mbowe ambaye hivi sasa yuko kanda ya Kaskazini akipanga mikakati na viongozi wa chama hicho kuhusu namna ya kuratibu na kutekeleza operesheni UKUTA, amesema kuwa wako tayari kusitisha mpango huo na kushiriki mazungumzo yoyote yatakayoanzishwa.
“Tutashiriki mazungumzo yoyote ya kusaka muafaka na kama matamko ya Rais Magufuli yakibalishwa. Tutawaeleza wanachama kusitisha mikutano ya Septemba 1 na kuendelea na mikutano ya kawaida,” alisema Mbowe.
Kiongozi huyo wa Chadema alitangaza kufanyika kwa Operesheni Ukuta nchi nzima na kwamba Kamati Kuu ya Chama hicho imeridhia kufanya maandamano na mikutano nchi nzima kwa lengo la kupinga kile walichodai ni kuminywa kwa demokrasia ndani na nje ya Bunge.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amewataka kusitisha maandamano hayo akieleza kuwa kama walizoea kutikisa kiberiti, wakati huu hiki ni kiberiti cha gesi.
Source: Dar24
Nyie watu wa ajabu sana akitangaza UKUTA mnalialia sasa anataka kusitisha mnalialia, tuwaeleweje? Mnajua lengo la UKUTA? Hizi ni dalili kuwa mnapiga kelele tu bila kueLewa dhana nzima ya UKUTAMwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema kuwa chama chake kiko tayari kusitisha mikutano na maandamano ya Septemba 1 yaliyotajwa kuwa sehemu ya Operesheni UKUTA, endapo yataanzishwa mazungumzo kutafuta muafaka. Mbowe ambaye hivi sasa yuko kanda ya Kaskazini akipanga mikakati na viongozi wa chama hicho kuhusu namna ya kuratibu na kutekeleza operesheni UKUTA, amesema kuwa wako tayari kusitisha mpango huo na kushiriki mazungumzo yoyote yatakayoanzishwa ( Source😀ar 24)
My take;
Huu ni mwanzo wa Mbowe kubadili gia angani nina uhakika kabisa moyoni mwake hakuna kitu kama ukutani!. Je kama wakisitisha 'udikteta' wa raisi utakwisha?...ni jibu gani anategemea kutoka serikalini?...anaamini ataruhusiwa kuendelea na mikutano na maandamano?...au safari ya Ogasti,28 ni kweli?
=======
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema kuwa chama chake kiko tayari kusitisha mikutano na maandamano ya Septemba 1 yaliyotajwa kuwa sehemu ya Operesheni UKUTA, endapo yataanzishwa mazungumzo kutafuta muafaka.
Mbowe ambaye hivi sasa yuko kanda ya Kaskazini akipanga mikakati na viongozi wa chama hicho kuhusu namna ya kuratibu na kutekeleza operesheni UKUTA, amesema kuwa wako tayari kusitisha mpango huo na kushiriki mazungumzo yoyote yatakayoanzishwa.
“Tutashiriki mazungumzo yoyote ya kusaka muafaka na kama matamko ya Rais Magufuli yakibalishwa. Tutawaeleza wanachama kusitisha mikutano ya Septemba 1 na kuendelea na mikutano ya kawaida,” alisema Mbowe.
Kiongozi huyo wa Chadema alitangaza kufanyika kwa Operesheni Ukuta nchi nzima na kwamba Kamati Kuu ya Chama hicho imeridhia kufanya maandamano na mikutano nchi nzima kwa lengo la kupinga kile walichodai ni kuminywa kwa demokrasia ndani na nje ya Bunge.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amewataka kusitisha maandamano hayo akieleza kuwa kama walizoea kutikisa kiberiti, wakati huu hiki ni kiberiti cha gesi.
Source: Dar24
Hajawahi na hatawahi kukaa na kupga soga...History shows kwamba the current person in power hana tabia ya kukaa na kusort things out, anatumia brute force zaidi so i doubt that will happen
Ila a week is a long time, anything can happen, so we just have to wait and see