Waberoya
Zamu yangu kufanya nini mkubwa?
JJ
Sijajua kwa credibility yako kama kweli ulifurahia ubakwaji wa demokrasia ndani ya chama chenu, na hii ndio imetushtua wengi..ndugu yangu Mnyika kubali, kataa.Kutotangaza matokeo haraka haraka kunaleta picha viongozi wetu sio foreseer, hamkutakiwa kufanya uchaguzi basi kama hali si shwari!
Ukiona hili la uchaguzi huwezi kujibu, acha tu, wewe si mmoja wao! we all know that
Waberoya utasubiri sana kuuona mwisho wa CHADEMA lakini kamwe hautafika, vita inaendele ya ukombozi wA raslimali zetu.......hakuna zamu ya mtu kuvuliwa madaraka CHADEMA, nidhamu kwanza hiyo Ni sera yetu, hatujali wewe unawadhifa gani ama ulileta wanachama wangapi CHADEMA.
Haunifahamu, kwa taarifa yako naipenda mno, ila warekebishe makosa yao! akina Kafulila,Dandu wanaacha makovu sana unless hajujajua athari zake kichama!
Hili bomu jingine lisilojitambua. Alikuwa Mtanzania aliyejidai kutetea utawala bora. Ikaja kudhihirika ni mganga njaa tu wa CCM. Anataka ubunge huko Mbeya.
Nawe hauko tofauti sana na George Mwakalinga.
Huyu siyo invicible ninayemfahamu, labda kama ulikuwa na maana nyingine
Mkuu mimi niko Canada naramba degree zingine,kituo changu cha kazi ni UDSM, professionally ni engineer.Ukitaka kujua uhandisi gani we chora majengo niletee nikuwekee nondo!
Invicible wewe ni Chadema najua, what we do ni kiwe bora na ndoto ya kila mtu, lile swali ni la uchokozi tu nione Mnyika atajibu vipi.Mnyika kajibu kistaarabu, maana angejibu kwa hasira ni alama ya kuwa anajidefend! simple saikoloji waulize wanasheria!! wewe mzee umeharibu!
wengine hatuna vyama humu, kila mtu anapokea kulingana na haki yake! nyie wenye vyama ndio mnapata sana shida, kila post mnajibu harsh...
Kamuulize FMES atakuuliza..I hate CCM, ila sitaki chadema na hali na tabia yao ya kubaka demokrasia tuiangalie kama wote mazezeta!
Ulivyojibu mzee umeniacha hoi...kumbe unamjua kila mtu humu!
Unataka nichague chama??
it can not be a forum for great thinker bali washabiki, ila siamini katika hao wewe humo!!