Bila katiba mpya na watu kubadili fikra zao hatuwezi kuwa na serikali ya chama zaidi ya CCM.
Asante Rev. Kishoka, naamini wenye mapenzi mema na Chadema wamekuelewa, mimi nimeposti post kuhusu Chadema hawajajipanga, nakubali udhaifu wangu nilitaja majina na udhaifu wao, hivyo ikaonekana ni matukano.
Safu ya uongozi uliyoipendekeza ni nzuri, ila kwa maoni yangu, safu hiyo mpya ya uongozi pia ipinge baadhi ya dhana zilizojengwa dhidi ya Chadema, hivyo kwa ushauri wangu, Mwenyekiti akiwa denomination fulani, katibu mkuu awe denomination nyingine na nilitaja jina, halafu Rwakatare awe naibu katibu mkuu.
Kuna mafanatic wa Chadema ambao bado ni waumini kuwa Chadema ni chama cha kina fulani, na hao akina fulani, ndio wamewakabidhi chama kina fulani, hivyo hao waliokabidhiwa, chama ni mali yao. Ndio maana Zitto alipogombea Uenyekiti nilimuuliza amepata wapi manlaka ya kutaka kwenda juu bila ruhusa ya wenye chama?, Zitto na kiburi chake na kujiamini kwake kulikopitiliza, akataa ushauri wa kuomba baraka kwa wenye chama na kutangaza straight atawavaa wenyewe. Kilichofuatia sote tunakijua.
Hivyo ili kuondoa dhana ya Chadema ni chama cha kina fulani na ndio wamepewa kifamilia, hao kina fulani wakubali kupisha uongozi wa kitaifa zaidi ili kuifuta hiyo dhana ya kifamilia hata kama wamechaguliwa katika chaguzi halali ndani ya chama.
Angalizo kwa wapenzi wa Chadema na mashabiki wa chama hiki, Chadema sasa imefika level za juu kabisa, sio chama chenu tena, ni chama cha wote, ni chama cha kitaifa, kama kinavyopendwa Kaskazini, tungependwa kipendwe vivyo hivyo na Kusini. Tunawashukuru na kuwaheshimu waasisi wa chama hiki tangu walipokiasisi na kukitoa hapo kilipoanza mpaka hapa kilipofika, hapa ndio mwisho wao, its about time kuunda more capable team kukiondoa kwenye the running lane na kukipaisha kabisa angani na kuenea Tanzania yote.
Utawapata vipi hao wabunge ikiwa uchakachuaji upo? hivi husomi yaliyotokea Zanzibar miaka yote iliyopita? Amini maneno yangu kwa mfumo huu uliopo Chadema or any opposition party will never gain 100 seat bungeni - NEVER!
Pasco said:Asante Rev. Kishoka, naamini wenye mapenzi mema na Chadema wamekuelewa, mimi nimeposti post kuhusu Chadema hawajajipanga, nakubali udhaifu wangu nilitaja majina na udhaifu wao, hivyo ikaonekana ni matukano.
Safu ya uongozi uliyoipendekeza ni nzuri, ila kwa maoni yangu, safu hiyo mpya ya uongozi pia ipinge baadhi ya dhana zilizojengwa dhidi ya Chadema, hivyo kwa ushauri wangu, Mwenyekiti akiwa denomination fulani, katibu mkuu awe denomination nyingine na nilitaja jina, halafu Rwakatare awe naibu katibu mkuu.
Kuna mafanatic wa Chadema ambao bado ni waumini kuwa Chadema ni chama cha kina fulani, na hao akina fulani, ndio wamewakabidhi chama kina fulani, hivyo hao waliokabidhiwa, chama ni mali yao. Ndio maana Zitto alipogombea Uenyekiti nilimuuliza amepata wapi manlaka ya kutaka kwenda juu bila ruhusa ya wenye chama?, Zitto na kiburi chake na kujiamini kwake kulikopitiliza, akataa ushauri wa kuomba baraka kwa wenye chama na kutangaza straight atawavaa wenyewe. Kilichofuatia sote tunakijua.
Hivyo ili kuondoa dhana ya Chadema ni chama cha kina fulani na ndio wamepewa kifamilia, hao kina fulani wakubali kupisha uongozi wa kitaifa zaidi ili kuifuta hiyo dhana ya kifamilia hata kama wamechaguliwa katika chaguzi halali ndani ya chama.
Angalizo kwa wapenzi wa Chadema na mashabiki wa chama hiki, Chadema sasa imefika level za juu kabisa, sio chama chenu tena, ni chama cha wote, ni chama cha kitaifa, kama kinavyopendwa Kaskazini, tungependwa kipendwe vivyo hivyo na Kusini. Tunawashukuru na kuwaheshimu waasisi wa chama hiki tangu walipokiasisi na kukitoa hapo kilipoanza mpaka hapa kilipofika, hapa ndio mwisho wao, its about time kuunda more capable team kukiondoa kwenye the running lane na kukipaisha kabisa angani na kuenea Tanzania yote.
Mkuu wangu pengine mimi niko hatua moja mbele yako au nyuma yako lakini nitaendelea kusema ukweli hata kama unauma. Sijasema kwamba Chadema ndio pekee wanaweza kuleta mabadiliko ya kweli lakini kupitia Chadema tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli ukizingatia vyama vilivyopo leo hii. Hiki ni chama cha vijana na hakika wametoka mbali sana kukinadi chama hiki na mnakumbuka vizuri walianza wapi na leo wamefika wapi. Hard work pasipo tools, strategy na malengo yakinifu sio sababu kabisa ya kuwa successs.Kuendelea kuishi kwa matarajio haya mabadiliko, itakuwa ndoto kuleta mabadiliko ya kiutawala katika nchi hii.
It is all about time, na pia mna sahau na kukosea pale mnapoona chadema pekee ndio ina ticket ya kuleta mabadiliko ya kweli au upinzani wa kweli kwa chama tawala.
In any case, hard work is the key to every success.
Pasco,
..mbona hayo ya denomination tofauti kati ya Mwenyekiti na Makamu tayari yapo ktk Chadema? ipo pia hata kwa Katibu Mkuu na Naibu wake. mara nyingine ukiendekeza perceptions fulani fulani your thinking gets clouded na unashindwa kuona very obvious facts.
..Mwenyekiti wa kwanza alikuwa Mzee Mtei, akafuatiwa na Mzee Mohamed "Bob" Makani.
..dhana kwamba Mbowe amepewa uenyekiti na baba mkwe wake inatoka wapi wakati yeye amempokea Uenyekiti Mzee Makani?
..zaidi, tukiletewa safu ya Uongozi wa Chadema na tukakuta kuna watu wa makabila mbalimbali tutasema nini?
..wengine wanashauri kwamba Chadema ichague Mwenyekiti kwa kufuata ukabila na kuchagua Mwenyekiti toka makabila other than Mchagga.kwa uelewa wangu,Mzee Makani, mwenyekiti mstaafu wa Chadema, ni Msukuma.
..kwa mtizamo wangu hata sisi wananchi wenyewe tunapaswa ku-restructure na ku-reform fikra zetu. hata kama tunaugua "UKABILA" kuna kipindi mgonjwa anatakiwa kujikaza huku akisubiri dawa zifanye kazi. kwa maneno mengine tujifunze kuvumiliana na kuishi pamoja. Waislamu/Wakristo/Wachaga/Wasukuma/Wanyakyusa etc etc have every rights as each one of us and are here to stay.
..as much as ningependa mabadiliko ndani ya Chadema nadhani kuna umuhimu busara ikatumika kufikia mabadiliko hayo. naamini Chadema bado ni chama kichanga na si rahisi kutibu "majeraha" ya a highly contested elections especially in higher positions.
..kwa mtizamo wangu yeyote yule anayetaka uongozi wa nafasi za juu Chadema aige mfano wa Dr.WILBROAD SLAA. huyu kwa kweli unaweza kusema kwamba hakuwa mwasisi wa Chadema, aliangukia tu huko kwa bahati mbaya/nzuri, lakini aliweza kujipambanua kwa ujasiri wake wa kutetea haki na umahiri wake wa kujenga hoja. sifa hizo ndizo zilizomfanya awe chaguo la Chadema la Uraisi hand down.
..kama Chadema ina wenyewe, au wenye chama, ilikuwaje basi Dr.Slaa akapendekezwa kuwa mgombea Uraisi?
NB:
..hatuwezi kukifanya Chadema kuwa chama cha wote huku tukiwa on the fences tunapiga makelele kwamba fulani na fulani, wa-Tanzania wa eneo fulani watupishe, ndipo na sisi tujiunge.
..pia Chadema haiwezi kusonga mbele by weakening its rear base. Chadema inapaswa kujenga on what they have right now. Wajiimarishe maeneo mengine ya Tanzania bila kudhoofisha base waliyonayo maeneo ya Kaskazini na haswa baadhi ya wilaya za mkoa wa Kilimanjaro.
Mtanganyika said:Tatizo kubwa ambalo naliona ndani ya wanachama wengi wa chadema ni kuwa na dhana ya kwamba kuna kundi la mamluki ambalo linaitakia mabaya Chadema, hivyo kila hoja kutoka upande wa pili inapingwa pasipo maelezo.
Mwaka 2008 niliandika hapa Zitto alipokuja nchi Marekani, nilipata muda mrefu sana wa kukaa nae tukiwa one and one. Nilimuelezea kabisa kwamba CHADEMA ni chaguo la kwanza kwa Watanzania walio choshwa na CCM. Nikamweleza kwamba ili Chadema ishinde mioyo ya Watanzaia wengi, basi kazi kubwa inabidi ifanyike. Na hofu kubwa ambayo niliiweka wazi ni kuhusu Mwenyekiti wake, nikamwambia kuna potential leaders wengi ambao wanataka kujiunga na CHADEMA lakini wengi wanaona Mboe ni kikwazo kwao. Hili liko wazi na niukweli usio pingika.
Mboe ana kila haki ya kupokea sifa nyingi kwa kukiimarisha chama mpaka hapo kilipo fika, lakini ni wazi kabisa Mboe hana uwezo wa kiutendaji wa kukipeleka hichi chama kwenye hatua nyingine. Tulikubali au tulikatae hilo, lakini ni uwazi usio pingika. Dr. Slaa ni mtashi ambae anaweza kuarticulate point nyingi, hivyo akiachiwa uwenyekiti hapa anaweza kukipeleke hichi chama kwenye level mpya ambayo ni bora kwa watanzania wote.
Mimi nitasema hivi tu..Aloyafanya Mbowe kama mwenyekiti wa Chadema yanatakiwa kupewa pongezi kubwa sana..Hivi mwenyekiti akiwa Dr.Slaa ataweza kubadilisha kitu gani? kama ni Ukabila bado wapo watu watasema Dr anatoka kaskazini, kama Udini bado hatapunguza lolote na pengine kukifanya chama kuchukua sura mbaya zaidi. Dr.Slaa abarikiwe, apewe maisha na uhai ili agombee tena kiti hicho mwaka 2015 kama rais wetu, na Mbowe azidi kukipanga chama ktk ufanisi na kuhakikisha dosari hizi zinazojitokeza zinaondolewa mapema sana.
Yeye kama mwenyekiti, Chadema ina makamu wake ambaye ni muislaam na anatoka Mpanda. haya sii ndivyo mnavyopenda?..Katibu mkuu kuendelea kuwa Dr.Slaa itakipa nguvu zaidi Chadema. Zitto pia kashika wadhifa mzuri sana chini ya Dr.Slaa na ataendelea kujifunza kwani chama kinamhitaji sana, kwa hili msijidanganye ..Na zipo nafasi nyinginezo ambazo Chadema inatakiwa kuzisambaza mikoani hadi visiwani kwani makuzi ya chama hutegemea zaidi kusambaa kwake.
Chadema watafute zaidi ushiriki wa vyama pinzani vya CUF huko visiwani kwa mfano jahazi asilia na kadhalika tusifanye makosa kama ya CUF..Maadam chadema imepata wabunge wengi mikoani hii ndiyo nafsi ya kuimarisha kambi hizo huko mikoani kufikia wilaya na vijiji ambavyo zamani haikuwa rahisi kuwavuta wananchi. Na pengine kupitia ushiriki wa wananchi wengi ktk kambi ya Chadema kutaweza kuleta mageuzi ya kifikra kwa wananchi waishio vijijini ambao mimi binafsi naamini changamoto ya mageuzi itatokana na wananchi wenyewe kuyataka.
Asante Rev. Kishoka, naamini wenye mapenzi mema na Chadema wamekuelewa, mimi nimeposti post kuhusu Chadema hawajajipanga, nakubali udhaifu wangu nilitaja majina na udhaifu wao, hivyo ikaonekana ni matukano.
Safu ya uongozi uliyoipendekeza ni nzuri, ila kwa maoni yangu, safu hiyo mpya ya uongozi pia ipinge baadhi ya dhana zilizojengwa dhidi ya Chadema, hivyo kwa ushauri wangu, Mwenyekiti akiwa denomination fulani, katibu mkuu awe denomination nyingine na nilitaja jina, halafu Rwakatare awe naibu katibu mkuu.
Kuna mafanatic wa Chadema ambao bado ni waumini kuwa Chadema ni chama cha kina fulani, na hao akina fulani, ndio wamewakabidhi chama kina fulani, hivyo hao waliokabidhiwa, chama ni mali yao. Ndio maana Zitto alipogombea Uenyekiti nilimuuliza amepata wapi manlaka ya kutaka kwenda juu bila ruhusa ya wenye chama?, Zitto na kiburi chake na kujiamini kwake kulikopitiliza, akataa ushauri wa kuomba baraka kwa wenye chama na kutangaza straight atawavaa wenyewe. Kilichofuatia sote tunakijua.
Hivyo ili kuondoa dhana ya Chadema ni chama cha kina fulani na ndio wamepewa kifamilia, hao kina fulani wakubali kupisha uongozi wa kitaifa zaidi ili kuifuta hiyo dhana ya kifamilia hata kama wamechaguliwa katika chaguzi halali ndani ya chama.
Angalizo kwa wapenzi wa Chadema na mashabiki wa chama hiki, Chadema sasa imefika level za juu kabisa, sio chama chenu tena, ni chama cha wote, ni chama cha kitaifa, kama kinavyopendwa Kaskazini, tungependwa kipendwe vivyo hivyo na Kusini. Tunawashukuru na kuwaheshimu waasisi wa chama hiki tangu walipokiasisi na kukitoa hapo kilipoanza mpaka hapa kilipofika, hapa ndio mwisho wao, its about time kuunda more capable team kukiondoa kwenye the running lane na kukipaisha kabisa angani na kuenea Tanzania yote.
Mimi nitasema hivi tu..Aloyafanya Mbowe kama mwenyekiti wa Chadema yanatakiwa kupewa pongezi kubwa sana..Hivi mwenyekiti akiwa Dr.Slaa ataweza kubadilisha kitu gani? kama ni Ukabila bado wapo watu watasema Dr anatoka kaskazini, kama Udini bado hatapunguza lolote na pengine kukifanya chama kuchukua sura mbaya zaidi. Dr.Slaa abarikiwe, apewe maisha na uhai ili agombee tena kiti hicho mwaka 2015 kama rais wetu, na Mbowe azidi kukipanga chama ktk ufanisi na kuhakikisha dosari hizi zinazojitokeza zinaondolewa mapema sana.
Yeye kama mwenyekiti, Chadema ina makamu wake ambaye ni muislaam na anatoka Mpanda. haya sii ndivyo mnavyopenda?..Katibu mkuu kuendelea kuwa Dr.Slaa itakipa nguvu zaidi Chadema. Zitto pia kashika wadhifa mzuri sana chini ya Dr.Slaa na ataendelea kujifunza kwani chama kinamhitaji sana, kwa hili msijidanganye ..Na zipo nafasi nyinginezo ambazo Chadema inatakiwa kuzisambaza mikoani hadi visiwani kwani makuzi ya chama hutegemea zaidi kusambaa kwake.
Chadema watafute zaidi ushiriki wa vyama pinzani vya CUF huko visiwani kwa mfano jahazi asilia na kadhalika tusifanye makosa kama ya CUF..Maadam chadema imepata wabunge wengi mikoani hii ndiyo nafsi ya kuimarisha kambi hizo huko mikoani kufikia wilaya na vijiji ambavyo zamani haikuwa rahisi kuwavuta wananchi. Na pengine kupitia ushiriki wa wananchi wengi ktk kambi ya Chadema kutaweza kuleta mageuzi ya kifikra kwa wananchi waishio vijijini ambao mimi binafsi naamini changamoto ya mageuzi itatokana na wananchi wenyewe kuyataka.
Mtanganyika,Tatizo kubwa ni mmoja kuwa Mwenyekiti na wakati huo huo mbunge ni kuwanyima haki ya muda wananchi wa Jimbo lako na wanachama wa CHADEMA. Mboe aendelee kuwa mwekiti wa kambi ya upinzani bungeni, na mpiganiji wetu. ukatibu na uwenyekiti wapewe watu ambao sio wabunge lakini wana national identity.
Chapili Chadema lazima watibu vidonda walivyo viweka ccm, kwama chadema ni chama cha udini, ukabila na N.K. Lakini napinga kuchagua zuzu eti kisa muislam au kisa mkwere.
Mtanganyika said:Mtanganyika,
Naona sasa unasogeza goal post. Mbowe amekuwa mwenyekiti kwa miaka mitano akiwa nje ya bunge. Kazi aliyoifanya sote tunaiona. Sasa unadai kuwa kuwa mwenyekiti na mbunge ni kuwanyima haki ya muda wananchi wa jimbo laki na wana CHADEMA. Bunge vikao vyake ni seasonal. Mbowe atakuwa/anao muda wa kutosha kuwasiliana na wananchi wa jimbo lake na wana CHADEMA pindi bunge litakapokuwa out of session. Hapo hakuna conflict na hakuna haki waliyonyimwa wananchi na wana CHADEMA. Suala la ukabila wa CHADEMA limejibiwa vizuri tu na uchaguzi wa mwaka huu. Kuanzia sasa sisi wote ni Wachagga. Kuanzia Moshi hadi Musoma, Arusha hadi Iringa, Nyamagana hadi Mbeya. Suala la Uchaga Watanzania wamelijibu kwa sauti kubwa. Tafuta kisingizio kingine cha kumkosoa Freeman.
Wazo zuri sana! sasa umeongea kitu kwani mimi hupenda zaidi kusikia sababu kubwa ya kufanya mabadiliko mnayotahitaji. Lakini pia tukumbuke tu kwamba bungeni hawa watu hukaa sio zaidi ya siku 100 na pale ndipo wananchi wengi hutazama mwelekeo wa chama. Haya tazama JK ni mwenyekiti wa CCM na muda mwingi yuko nje ya nchi sijui labda niseme siku 236 kwa mwaka huwa nje ya nchi na hakika binafsi sikumbuki kabisa toka mwalimu Nyerere kuna mwenyekiti wa CCM ambaye aliongeza au kuongoza ufanisi wa chama hiki ktk ushindi au matokeo ya maagizo yake kwa wananchi, isipokuwa makatibu wakuu ndio wamekuwa chachu ya chama hiki.. Hizi ndio siasa za Bongo hivyo Dr.Slaa ktk nafasi alonayo akipambana na kina Makamba au kinana nadhani hapo kuna raha zaidi. Wananchi hawajali sana mwenyekiti isipokuwa wanachama wenyewe ndio wanajua yupi anaweza kuwashawishi kichama na ktk nafasi gani.Tatizo kubwa ni mmoja kuwa Mwenyekiti na wakati huo huo mbunge ni kuwanyima haki ya muda wananchi wa Jimbo lako na wanachama wa CHADEMA. Mboe aendelee kuwa mwekiti wa kambi ya upinzani bungeni, na mpiganiji wetu. ukatibu na uwenyekiti wapewe watu ambao sio wabunge lakini wana national identity.