Uchaguzi 2020 CHADEMA muwachunge wajumbe wenu kwa umakini mkubwa, kuna uwezekano wakahongwa fedha nyingi ili wamchague mtu asiye sahihi kwa maslahi ya chama fulani

Rushwa iko ccm huku CHADEMA hakuna huo ushenzi
 
Pale Ufipa hakuna wa kumzuia Nyalandu !
Hao MaCCM kwa rushwa ni kama uji na mgonjwa!!
Waliwanunua kina Silinde na Lijua likali, kuhong kwao ni mchezo tuu!!
Wajumbe wa CDM wakumbuke lengo la uchaguzi ni kuunda serikali itakayo leta katiba nzuri.
Kutengeneza nchi nzuri isiyo na dhuluma na ufisadi kama lilivyo lengo la TALissu!!
Pesa ya rushwa ni muda mfupi kama kina Silinde walivyo fanywa!!
Tufikirie maslahi mapana ya taifa letu Tanzania!!
 

Mkuu Watu hawahongwi kwenye Mkutano,Mtu unawezakuta Kashafuatwa nyumbani na Kuhongwa Pikipiki hata Nyumba,Chezea aliekuwa waziri wa Vitalu wewe![emoji851][emoji851]
 
Yaani mkuu kama hujui chandimu ni kama hamnazo! Subiri uchaguzi upite utaona
 
Hizi rushwa yawezekana tunapozungumza hapa tayari watu washashikishwa ten millions kila mtu wanahangaika nazo tu
Mkuu Watu hawahongwi kwenye Mkutano,Mtu unawezakuta Kashafuatwa nyumbani na Kuhongwa Pikipiki hata Nyumba,Chezea aliekuwa waziri wa Vitalu wewe![emoji851][emoji851]
 
Hili linawezekana Magu hashindwi kukomba hazina yote na kuwahonga mradi tu abaki madarakani
 
ccm wanamtaka Nyalandu ambaye ni Dhaifu sana asiye na uwezo hata wa kupata kura lakini tatu Nchi nzima, wanajua nyalandu hatampa shida magufuli, watajipenyeza huko ili wajumbe wamchague nyalandu
 
Binafsi kama Lissu hatapitishwa basi sitarajii tena maishani mwangu kupiga kurasu kushiriki kwa mtindo wowote kumchagua kiongozi
Upo uwezekano huo kwani ccm inafanya kila jitihada Lisu asiwe mgombea Urais wa chadema na wengi wakiona Lisu hayupo watavujika moyo na huenda siku ya kupiga kura wasijitokeze kupiga kura, uchaguzi ugubikwe na wapiga kura Wachache zaidi
 
Chadema wakimchagua nyalandu wajue magufuli anashinda uchaguzi asubuhi mapema tena kwa kishindo.
 
[SUP]chadema kuweni makini sana kwenye uchaguzi wa mgombea Urais [/SUP]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…