Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Kwakua mmekubali kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa na kujiingiza kwenye mtego wa kuhalalisha haramu ya CCM, basi nawashauri tumieni mbinu zote halali kudai haki yenu.
Nendeni mahakani mkaiombe mahakama mambo yafuatayo.
1. Uchaguzi usimamishwe mpaka kasoro kubwa zilizojitokeza zitatuliwe.
2. Pelekeni orodha ya kasoro zilizojitokeza na kuiomba mahakama iiamuru TAMISEMI ( Mkwe mwenye kifua kipana
) izitatue kasoro zote na kuipelekea mahakama ushahidi ndipo uchaguzi uendelee.