Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu tazama kitu hii ni Zitto pekee alishiriki ktk mada hii wengine wakisoma na kupita... Haya yote yanatueleza nini?
Wow!Bila katiba mpya na watu kubadili fikra zao hatuwezi kuwa na serikali ya chama zaidi ya CCM.