CHADEMA mwendo mdundo

CHADEMA mwendo mdundo

Hivi huyo Kafulia na Juju wakijitoa halafu Chama kinaingiza wanachama wapya 2000 Busanda, Moro, Kigoma, nk. faida iko wapi? Wenye kuendekeza njaa wasitufanya tuumize vichwa kujadili matendo yao

"Sizitaki mbichi hizi, sungura akagumia.....!"
 
Kuna dalili za wazi wazi kwa kufa kwa chadema ktk uso wa siasa za TZ
Hii ianchangiwa na viongozi wake wa ngazi za juu kutokuwa na uzoefu wa kisiasa hasa za kitanzania kupambana na ccm
Pengine inachangiwa kutokuwa wanafunzi wa Mwalim Nyerere kama Vile viongozi wakuu wa Cuf ambayo licha ya kuwa inapata dharuba za CCM lkn inaonekana inastahamili tofauti kabisa na Chadema
kwa maana hiyo pindi CHADEMA IKIFIKA 2020 bILA ya kusamabaratika itabidi ifanye Sherehe kubwa

Una lako jambo: Sahihi ni kwamba CCM ndiyo haitafika 2020, nadhani mwisho wake ni 2015. Huii ni kutokana na ufisadi unaonuka kwa viongozi wao ambao sasa wanaanza kugombana wenyewe kwa wenywewe mithili ya predators (wanyama) wanavyogombania nyama kule Serengeti.
 
Ndugu wanaJF:

Jee mmefanya utafiti na kugundua post nyingi zinazochangiwa humu ndani kutetea mafisadi, kuiponda Chadema, kumbeba Dr Rashid, Sofia Simba nk hivi karibuni zimachatotka kwa wachangiaji ambao wamejiunga na JF katika miazi mitatu tu iliyopita?

Inavyonekana ni kwamba mafisadi wamefanya kampeni kubwa kujiandikisha kwa majina mbali mbali ili kuwatetea wakidhani kuwa wataokoka kutokana na wanayoandikwa humu ambao wasomi wake ni asilimia ndogo sana ya Watanzania.
 
"Sizitaki mbichi hizi, sungura akagumia.....!"
kama unawaona mali wachukue Uwapeleke CCM aU kwingine kokote.....hakuna mtu anaependa kukaa na msaliti, hata mke ukigundua anakusaliti ni heri ukamuacha aende zake kuliko kuendelea kugombana nae, unaweza ukamuua ukapata kesi, hongera CHADEMA kwa kuisimamia nidhamu ndani ya chama, taasisi imara lazima iongozwe na watu wenye maadili.
 
Kuna dalili za wazi wazi kwa kufa kwa chadema ktk uso wa siasa za TZ
Hii ianchangiwa na viongozi wake wa ngazi za juu kutokuwa na uzoefu wa kisiasa hasa za kitanzania kupambana na ccm
Pengine inachangiwa kutokuwa wanafunzi wa Mwalim Nyerere kama Vile viongozi wakuu wa Cuf ambayo licha ya kuwa inapata dharuba za CCM lkn inaonekana inastahamili tofauti kabisa na Chadema
kwa maana hiyo pindi CHADEMA IKIFIKA 2020 bILA ya kusamabaratika itabidi ifanye Sherehe kubwa
mtaomba dua weeh, hadi mtachoka, yaani CHADEMA itasambaratika kisa kutokua na wanafunzi wa Nyerere, CCM yenye walimu,wanafunzi na watoto wa Nyerere inayumba, kwanza CHADEMA haitusaidii kitu kuhusishwa na falsafa za mwalimu, cha msingi sisi kama Chama, tunawezaje kujenga miundo msingi ya kupata wanachama wengi....? kupata wapiga kura wengi, kuwin ushawishi wa watu wa kada mbalimbali.
CHADEMA kuifananisha na CUF ni matusi makubwa....tutake radhi, hicho( CUF) si chama ni taasisi iliopo kuwakilisha kundi fulani la wanachama. tazama safu yao ya Uongozi ilivyo, hata huyo Lwakatare na Tabwe Hiza inadaiwa walitimuliwa kutokana na UDINI, HIKI NI Chama kilichoshamiri maeneo ya Waislamu duni na wasio na elimu, maana hawa wanadanganyika kua , adui yao wa maendeleo ni viongozi Wakristo walioko vyama vingine,. SASA kuwajengea imani ikaudwa safu ya viongozi Waislamu wenye mtizamo na fikra hafifu juu ya chanzo cha umasikini.
 
nadiriki kusema mawazo haya ni ya kipumbavu sana..Mbona husemi CCM ikifika next week ivunjike?..Uongozi wa CHADEMA na mambo ya Mwalimu Nyerere vinahusiana vipi?kwani nyerere ni nani na kakufundisha nini katika siasa za Tanzania...Li nchi limefika hapa lilipo ni kwa ajili ya huyo unayemwita Mwalimu..hebu muwe mnakaa kimya kama hamna vitu vya kuandika hapa maana mnakwaza watu sana tu
 
CCM ni vigumu kuona kinavunjika kwa sababu kina akomodeti mafisadi kutoka kila sehemu, kutoka kila kabila na kutoka kila dini.

Uzuri wa ccm ni kwamba angalau kina uvunilivu wa kambi wanayotofautiana nayo. Ingekuwa je pale ukumbi wa Pius Msekwa JK angelisimama na kusema hawezi fanya kazi na Mwakyembe, Sita nk.?
 
Unajua mara nyingi kila naposoma hoja za watu kama LibabaPM, hunipa fikra za kufikiria pengine kuna ukweli kuwa Chadema ni chama cha Kikristu ama cha Kidini....
hebu fuatilia mjadala kati ya wanajamvi wawili, mmoja ni nguvumali na Tunamini, kisha utagundua ni Tumaini alieupeleka mjadala huo kwenye kona ya kidini baada ya kutajwa kua Kighoma Malima alifuja pesa za Watanzania pale Hazina kisha akaonewa haya badala ya kuburuzwa kortin, Tumaini huku akijitambulisha kua ni shabiki wa CUF akamshambulia Nguvumali kua anatoa hoja hiyo kwa kua ni mkristo, mawazo dhalili kabisa, huna hoja ya kuprove udini CHADEMA, LAKINI THIBITISHA KWANINI cuf isihusishwe kama kikundi cha Kiislamu.......hakuna tofauti ya cuf na vyama vya Kiislamu vya Somalia, Iran na Iraq...ukweli ndio huo.
 
kwa maana hiyo unasema Zito hatakiwi kwa kuwa na yeye muislam Chadema?
hatakiwi ? hatakiwi na nani ?kama hatakiwi si wangemtosa cheo, kwani cheo alichonacho aligombea ? au alipewa na dr Slaa , kutokana na uwezo wake, lakini akikiuka maadili na taratibu za chama , hata yeye anajua kua mkono wa chuma utamfyeka.
 
mimi ninapata kizunguzungu kwa mambo yanayotokea kwenye vyama vya siasa ngoja nikijiliwaze na chibuku.
 
Tumain umechanganyikiwa????nawaunga mkono chadema kwa kutowalea wasiofata utaratibu na kupenda vyeo kama hao vijana waliojivua uwanachama,niwape mfano kidogo "kama kuna mtu anafikiria kuanzisha chama na mambo yakaenda kirahisirahisi sheria zipo wazi wajiunge waanzishe,kwanini wakitoka wanaenda kujiunga kwenye vyama vilivyoanzishwa??si mnataka haki,anzisheni vyama vyenu mjenge demokrasia mnayohubiri bila vikwazo vinginevyo sioni mwanademokrasia ni wachumia tumbo,kama sio uchumia tumbo mbona warid kaburu,msabaha,nk walipotoka upinzani walienda kwa mafisadi kuchumia tumbo na jiurize ni demokrasia gani wanafanya huko wakati ufisaji uko palepale na na hali inakuwa ngummu day2day???????????????TAFAKARI
 
Huyo Kanda2 pia nadhani ni wale wanaoondoka chadema!!! nduguye kafulia na jujuman!!

waache waondoke bana..alisimamishwa umakamu Chacha Wangwe itakuwa sisimizi kafulila na Juju!! wacha waende zao
 
Tumain salaam,
naona uchangiaji wako umeegemea zaidi kwenye personal attacks na ushabiki.tuhuma unazozitoa kwa viongozi wa chadema ni majungu na fitna ambazo hazina proof zozote.mwenyekiti wa chadema tayari keshasema wako tayari kuruhusu mkaguzi wa mahesabu au mtu mwingine mwenye wasiwasi kwenda kukagua mahesabu ya chama.Hao wakina kafulila na wenzake ni njaa za madaraka,pesa na kutaka umaarufu kupitia migongo ya watu.Ni watu wadogo sana ndani ya chama na ndo maana slaa akawaita sisimizi.kwa taarifa yako chadema haitakufa wala kuyumba kwasababu ya hao wakina kafulila kuondoka.Hongera kamanda Mnyika kwa kutoa maoni yako na kutujulisha mambo yanayojiri ndani ya chama.keep it up!

This's arrogance! Chama kinaundwa na wanachama, wanachama wanatengenezwa na mwanachama mmoja mmoja, viongozi ni zao la wanachama waliopewa dhamana na wanachama wenzao kuongoza chama. Sasa hapa nashindwa kuelewa hiyo definition ya sisimizi, inamaanisha wanachama wote wa CHADEMA wasiokuwa na dhamana ya uongozi wa juu wa chama ni sisimizi? Au unakuwa sisimiz pale tu unapokwenda kinyume cha matakwa ya viongozi au kundi la watu fulani au chama kwa ujumla?
 
Wapendwa wanaJF wenzangu:

Nimekuwa mchangiaji wa nadra sana wa JF kutokana na sababu ambazo nilishawahi kueleza hapa siku za nyuma, mojawapo ukiwa ni ushauri wa baadhi yenu ambao niliuheshimu.

Nimekuwa msomaji wa majadiliano yanayoendelea kuhusu mustakabali wa taifa letu, na katika baadhi ya mijadala imetajwa CHADEMA na jina langu limekuwa likijitokeza tokeza. Aidha baadhi yenu mniandikia ujumbe nije hapa kufafanua baadhi ya mambo yanayohusu CHADEMA hususani yale yanayonihusisha kwa namna moja au nyingine.

Niliwahi kuandika hapa kwa kirefu naichukuliaje JF, lakini moja ya mtazamo wangu kuhusu JFni kuwa hivi ni chombo cha habari, pia ni kama kijiwe cha kijamii cha mijadala, lakini pia ni kama mkutano wa majadiliano katika mji(town hall meeting), naitazama pia JF kama mkutano wa hadhara ambao kila mmoja yuko huru kuhutubia!.

Katika muktadha huo, kama ambavyo nashiriki mijadala katika matukio yenye sura ya hayo hapo juu, najihisi nina wajibu kwangu binafsi na kwenu kuja kushiriki mijadala mara kadhaa.

Kwa kuanzia nawaletea taarifa hii rasmi, ambayo nimeitoa leo kwa niaba ya ya CHADEMA. Taarifa hii inajibu baadhi ya maswali ambayo yamekuwa yakiulizwa hasa kuhusu yanayoendelea ndani ya chama katika siku za karibuni.

Tamko hilo mnaweza kulipata kwa kubonyeza hapa: http://www.chadema.or.tz/habari/habari.php?id=103

Kesho tutakuwa na Kongamano la Vijana, halafu kuanzia tarehe 30 Novemba, 2009 mpaka tarehe 3 Disemba 2009 tutakuwa kwenye mfululizo wa vikao vya juu vya chama tukiutathmini mwaka 2009 na kupanga mwelekeo wa chama kwenda mwaka 2010.

Hivyo, naomba muendelee na mjadala na kama kuna maswali yatakayoulizwa nitakuja kuyajibu moja baada ya jingine baada ya tarehe hizo.

Salamu zangu za baraka ya Iddi kwa waislamu, ni siku nzuri ya kutafakari aya kwenye kurani tukufu mathalani Al Heed 57:25, Al-Nisa 4:35, Al-Maidah 5:8
Thanks very much JJ kwa ufafanuzi makini....Kama vip wekeni mipango bora Kabisa ya kujenga chama from the Root(VIjijini) huko ndo watunzwa Tshirt na chumvi wengi,pia wafikieni wasomi wa elimu ya juu if possible ktk vyuo vyote nchini..Inawezekana kama kila mmoja tatimiza wajibu wake..Pamoja sana kaka....Karibu UDSM...
 
Ndugu wanaJF:

Jee mmefanya utafiti na kugundua post nyingi zinazochangiwa humu ndani kutetea mafisadi, kuiponda Chadema, kumbeba Dr Rashid, Sofia Simba nk hivi karibuni zimachatotka kwa wachangiaji ambao wamejiunga na JF katika miazi mitatu tu iliyopita?

Inavyonekana ni kwamba mafisadi wamefanya kampeni kubwa kujiandikisha kwa majina mbali mbali ili kuwatetea wakidhani kuwa wataokoka kutokana na wanayoandikwa humu ambao wasomi wake ni asilimia ndogo sana ya Watanzania.

Siku tegemea kabisa kuwa comments kama hizi zinaweza kutoka kwa mtu kama wewe ZAK MALANG,
naomba uelewe hivi

1. KUnA WATU WANAIFAHAMU HII JF KWA kwa muda mrefu kuliko wewe wengi walikuwa ni kama guest tu kwenye hii forum na walikuwa upande kama wako, lakini baada ya mambo kubadilika Chadema kupata Fisadi na pia Kukosa demokrasia wakaamua kuingia humu ili waongee ukweli lakini tatizo lako wewe upo palepale pa zamani kwamba uwezi kubadilika

2. Kwa taharifa yako humu ndani kuna watu wana ID zaidi ya moja, wameamua kutafuta ID mpya ili wasionekane wasaliti kutoka kwenye chama chenu

KWA HIYO MAMBO YA ID MPYA SIO HOJAUKWELI NI KUWA CHADEMA PANAWAKA MOTOZITTO BADO ANAWAUMIZA KICHWA
 
Kwa vyovyote vile mlengo wa chadema ni conservative. wanachadema wao hawakubali updates zozote. Lazima hawa ni ma conservatives. Sawa uko servative sio tatizo ,tatizo ni nini wana conserve? . Hilo ndo tatizo kuu
Family interests!
 
bwana wenger, ni kwamba tunaposema Chenge , Lowasa, RA, Karamagi, nk kua ni mafisadi tunakua na malengo mawili.
1. tunataka waliowapigia kura wapime na waamua kua waliowapa dhamana ya uongozi ni wezi wa mali ya umma, ili wasiwapigie kura tena.
2. Tunatoa taarifa kwa DPP,Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na kwa raisi kuwa wateule hawa ni wezi na wanastahili kutiwa jela. sasa watu hawa hawatimizi wajibu wao.
sasa kama hao kina kafulila na mwenzie wanahisi kuna wizi CHADEMA wa pesa za ruzuku eti kwasababu Mbowe ni signatory CAG amesikia, atakuja kukagua, report yake itawasilishwa na mamlaka husika zitapima maoni yake kuona kama kuna wizi ama hakuna, maana sikila report Chafu maana yake ni wizi, zingine ni uzembe wa kufanya marejesho tu.....elimika ujue na utambue, jikomboe wakati ni huu mtanzania mwenzangu.

Believe me, I loathe those bastard CCM fisadis but I'm sorry to say I find your conclusion very biased with full of double standards! Unaweza kufafanua kwanini tuhuma dhidi ya set mbili za ufisadi(CCM na CHADEMA) ziwe treated tofauti?
 
mtaomba dua weeh, hadi mtachoka, yaani CHADEMA itasambaratika kisa kutokua na wanafunzi wa Nyerere, CCM yenye walimu,wanafunzi na watoto wa Nyerere inayumba, kwanza CHADEMA haitusaidii kitu kuhusishwa na falsafa za mwalimu, cha msingi sisi kama Chama, tunawezaje kujenga miundo msingi ya kupata wanachama wengi....? kupata wapiga kura wengi, kuwin ushawishi wa watu wa kada mbalimbali.
CHADEMA kuifananisha na CUF ni matusi makubwa....tutake radhi, hicho( CUF) si chama ni taasisi iliopo kuwakilisha kundi fulani la wanachama. tazama safu yao ya Uongozi ilivyo, hata huyo Lwakatare na Tabwe Hiza inadaiwa walitimuliwa kutokana na UDINI, HIKI NI Chama kilichoshamiri maeneo ya Waislamu duni na wasio na elimu, maana hawa wanadanganyika kua , adui yao wa maendeleo ni viongozi Wakristo walioko vyama vingine,. SASA kuwajengea imani ikaudwa safu ya viongozi Waislamu wenye mtizamo na fikra hafifu juu ya chanzo cha umasikini.
Top five ya Safu ya uongozi wa CUF
1. Mwenyekiti: Ibrahimu Lipumba
2. Katibu: Maalim Seif
3. Naibu katibu mkuu bara: Joram Bashange
4: Naibu katibu mkuu zenj: Juma duni Haji
5: Mkurugenzi wa haki za binadamu na sheria: Julius Mtatiro

Acha pumba zako chadema ndiyo maana mlimuondoa Zitto kuwa mwenyekiti kwasababu ni chama cha wakrisro na wachagga..angalia safu yake uongozi...MDINi mkubwa wewe...
 
Waberoya,
Nafikiri unaconfuse kati ya "Invisible" (the MOD) na "The Invincible" (JF Member kama wewe na mimi).

No.............ana-confuse kati ya "Invincible" na "The Invincible"
 
Back
Top Bottom