Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mambo ya kusubiri kibali yalikuwa ya CHADEMA ya Mbowe. Sasa ni mwendo wa shuruti tu.KIBALI wamepewa na police?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya kusubiri kibali yalikuwa ya CHADEMA ya Mbowe. Sasa ni mwendo wa shuruti tu.KIBALI wamepewa na police?
Wana hamu ya kupigwa, RC alishaeleza waende viongozi atawakabidhi jeshi la polisi. Inaonekans hawana kazi ya kufanya na wana hamu ya virungu. Kwa hiyo kila akipotea mtu tuandamane?Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria kimekusudia kufanya maandamano ya amani kwenda kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda kushinikiza kutoweka kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa chama hicho Mkoa wa Mwanza Amani Manengelo.
Akizungumza leo Februari 18, 2025 na waandishi wa habari Katibu wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Zakaria Obad amewataka wanachama na wafuasi wa chama hicho kujitokeza kwa wingi katika maandamano hayo ambayo yanatarajia kuanza saa mbili asubuhi.
View attachment 3240748
- Soma Pia: Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi
- Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Inakuuma nini? Fanya mambo yakoIla hii nchi ngoja tu ninyamaze nisije kutukana nikaonekana wa hovyo, hivi birthday ya Rais watu nao wanaandamana kweli? Inasikitisha