Nilitegemea hadi muda huu mmeshaitisha press conference kuelezea kinachojiri kuliko kila mtu kulia kivyake, Ester Bulaya analia kivyake, Heche analia kivyake, Zitto kivyake na Lema kivyake haisaidii, muda huu ni wakati wa kuonyesha mshikamano.
Kama ni ushahidi wa wizi wa kura umeshaonekana, mmejionea wenyewe mawakala wenu wengi wakienguliwa na sasa wanatolewa vituoni wakati muhimu wa kuhesabu na kujumlisha kura. Mmeshuhudia viongozi wenu hasa wenyeviti na makatibu wakivamiwa na kuuwawa hadharani, mawakala wenu wanakamatwa, mnasubiri kitu gani kuongea na wapigakura wenu.
Lissu, Maalimu Seif, Mbowe, Zitto where are you.