Nilipe nisepe
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 446
- 971
Mahakama izi izi za Rostamu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zina uwezekano mkubwa zaidi wa kutoa haki kuliko mkwe mwenye kifua kipana.Mahakama izi izi za Rostamu?
Huwa wanafanya kosa la kutokuzingatia uchaguzi wa serikali za mtaa.Unatwanga maji kwenye kinu unaowashauri wala hawana habari wanajuw atayari wameshashindwa uchaguzi
NI janbo la muda kila mmoja atabaini kuwa haina maana yeyote.kama hawana imani na mifumo ya nchi hii kwanini wanashiriki huo uchaguzi wa mkwe?
Haa mnanikumbusha zidumu fikra za Muumba wetuKwakua mmekubali kushiriki kuibariki haramu ya serikali ya CCM, basi nawashauri tumieni mbinu zote halali kudai haki yenu.
Nendeni mahakani mkaiombe mahakama mambo yafuatayo.
1. Uchaguzi usimamishwe mpaka kasoro kubwa zilizojitokeza zitatuliwe.
2. Pelekeni orodha ya kasoro zilizojitokeza na kuiomba mahakama iiamuru TAMISEMI ( Mkwe mwenye kifua kipana) izitatue kasoro zote na kuipelekea mahakama ushahidi ndipo uchaguzi uendelee.
Mahakama zipi au mfumo uliopo wa kudhibiti wananchi kufurahia utawala wa kidemokrasia hauoni.Rejea kesi zilizoamriwa na mahakama ikiwepo ya covid 19Kwakua mmekubali kushiriki kuibariki haramu ya serikali ya CCM, basi nawashauri tumieni mbinu zote halali kudai haki yenu.
Nendeni mahakani mkaiombe mahakama mambo yafuatayo.
1. Uchaguzi usimamishwe mpaka kasoro kubwa zilizojitokeza zitatuliwe.
2. Pelekeni orodha ya kasoro zilizojitokeza na kuiomba mahakama iiamuru TAMISEMI ( Mkwe mwenye kifua kipana) izitatue kasoro zote na kuipelekea mahakama ushahidi ndipo uchaguzi uendelee.
Moshi wa mwenge kazini!!Kwakua mmekubali kushiriki kuibariki haramu ya serikali ya CCM, basi nawashauri tumieni mbinu zote halali kudai haki yenu.
Nendeni mahakani mkaiombe mahakama mambo yafuatayo.
1. Uchaguzi usimamishwe mpaka kasoro kubwa zilizojitokeza zitatuliwe.
2. Pelekeni orodha ya kasoro zilizojitokeza na kuiomba mahakama iiamuru TAMISEMI ( Mkwe mwenye kifua kipana) izitatue kasoro zote na kuipelekea mahakama ushahidi ndipo uchaguzi uendelee.
Heshimu mwenge kijana, ni alama ya taifa.Moshi wa mwenge kazini!!
Ni vema waende kwakuwa wameamua kushiriki. Ukiamua kupambana basi pambana mpaka mwisho. Watu waone kuwa haulutendewa haki kila mahali.Mahakama zipi au mfumo uliopo wa kudhibiti wananchi kufurahia utawala wa kidemokrasia hauoni.Rejea kesi zilizoamriwa na mahakama ikiwepo ya covid 19
Naam, kufungua kesi ni muhimu. Watu wajue kuwa hakuna matumanini yoyote. Si bunge wala mahakama, vyote viko na chama tawala.CCM walishasema kuwa hawawezi kuondolewa madarakani kwa njia ya kura na wataendelea kutumia dola(ikiwepo Mahakama) kuendelea kutawala. Ila ni vema tu kufungua kesi Mahakamani ili kuweka record vizuri kwani itafika tu wakati zitumikie njia nyingine mbadala na kesi hizi ambazo zitakuwa zimeamuliwa kwa maelekezo toka kwa Mwenyekiti wa CCM zitakuwa ushahidi kuwa njia zote za kistaarabu zilitumika kutafuta haki.
Hiyo ipo wapi ndugu?Mahakama izi izi za Rostamu?
Kwasababu hawana namna ya kufanya. Mahakama, Bunge, viongozi wa dini, wote wameshindwa kumuelekeza Mama Samia aendeshe uchaguzi huru, na wa haki.kama hawana imani na mifumo ya nchi hii kwanini wanashiriki huo uchaguzi wa mkwe?
Tayari mahakama kuu ilishagoma kusimamisha uchaguzi, ili ukasimamiwe na Tume huru ya uchaguzi.Naam, kufungua kesi ni muhimu. Watu wajue kuwa hakuna matumanini yoyote. Si bunge wala mahakama, vyote viko na chama tawala.
Ni kweli ila hiyo ni hoja tofauti kisheria.Tayari mahakama kuu ilishagoma kusimamisha uchaguzi, ili ukasimamiwe na Tume huru ya uchaguzi.