Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Marekani ndio nchi iliyoanzisha democrasia katika mfumo wa vyama vingi.
Marekani kupitia IMF , WORLD BANK, wameineza sera ya democrasia, katika nchi masikini kuanzia miaka ya 1980s. Nguvu ya uma ni muhimu sana katika kuleta mabadiliko ya kweli ndani ya Tanzania.
Lakini kulingana na asili yetu, utamaduni, elimu dini ya uzalendo, pamoja na uchawa ndani ya taifa Tanzania ni ngumu sana tena sana kuunganisha uma kwa pamoja tukawa na nguvu ya mabadiliko.
Hivyo mh Tundu Lisu fanya mazungumzo na viongozi mashauli duniani wanao amini katika uchaguzi wa uhuru na haki ktk kupushi hoja ya " No reform No election" akiwemo Trump wa USA.
Serikali ya ccm inatumia polisi, tiss, kutisha watu, kutokana na sbb hizo juu, ni ngumu mno tena mno kuzuia uchaguzi Tanzania eti kwa kutumia nguvu ya uma pekee! (Ignorance, selfishness, betrayal, egoism na uchawa).
Mungu akulinde Tundu Lisu, ili ufanikiwe,ktk kuongoza mabadiliko ya kweli.
Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.