CHADEMA Must Reform and Restructure now!

Jeshi na polishi limesha wasoma CDM siku nyingi, CCM haitaleta vurugu Tanzania ni chama cha majambazi ndio kitaleta vurugu, je huoni hao viongozi wenu wanavyo ropoka kwenye mikutano? Narudia tena hiyo lugha yenu nyie viongozi wa CHAMA CHA MAJAMBAZI ndio inawapeleka kwenye virungu.
 
nimekuta thread flani.. mdau anapiga kelele muheshimiwa mnyika tuchongee barabara..>>>>> kumbe mnyika mwenyewe yupo kwenye maandamano as if wanachi wa ubungo wamemtuma akaandamane...

chama cha demokrasia na maandamano.. badilini stratergy zetu za kupigana na mafisadi.. kuandamana hakutawafikisha popote!
 

Broda,

Kama ingekuwa tuna-judge mtu kwa kuangalia avatar yake, basi mimi nimekuwa nakuona wa busara sana!
Nasikitika nimepoteza muda wangu mwingi kufikiria hivyo!
Shame on you!
Kaka unaishi wapi wewe usiyeelewa kwamba kuwafilisi hawa mafisadi ni ni suala la sheria, ambalo lingeanzishwa na TAKUKURU KWA KUSHIRIKIANA NA polisi, kama hiyo TAKUKUNGURU ingekuwa na MENO?
Serikali unayoiona inafanya nini na hao mafisadi basi?...kwanini umekaa kwa mkeo hulalamiki wakati unajua kuna tatizo?

CDM wanachofanya ni kuwaelimisha wananchi ili waelewe suala hili, kwamba wanaibiwa mchana kweupe, then kupitia KURA watoe hukumu yao, ambapo hii ndiyo tunaita NGUVU YA UMMA!.

Kwanini mtu ambaye unaonekana kuwa mwelewa, na una access na computer unashindwa kupambanua mambo rahisi?..Unashindwa na watu wa Chipole huko Ruvuma?
Aibu kwako!
 
Je ahadi zenu kwenye kampeni zilikua ni kuandamana kila kukicha tu? Mbona hizo lami na maendeleo kwenye majimbo yenu hamutekelezi? Mbunge wa kigoma anakwenda Mbeya tuoa ahadi wakati jimboni kwake wanaishi maisha ya kinyani nyani.
 
Ondoa hiyo avatar na uweke ya Sophia Simba au Nape maana ujumbe wako uko duni sana, mtu akiangalia avatar yako unaonekana mwenye busara lakini .........................
 
Tatizo la ccm mna tatizo la kutoona mbali. Najua mtakuja kujua ninachosema baada ya kuona. Maana ni kawaida yenu.
Kwa heri.
 

Mara chama cha kikabila,mara chama cha majambazi yaani yote hayo umeiangushia Chadema?Ni chuki au kuna lingine!?Hebu tumia busara zaidi kuliko upumbavu uliouandika utaeleweka tu.
 
"

Who is the clever people then? You? me or? Please advice so that we search for that person because i think we need that person more than we have never needed anything before. Tanzania is sinking and yet people are discouraging others who are showing at least some effort to show us the way to go, even if they might have their personal agenda, but so far i will go for them rather than just seat and say "haiwezekani"
:sick:.
 
Tunatumiaje Azimio CHADEMA Rev? We are a centre right party in the family of Concervative party of UK and Canada, the Republican party, CDU of germany etc.

Sijaelewa reforms unazopendekeza are informed with what? Unaposema Lwakatare awe Katibu Mkuu unazingatia nini? Unaposema Slaa awe mwenyekiti una maanisha nini pamoja na majukumu uliyoweka.
Mbowe afanye kazi gani? Zitto? Halafu Lwakatare akiwa mbunge tutafute KM mwingine? Can you suggest reforms without names?
 

Omr, mark my words! Kitendo cha kutuita sie vijana jobless ni wavuta bangi...kimenikera!! Tumejipanga na tutawamaliza, tutatumia networking tuliyo nao kujaribu kusaidiana kupata kazi, kuisambaza na kuikemea hii meseji mliotupa sie walala hoi, matumaini kata kidogo tuliyokuwa nayo kuwa sirikali yetu inayoongozwa na chama chako inatujali kumbe hamna kitu, mwatuona wahuni na wavuta bangi! We will C nani atavuta bangi next, shame on u, wabaguzi.
 
Zitto, Azimio la Arusha is our blue print as Taifa. Tatizo ni kila mtu kuonanisha kushindwa kwetu kujiendesha na hata kukimbilia soko huru kama ndio kigezo ch aAzimio kuwa baya.

Mimi narudi kwenye kule kuwapa Watanzania nguvu na msukumo wa kuwa ni watu wanaojitegemea. Hata tukizungumzia Ujamaa, si ule wa mantiki ya kikomunisti au jinsi CCM walivyofanya. Ama kuna mengi ya kuhakikisha viongozi hawawi tabaka la pekee na kinyonyaji jinsi CCM ilivyo.

Dr. Slaa was a popular figure just after Uchaguzi, Lwakatare is a technocrat who could spend time to carry over party responsibility.

My suggestions were based on freeing all the elected Chadema MPs who happen to be party leadership from the party day to day running and focus more into Serikali as Serikali kivuli.
 
Hiyo network ilikuwa wapi sikuzote? kazi kukaa vijiweni na kuilaumu CCM. Jijenge wewe mwenyewe kimaisha halafu jenga chama. Na hata hiyo kazi ukishapata JE utaacha mibangi???
 
OMRsio Omari wewe, na sio makusudi ni ukweli
 

Umaskini wa hoja ndio huu. Hujui kama upo huru kutoa hoja za kuelimisha umma na unakuaja na maneno ambayo yanakushushia hazi kama raia... acha uvivu na jua haki yako, kiongozi yeyote hasa mwizi wa kura anaweza akaondokewa na kura za maoni au hata kwa nguvu. Kumbe ccm pia mpo serious na kampeni za kusema cdm ni ya wachaga ili kukigawa cdm Tanzania. Mlishindwa udini wananchi wakawaona wajinga na sasa mmekuja na mpya ya cdm ya wachaga, hivi unawajua wachaga au umekunywa maji ya choo... cdm haitakufa kwa maneno na mipako ya kikwete na makada wenu tumieni hoja za nguvu.
 

Kumbe hata kazi za wabunge huzijui! Mnyika akichonga barabara na Magufuri afanye nini? Ninyi ndio huwa mnauza kura zenu kwa kofia na pombe za kienyeji kwa kuwa hamjui kwanini mnapiga kura. Ile tu kwamba unakereka na maandamano hayo ni jibu tosha kwamba yamefanikiwa. Maandamano kuungwa mkono na maelfu ya watanzania ni ujumbe wa kutosha kwamba upinzani unazidi kukomaa. La si hivyo niambie ubaya wa maandamano nini upi?
 
Ni chama cha wachaga aka majambazi.

ccm wao ni wakina nani tena. Sitajishusha chini kwenye level yako wala yakwenu. Magonjwa na umaskini wenu mmtuletea na mnataka tuendelea kuambatana na ccm.

Maneno kama haya yanaonyesha jinsi gani kweli ccm inaogopa cdm du hali mbaya.
 
R.I. P CCM (MAGAMBA)
Kwa ule umati wa Songea , najiamini kusema kuwa ccm tulikupenda, lakini kuzimu na kaburi vimekupenda zaidi!

ivi kila anayekuja kwenye mkutano anakuwa mwanachadema? kwa Dar yawezekana ikawa ina ukweli fulani, lakini kwa mikoani siyo kweli. halafu kila aliyekuwa pale ni mpiga kura? Kama unakumbuka kipindi cha kampeni ilikuwa ivo ivo lakini Slaa alianguka vibaya mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…