Pre GE2025 CHADEMA Mwanza kuandamana kesho Februari 19, 2025 hadi ofisi ya Mkuu wa Mkoa kupinga mauaji na utekaji wa viongozi wao

Pre GE2025 CHADEMA Mwanza kuandamana kesho Februari 19, 2025 hadi ofisi ya Mkuu wa Mkoa kupinga mauaji na utekaji wa viongozi wao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria kimekusudia kufanya maandamano ya amani kwenda kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda kushinikiza kutoweka kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa chama hicho Mkoa wa Mwanza Amani Manengelo.

Akizungumza leo Februari 18, 2025 na waandishi wa habari Katibu wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Zakaria Obad amewataka wanachama na wafuasi wa chama hicho kujitokeza kwa wingi katika maandamano hayo ambayo yanatarajia kuanza saa mbili asubuhi.

View attachment 3240748
Wana hamu ya kupigwa, RC alishaeleza waende viongozi atawakabidhi jeshi la polisi. Inaonekans hawana kazi ya kufanya na wana hamu ya virungu. Kwa hiyo kila akipotea mtu tuandamane?
 
Back
Top Bottom