Uchaguzi 2020 CHADEMA muwachunge wajumbe wenu kwa umakini mkubwa, kuna uwezekano wakahongwa fedha nyingi ili wamchague mtu asiye sahihi kwa maslahi ya chama fulani

Wanachama hawaaminiani,

Wajumbe hawaaminiki.

Chama hakiaminiki na wananchi.
 
Umenikumbusha mgombea mmoja wa CCM ambaye alipata kuwa waziri awali.
Alihonga zaidi ya nusu ya "wajumbe" lakini akaambulia kura 6 tuu.
Mbaya zaidi kila anayekutana naye anajifanya kumuuliza "hivi wengine hukuwapa? Maana Mimi nilikupigia"
Wapiga kura wa Chadema wanahofu ya Mungu, ukiwahonga ndio kwanza wanafanya maamuzi kinyume nawe.
 
Amina na Iwe Hivyo tupate Chaguo la watanzania TL
 
Mgombea akiwa siyo Lisu kwa upande wa chadema tusitegemee watu kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura
Hata hao wachache wanaweza wasijitoleze.nitashangaa hao wajumbe wanaochagua kama wakimchagua Mwingine zaidi ya Lissu.
 
Unalazimisha mgombea unayemtaka wewe ndiye awe chaguo la wajumbe.
Mgombea wenu atapatikana kutokana na katiba yenu;
Hao wajumbe wana uwezo wa kujua kilicho bora kuliko wewe.
 
Inatakiwa Chadema waweke utaratibu kuwa mtu akihamia chama chao asigombee cheo chochote mpaka baada ya muda fulani.

Kwa sababu huu utaratibu wao wa sasa inaonekana ndio ccm wanautumia kupachika watu wao kila uchaguzi moja unapomalizika.

Haiwezekani kila uchaguzi unapoisha lazima kuna mtu anatoka ccm kujifanya kuhamia Chadema au upinzani lengo lake likiwa kuja tu kugombea urais......!!!!!

Why only Chadema when there are many so called opposition parties? This thing sounds fishy.🐟🐟.
 
wakishindwa mpitisha chuma a.k.a lissu itakua basi tena jambo ambalo najua haliwezekani hata siku moja nyarandu sio kwa sasa mda huu
 
wakishindwa mpitisha chuma a.k.a lissu itakua basi tena jambo ambalo najua haliwezekani hata siku moja nyarandu sio kwa sasa mda huu
Yaani wamekulisha CCM kwa miaka lukuki Leo unataka kuwachallenge kupitia upinzani. Big no. Karibu upinzani kama mshauri na mwanachama tu na si vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…