Tetesi: CHADEMA muda wowote kusitisha Oparesheni UKUTA

Status
Not open for further replies.
Wakisitisha maandamano na zuio la vyama vya siasa kuendesha shughuli zake kikatiba nalo halina budi kusitishwa.
 
Kwa hiyo wewe hautaki balaa tusilolipenda libatilishwe? Vita huwa vinamalizika kwa majeshi ya pande hasimu kupewa amri ya kurudi nyuma. Mbowe ni M/kiti,kwa akili zako anaweza kushindwa "kutoa maagizo" ya kuahirisha balaa hili niksi linaloweza kusababisha umwagikaji wa damu?
Ndiyo nyie vichochezi visivyokuwa na mbele wala nyuma. Na siku "pendwa" ikifika wewe utakuwa bar umejificha,"umeufyata" unalewa na wala maandamano hautashiriki,bali utayaangalia kwenye luninga za kwenye ulevi.
 
Utanipotezea muda kukujibu ,endelea na wengine
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…