Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Kinachowatesa wafuasi wa CHADEMA wale wanaodhani wana ushawishi ni kuingia kwenye mfumo wa Wanaharakati, hivyo kuna mambo yanapaswa kwenda kitaasisi ila wanajikuta wanaogopa kupoteza support ya Wanaharakati. Watakuja kustuka kumekucha. Jana mmembeza na kumtukana Freeman Mbowe, Leo huyu mmemuandalia kombola gani?View attachment 3668386
View attachment 3668387
Hivi vyama na hata taasisi za serikali vinakosaga PR experts, ilipaswa kuwekwa ambigous message na fupi sana hakukuwa na haja ya paragraph zote hizo kwa mtu tusiyemtambua kama Rais...Wamekosea uandishi.
..walipaswa kum-address kama Mwenyekiti wa Ccm.
Hizo Salaam zilitolewa siku ileile aliyofiwa, narua ndiyo imeandikwa leo baada ya kukumbushia. Hizo habari zako za Mbowe kaa nazoKinachowatesa wafuasi wa CHADEMA wale wanaodhani wana ushawishi ni kuingia kwenye mfumo wa Wanaharakati, hivyo kuna mambo yanapaswa kwenda kitaasisi ila wanajikuta wanaogopa kupoteza support ya Wanaharakati. Watakuja kustuka kumekucha. Jana mmembeza na kumtukana Freeman Mbowe, Leo huyu mmemuandalia kombola gani?View attachment 3668386
View attachment 3668387
Hii barua ipo kwenye kurasa rasmi za Chadema?Kinachowatesa wafuasi wa CHADEMA wale wanaodhani wana ushawishi ni kuingia kwenye mfumo wa Wanaharakati, hivyo kuna mambo yanapaswa kwenda kitaasisi ila wanajikuta wanaogopa kupoteza support ya Wanaharakati. Watakuja kustuka kumekucha. Jana mmembeza na kumtukana Freeman Mbowe, Leo huyu mmemuandalia kombola gani?View attachment 3668386
View attachment 3668387