sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,632
- 4,737
Trump hana haja ya democracy kwa nchi yake,atakuwaje mfuatiliaji wa democracy Tanzania?Futa kauli zenu za kutafuta vijimisaada vya kutunza familia zenu kwa jina la ubakaji demokrasia nchini kwetu.Mleta mada una shida sana. Wasubirini Democratic muwapelekee huo ujinga lakini kwa Trump sahau hiyo biashara, yaani aache kuhangaika na mambo ya nchini kwake aje kukusaidia wewe?
Labda mpe deal za kuuza madini yote ya nchi ili muwe watawala kama Moitse Tchombe wa Congo enzi za Lumumba. Lakini hamtaweza Tanzania inayolindwa na kutetewa na mataifa makubwa ikiwemo China.