Uchaguzi 2020 CHADEMA muwachunge wajumbe wenu kwa umakini mkubwa, kuna uwezekano wakahongwa fedha nyingi ili wamchague mtu asiye sahihi kwa maslahi ya chama fulani

Hao washajiandaa kutuwachia jumba jeupe maana wanajua nguvu ya mh Lissu
Katuwakilishe vyema. Mtuletee Lissu amtoe huyu aliyegoma kuongeza mshahara kwa miaka 5 kwa sababu mfu
 
Waacheni wajumbe wachague kwa matashi yao. #No fear No hate# Aluta Continua.
 
Wafuasi wa Lissu hawajiamini.chaguo la wajumbe ni Nyarandu.

Ni kweli, ila chaguo letu wapiga kura wa kweli wa upinzani ni Lisu. Safari hii maamuzi yako kwetu wapiga kura, na sio hao wajumbe. Matokeo ya nje ya hapo wajumbe watakula jeuri yao.
 
wakishindwa mpitisha chuma a.k.a lissu itakua basi tena jambo ambalo najua haliwezekani hata siku moja nyarandu sio kwa sasa mda huu
Watapitishaje mgonjwa bana ataweza kuzunguka nchi nzima au mnataka kumtesa mwenzenu tu.Hebu kuweni na huruma.Nyalandu mbona mashine safi tu.
 
Watapitishaje mgonjwa bana ataweza kuzunguka nchi nzima au mnataka kumtesa mwenzenu tu.Hebu kuweni na huruma.Nyalandu mbona mashine safi tu.
mkuu iyo mashine au simba wa yuda kwa jina linguine, tumemisi mishemishe na mashamsham ya siasa ,mambo ya ugonjwa kila mtu ni mgonjwa tu kwani we binafsi mara ya mwisho kufanya check up ya mwili wako ilikua lini mpaka useme we sio mgonjwa? sasa lisu anatuzidi maana tangu amepata matatizo amechekiwa kila mahala na bado anaendelea chekiwa
 
Upo uwezekano huo kwani ccm inafanya kila jitihada Lisu asiwe mgombea Urais wa chadema na wengi wakiona Lisu hayupo watavujika moyo na huenda siku ya kupiga kura wasijitokeze kupiga kura, uchaguzi ugubikwe na wapiga kura Wachache zaidi
Tutakosa burudani ya uchaguzi asipokuwepo lissu.
 
1995 mrema 2015 Lowasa na 2020 Lisu kinyume na Lisu uchaguzi hautakuwa na moto mkali utapooza na kumpa nafasi jiwe kuingia ikulu asubuhi mapema
Tutakosa show za bure na remix ya mond na kiba ndo haitoki tena.Raha ya uchaguzi iwepo competition.
Kushinda au kushindwa ni matokeo, burudani ni muhimu.
 
Bora mngechapisha fomu moja tu kama vipi!

Siyo watu wanunue fomu halafu kumbe tayari mna jina lenu mfukoni.
Bwashee Yohana Mbatizaji tangu lini mambo ya CHADEMA yakakuhusu. Nakuonya on a very serious note. Hatutaki ushauri wako wa nani tumchague awe mgombea watu wa uRais. Shughulika na yenu ya Lumumba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…