CHADEMA mwendo mdundo

CHADEMA mwendo mdundo

Mimi ndugu ije chadema, CCM or CUF i don't care niko huru, na nina uwezo nina kula na kuishi from halal income since I was born (get your record right) wewe unayekula kwa kutumia migongo ya wanasiasa in the name of upinzani utaishia kupiga kelele...
Hayo ni mawazo ya Mtanzania anaejisifu kuwa na upeo, amakweli kunufaika kwako na UFISADI Kumekutia kiwi cha macho, unadhani kama hali ya klisiasa ikiharibika utaona thamani ya hako kaposho kako, siasa inaathiri kila nyanja, waulize Zimbabwe kama kuna mtu wa ZANU PF aliefaidi wakati wa crisis, mimi ni mwanachama wa chama cha siasa maana sio kosa, wewe unategeme mshahara mwisho wa mwezi sio kosa, ila tambua siasa inaathiri mifumo yote ya maisha.
 
mmepata kuonja utamu wa matunda ya UFISADI TZ, ndo maana unajenga chuki na chama hiki, kwa taarifa yako CHADEMA inajipanga vyema, huku ikiendelea na kazi yakupanga upya safu makini ya Watendaji pale makao makuu, kung'oa mizizi ya upupu ni kazi tuliyompa Dr . Slaa maana yeye ndio tuliempa jukumu la kuwaajili na kuwafukuza kazi ikibidi kwa niaba yetu.
Dr. Slaa ndio kifo cha chadema, nimefaidi/onja utamu wa matunda ufisadi ni maneno ya wakosa hoja..kwakuwa huna uwezo wa ku-proof argument zako...

Mtafukuzana mpaka mtakapokuwa mfu..ndio mtashtuka it is too late..sikio la kufa halisikii dawa.

siwezi kupenda chama ambacho hakiruhusu uhuru wa mwanachama, viongozi wanaondekeza nepotism (upendeleo wa kikabila na kindugu), chama ambacho demokrasia inakunjwa kwa maslahi ya family (family club) ..gos give a break, siwezi kupenda chama ambacho hakina jitahida za kuleta umoja wa kitaifa zaidi ya kuendeleza ukabila na ukanda..nitakuwa nimeivunjia heshima nchi yangu ya Tanzania kuipenda chadema ..we dogo kuwa na akili.

Kuchagua chadema ni kuingiza giza nene na ubabe,ukabila, kunyimwa demokrasia na citizen freedom ambao tunau-enjoy japo kidogo kwa sasa na tuliupigania muda mrefu.
 
Beef zote hizi chanzo chake ni mshiko.
Hakuna cha chama mbadala wala upuuzi wa kupinga ufisadi.
Watanzania wengi njaa kali na siasa ni deal kama deal nyingine yoyote.
Upuuzi wa chama hiki uko wazi, chama gani chenye msururu wa wanafamilia kwenye safu zote za uongozi? Tena nafasi nyingi za kuteuliwa.
Kwani Zitto hakuona kilichomtokea alipojaribu kugombea Uenyekiti? Unafikiri u-CEO kwenye kampuni ya CHADEMA unapatikana kwa kura?
 
Waberoya

Zamu yangu kufanya nini mkubwa?

JJ

Sijajua kwa credibility yako kama kweli ulifurahia ubakwaji wa demokrasia ndani ya chama chenu, na hii ndio imetushtua wengi..ndugu yangu Mnyika kubali, kataa.Kutotangaza matokeo haraka haraka kunaleta picha viongozi wetu sio foreseer, hamkutakiwa kufanya uchaguzi basi kama hali si shwari!

Ukiona hili la uchaguzi huwezi kujibu, acha tu, wewe si mmoja wao! we all know that

Waberoya utasubiri sana kuuona mwisho wa CHADEMA lakini kamwe hautafika, vita inaendele ya ukombozi wA raslimali zetu.......hakuna zamu ya mtu kuvuliwa madaraka CHADEMA, nidhamu kwanza hiyo Ni sera yetu, hatujali wewe unawadhifa gani ama ulileta wanachama wangapi CHADEMA.

Haunifahamu, kwa taarifa yako naipenda mno, ila warekebishe makosa yao! akina Kafulila,Dandu wanaacha makovu sana unless hajujajua athari zake kichama!

Hili bomu jingine lisilojitambua. Alikuwa Mtanzania aliyejidai kutetea utawala bora. Ikaja kudhihirika ni mganga njaa tu wa CCM. Anataka ubunge huko Mbeya.

Nawe hauko tofauti sana na George Mwakalinga.

Huyu siyo invicible ninayemfahamu, labda kama ulikuwa na maana nyingine
Mkuu mimi niko Canada naramba degree zingine,kituo changu cha kazi ni UDSM, professionally ni engineer.Ukitaka kujua uhandisi gani we chora majengo niletee nikuwekee nondo!

Invicible wewe ni Chadema najua, what we do ni kiwe bora na ndoto ya kila mtu, lile swali ni la uchokozi tu nione Mnyika atajibu vipi.Mnyika kajibu kistaarabu, maana angejibu kwa hasira ni alama ya kuwa anajidefend! simple saikoloji waulize wanasheria!! wewe mzee umeharibu!

wengine hatuna vyama humu, kila mtu anapokea kulingana na haki yake! nyie wenye vyama ndio mnapata sana shida, kila post mnajibu harsh...

Kamuulize FMES atakuuliza..I hate CCM, ila sitaki chadema na hali na tabia yao ya kubaka demokrasia tuiangalie kama wote mazezeta!

Ulivyojibu mzee umeniacha hoi...kumbe unamjua kila mtu humu!

Unataka nichague chama?? it can not be a forum for great thinker bali washabiki, ila siamini katika hao wewe humo!!
 
We dogo,
Usithubutu kusema mzee mtei ameondoka maana unafurahisha baraza..lol mzee ndio kichwa cha chadema na bado anaendesha hiyo taasisi yenu (call family club) kwa remote control...

In BTWN hujaniambia concern yangu kuhusu uwezo wenu kichama wa kupata viongozi kupata viongozi kutoka zanzibar kama sehemu ya nchi..au ndio sera yenu majimbo (a.k.a ukabila)

Slaa na wengi wa viongozi wa chadema ni wababe kwa wanachama wao na hawatoi fursa na haki sawa leo wakiwa taasisi ndogo tu wenye kujulikana na kukubalika katika wilaya chache..je siku mnapewa dola (jeshi,polisi) si mtaanza kuita watu viroboto..huyu slaa wenu ni sawa na sumaye...tabia zake za dharau kwa wananchi na wanachama

sikio la kufa halisikii dawa..tutaendelea kupiga kelele..

Tumaini

1. Mzee wetu alishastaafu siasa, hutoa maoni yake pale anapopigiwa simu akiwa nyumbani kwake Arusha. Anafika pia mara chache kwenye vikao vya kamati kuu ya chama, ambayo yeye ni mjumbe kwa hadni yake ya kuwa mwenyekiti mstaafu. Chama kinaendeshwa na viongozi wa chama walioko active katika utumishi kote nchini, na kwa taifa kwa kiasi kikubwa maamuzi mengi ya kila siku yanafanywa na sisi tulio kwenye sekretariati ya chama chini ya usimamizi wa Katibu Mkuu, Dr Slaa. Maono yake na uadilifu wake ni asset muhimu kwa chama tofauti na Wazee kama Kingunge ama CCM wanaiona kama mali yao wakitoa ushauri wa kutetea na kuendeleza ufisadi!

2. Kuhusu ZnZ, viongozi tunao wa mikoa, wilaya na ngazi zingine; ingawa hatuna wanachama wengi kama ilivyo Karatu, ama Kigoma Kaskazini na maeneo mengi ya bara. Zingatia historia ya ZNZ na hali ya kisiasa huko kama changamoto ya msingi. Zingatia pia kuwa Roma haikujengwa kwa siku moja. Lakini mimi ni mmoja wa waumini wa nadharia ya Profesa Babu ya mbadala wa tatu(third force alternative) kama sehemu ya chachu ya mwelekeo mwema wa kidemokrasia na maendeleo huko visiwani. Wakati utasema, na naotoa mwito kwa watanzania wanaoishi Znz ama wazanzibar waliopo kote duniani, wanaoamini kwenye nadharia hii kuwaunga mkono viongozi wa CHADEMA Znz kwa hali na mali. Kuhusu sera ya majimbo, nilishaindikia uchambuzi huko nyuma, isome hapa: http://www.chadema.or.tz/makala/makala.php?id=44

3. Ya Slaa nilishayatolea ufafanuzi hapo juu.

Alamsiki kwa mlio Tanzania, na mlio mahali ambapo muda si usiku kwa sasa nawatakia siku njema. Naanza kuandika hotuba ya kesho kwa sasa, ambapo nitakuwa mgeni rasmi kwa niaba ya Katibu Mkuu Dr Slaa ambaye yuko safarini nje ya nchi.

Kwa wanahabari na watazamaji, mnaalikwa kesho kwenye kongamano la wazi la vijana; watakuwa wakitathmini uchaguzi wa mitaa 2009 mkoa wa DSM na kujadili ya kuelekea uchaguzi wa ubunge, udiwani na uraisi mwaka 2010.

Kwa wenye nafasi, mfike kuweza kuwashauri viongozi wetu wa ngazi za chini, kutakuwa na wawakilishi wa kata zaidi ya 50, wamealikwa vijana takribani 200 viongozi wa CHADEMA kata mbalimbali.

Mkutano utakuwa ukumbi wa Chuo cha Bandari na ufunguzi rasmi ni saa 3 asubuhi.

JJ
 
Hayo ni mawazo ya Mtanzania anaejisifu kuwa na upeo, amakweli kunufaika kwako na UFISADI Kumekutia kiwi cha macho, unadhani kama hali ya klisiasa ikiharibika utaona thamani ya hako kaposho kako, siasa inaathiri kila nyanja, waulize Zimbabwe kama kuna mtu wa ZANU PF aliefaidi wakati wa crisis, mimi ni mwanachama wa chama cha siasa maana sio kosa, wewe unategeme mshahara mwisho wa mwezi sio kosa, ila tambua siasa inaathiri mifumo yote ya maisha.
ndiyo siasa inaathiri mifumo yote ya maisha..ndio maana nashiriki kupiga kura na kuchagua wanasiasa wenye upeo na akili kila uchaguzi unapofika na ninashawishi walioko kwenye mamlaka yangu kufanya hivyo...

lakini kunihusisha kwako na ufisadi ni dalili ya mfamaji..kwakuwa chadema ni mafisadi hata kabla ya kupewa dola je wakipata si itakuwa hatari lol
a) wamefisadi demokrasia
b) wamefisadi uhuru wa wanachama kuhoji, itakuwaje wakiwa na polisi si tutakuwa chini ya ulinzi na kuitwa wote ni mafisadi kwakuwa hatukuwa chagua..tuondelee hili jinamizi
etc etc..
 
Sijajua kwa credibility yako kama kweli ulifurahia ubakwaji wa demokrasia ndani ya chama chenu, na hii ndio imetushtua wengi..ndugu yangu Mnyika kubali, kataa.Kutotangaza matokeo haraka haraka kunaleta picha viongozi wetu sio foreseer, hamkutakiwa kufanya uchaguzi basi kama hali si shwari!

Ukiona hili la uchaguzi huwezi kujibu, acha tu, wewe si mmoja wao! we all know that

Haunifahamu, kwa taarifa yako naipenda mno, ila warekebishe makosa yao! akina Kafulila,Dandu wanaacha makovu sana unless hajujajua athari zake kichama!

Huyu siyo invicible ninayemfahamu, labda kama ulikuwa na maana nyingine
Mkuu mimi niko Canada naramba degree zingine,kituo changu cha kazi ni UDSM, professionally ni engineer.Ukitaka kujua uhandisi gani we chora majengo niletee nikuwekee nondo!

Invicible wewe ni Chadema najua, what we do ni kiwe bora na ndoto ya kila mtu, lile swali ni la uchokozi tu nione Mnyika atajibu vipi.Mnyika kajibu kistaarabu, maana angejibu kwa hasira ni alama ya kuwa anajidefend! simple saikoloji waulize wanasheria!! wewe mzee umeharibu!

wengine hatuna vyama humu, kila mtu anapokea kulingana na haki yake! nyie wenye vyama ndio mnapata sana shida, kila post mnajibu harsh...

Kamuulize FMES atakuuliza..I hate CCM, ila sitaki chadema na hali na tabia yao ya kubaka demokrasia tuiangalie kama wote mazezeta!

Ulivyojibu mzee umeniacha hoi...kumbe unamjua kila mtu humu!

Unataka nichague chama?? it can not be a forum for great thinker bali washabiki, ila siamini katika hao wewe humo!!

Ha ha haa! Kuna ngoma inaitwa mduara.
 
Kuchagua chadema ni kuingiza giza nene na ubabe,ukabila, kunyimwa demokrasia na citizen freedom ambao tunau-enjoy japo kidogo kwa sasa na tuliupigania muda mrefu.
lazima kulinda maadili, sisi ssio CCM inayo waogopa mafisadi bingwa, Sofia Simba kamtusi Rais, Waziri mkuu, Mawaziri na wanaCCM wote kua ni mafisadi, Rais kaogopa hata kusign barua yakumuonya, hizo ni dalili kua Chama kimemezwa na mlioonja matunda ya Ufisadi, kua akimfukuza Simba atamtazamaje RA, akiwatosa kina RA atatazamanaje na Lowasa, akiwatosa kina Kingunge atatazamanaje na Makamba, ni chain ya Ulaji, ni chama cha mafisadi hasa......lakini yanamwisho haya.
 
Asante. Hayo ni maoni yako, wakati wote tunaendelea kujifunza kutoka kwa michango ya aina zote na kutafakari mustakabali mwema wa chama. CHADEMA ni zaidi ya Mbowe na Zitto; ni wanachama na wote wanaoitazama kuwa tumaini jipya la watanzania
JJ

unajua kuna maneno mengine unayasema ni kama una waambia watu ambao hawajuhi siasa za Tanzania au hawakijuhi chama chenu, kuna watu wako nje ya Chadema lakini wanakijua vizuri sana hicho chama na wengine ni zaidi ya wewe unavyokijua.
mimi binafsii nasema Zitto ni zaidi ya Chadema na sitabadilisha huo msimamo mpaka unieleze ni kwa nini mlimforce ajitoe kwenye kinyanganyiro cha uenyekiti ili "mkinusuru chama"
 
Haunifahamu, kwa taarifa yako naipenda mno, ila warekebishe makosa yao! akina Kafulila,Dandu wanaacha makovu sana unless hajujajua athari zake kichama!

!!
mimi sio tu naipenda ila mwanachama hai wa CHADEMA.
SASA KAMA Kafulila na Dando wamekwenda kinyume na kanuni zinazoongoza chama ulitaraji tufanyaje, lazima uwajibike.
Tabia hii ya kubembelezana ndio imetufikisha hapa. kama tangu zama za mzee Mwinyi mafisadi kina Kighoma Malima wangefungwa hali isingefikia hapa, lazima kila jambo ufanyalo ubebe ghalama zake.
ni heri kuacha makovu nyuma kuliko kuacha jeneza lenye mwili wa CHADEMA NYUMA.
 
hakuna jamii isio na mgogoro, labda kama jamii hiyo ni mfu. hivyo CHADEMA kama taasisi yenye watu hatutegemei ikakosa migogoro kwa maana yakutoafikiana katika mambo ya msingi......tofauti ya CHADEMA na vyama vingine ni mfumo wake wakupeana adhabu pale mtu anapovuruga ustawi wa chama.....hicho ndicho mawakala waufisadi wanachoeneza kuwa CHADEMA hakukaliki, aaah kisa Kafulila kavuliwa cheo na aliempa.....sasa mlitaka avuliwe madaraka na mwenyekiti wa shina wa CHADEMA.

Uko sahihi Nguvumali

1.Migogoro haikosi

2.Tunataka viongozi watakaoweza kumaliza hii migogoro in peaceful manner, bila kuharibu saikolojia ya wanachama wao,mathalan , leo unasema Kafulila anatoa siri za chama-kupitia magazetini.Kesho unataka same Kafulila abaki ndani ya chama na akitoka asiseme kitu.Makosa

3.Chadema iwe na usiri sana katika kila kitu, ni chama kinaangaliwa kama dhahabu ya Mwanza! CCM kumbukeni bado wana hasira ya kuwataja mafisadi! na wanataka watoto wao waje kushika madaraka!,SIRI ZA CHADEMA NI MUHIMU akipatikana mto siri(ikawa proved) mwiteni mwonyeni,kwa siri... siyo tunasikia kuna vikao vya siri sehemu.Chadema kama chama hakiwezi kikamfanyia kikao cha siri KAFULILA WHO IS THIS GUY?? tabia hii kwa sisi wengine tunashtuka kama kuna uwazi, katiba inajulikana, ANAOGOPEWA NINI MPAKA MFANYE KIKO CHA SIRI PASI YEYE KUJUA?? HII NI DALILI YA CHAMA CHA WATU WACHACHE MKUU, sauti ya pamoja usema kwa pamoja kwa mujibu wa katiba yenu!

4.Chadema , iwe na vision ya muda mrefu, kwa mfano sijaona uhumuhimu wa kutangaza uchaguzi kama wazee walishaona Mbowe aendelee! simple and clear, waambieni wanachama jamani, tutafanya uchaguzi wa Mwenyekiti baada ya miaka 15! mkiamua wote kwa pamoja hizi kelele zisingekuwepo mkuu!
 
unajua kuna maneno mengine unayasema ni kama una waambia watu ambao hawajuhi siasa za Tanzania au hawakijuhi chama chenu, kuna watu wako nje ya Chadema lakini wanakijua vizuri sana hicho chama na wengine ni zaidi ya wewe unavyokijua.
mimi binafsii nasema Zitto ni zaidi ya Chadema na sitabadilisha huo msimamo mpaka unieleze ni kwa nini mlimforce ajitoe kwenye kinyanganyiro cha uenyekiti ili "mkinusuru chama"

Nimeaga nimerudi tena kidogo tu nitoe jibu la sentensi moja: NAAMINI WAZEE WALIMSHAURI ZITTO AJITOE NA ZITTO AKAKUBALI KWA SABABU CHADEMA NI ZAIDI YA MBOWE NA ZITTO. Alamsiki, siku nyingine Kituko.

JJ
 
lazima kulinda maadili, sisi ssio CCM inayo waogopa mafisadi bingwa, Sofia Simba kamtusi Rais, Waziri mkuu, Mawaziri na wanaCCM wote kua ni mafisadi, Rais kaogopa hata kusign barua yakumuonya, hizo ni dalili kua Chama kimemezwa na mlioonja matunda ya Ufisadi, kua akimfukuza Simba atamtazamaje RA, akiwatosa kina RA atatazamanaje na Lowasa, akiwatosa kina Kingunge atatazamanaje na Makamba, ni chain ya Ulaji, ni chama cha mafisadi hasa......lakini yanamwisho haya.
Maadili hayalindwi kwa mkono wa chuma unless chadema ni chama cha kikomuinist cha uchina...

Maadili ya chama cha demokrasi yanalindwa na uadilifu wa viongozi na mfano wa matendo yao katika jamii ..chadema viongozi wakuu ndio watuhumiwa wa kwanza wa kutokuwa waadilifu issues za ubabe, ulaji wa fedha za chama etc... hayo yako chadema na CCM sijasikii habari hii CUF ina maana chadema na ccm wana aina moja ya viongozi "wapenda fedha" a.k.a mafisadi

Tofauti yenu ni kwamba nyinyi atakayemsema vibaya mkuu wenu anapata adhabu ...ndio maana nasema "Diktetaship" wenu mungu atuepushe ubakie huko kwenye chama chenu na wanachama wenu ..dola msipate maana mtaleta balaa kwenye nchi...
 
mimi sio tu naipenda ila mwanachama hai wa CHADEMA.
SASA KAMA Kafulila na Dando wamekwenda kinyume na kanuni zinazoongoza chama ulitaraji tufanyaje, lazima uwajibike.
Tabia hii ya kubembelezana ndio imetufikisha hapa. kama tangu zama za mzee Mwinyi mafisadi kina Kighoma Malima wangefungwa hali isingefikia hapa, lazima kila jambo ufanyalo ubebe ghalama zake.
ni heri kuacha makovu nyuma kuliko kuacha jeneza lenye mwili wa CHADEMA NYUMA.

safi

naona uko tayari tujadiliane mkuu katika hili

hao watu wamefukuzwa kwa kosa gani??
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
Sisi Watanzania wa kawaida tutegemee demokrasia gani kutoka CHADEMA wakati Mwenyekiti yupo hapo bila kufata demokrasia?
 
mimi sio tu naipenda ila mwanachama hai wa CHADEMA.
SASA KAMA Kafulila na Dando wamekwenda kinyume na kanuni zinazoongoza chama ulitaraji tufanyaje, lazima uwajibike.
Tabia hii ya kubembelezana ndio imetufikisha hapa. kama tangu zama za mzee Mwinyi mafisadi kina Kighoma Malima wangefungwa hali isingefikia hapa, lazima kila jambo ufanyalo ubebe ghalama zake.
ni heri kuacha makovu nyuma kuliko kuacha jeneza lenye mwili wa CHADEMA NYUMA.
Wewe acha kuzungumzia marehemu,
Kuweka record yako vizuri Kighoma Malima ni muadilifu wala hakuwa fisadi...mafisadi unawajua vizuri kina mkapa, yona, mramba, chenge, RA, edward lowassa, ...
ama unataka kubadilisha hii thread kwenye mkondo uliopo kwenye mkondo mwingine kabisaaa..maana wanaomtuhumu kighoma wamejazwa na chuki za "Kidini" hasa wakristo nothing more..call a spade a spade...hakuna kiongozi muadilifu kama kighoma
 
Waberoya utasubiri sana kuuona mwisho wa CHADEMA lakini kamwe hautafika, vita inaendele ya ukombozi wA raslimali zetu.......hakuna zamu ya mtu kuvuliwa madaraka CHADEMA, nidhamu kwanza hiyo Ni sera yetu, hatujali wewe unawadhifa gani ama ulileta wanachama wangapi CHADEMA.

- The ishu sio kufa au kufika mwisho, the ishu ni kama they are effective kwa taifa hata wakiwepo! sasa hivi they are not na wanahitaji ku-deal na matatizo yao ya ndani, wanayo na ni kawaida kwa vyama vya siasa, dawa ni kukubali kuwa wanayo na kuyashughulikia, tutawaheshimu iwapo watayamaliza kwa njia ambazo zinaweza kuwa mfano kwa vyama vingine,

- Kuliko kutukanana kwenye media na kurushiana maneno yasiyofaa mbele ya wananchi. Mnyika with all due respect malizeni matatizo yenu kituuzima tutawaheshimu in the process msitafute mchawi kutoka nje, malumbano ya kisiasa ndio hasa kipimo cha political maturity kwa wahusika, na muhimu ni mmeyamalizaje sio mmefanikiwaje kuyaziba ziba!

es!
 
Maadili hayalindwi kwa mkono wa chuma unless chadema ni chama cha kikomuinist cha uchina...

..
ukianza na Wangwe,Kafulila hakuna hata mmoja ambae alifukuzwa nnje ya utaratibu uliopo ndani ya katiba ya CHADEMA, sema shida yako umelelewa kwenye mfumo wa kubembelezana na kuamini kua bila mtu fulani hakuna maisha.
Hakuna alie juu ya Chama, maana Chama ni taasisi, ndio maana alikuwepo Mtei Mtei , akaja Bob, sasa Mbowe.....maisha yanakwenda.
Tumaini kama kiongozi mfano JK ANAYOVYOSHINDWA kuwawajibisha wasaidizi wake, kwako huo ni mfano wa demokrasia, amakweli kiwi cha macho huletwa na malezi mabaya ya tangu udogo.
 
Beef zote hizi chanzo chake ni mshiko.
Hakuna cha chama mbadala wala upuuzi wa kupinga ufisadi.
Watanzania wengi njaa kali na siasa ni deal kama deal nyingine yoyote.
Upuuzi wa chama hiki uko wazi, chama gani chenye msururu wa wanafamilia kwenye safu zote za uongozi? Tena nafasi nyingi za kuteuliwa.
Kwani Zitto hakuona kilichomtokea alipojaribu kugombea Uenyekiti? Unafikiri u-CEO kwenye kampuni ya CHADEMA unapatikana kwa kura?

Ulipotea sana dogo.
 
Back
Top Bottom