Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo ni wakati wa kukutana na kutoa tamko la pamoja nini kifanyike

Siasa bana. Ila aliyetegemea kitu tofauti na tunachokiona sasa alikuwa anajipa faraja tu.

Nilipopiga kura mimi niliona mawakala wawili waliochoooka. Wale hata haikuhitaji kuwatoa nje. Vipigo vingine Wapinzani huwa wanajiandalia wenyewe tu.
 
Waongee nini wameshakataliwa ?
Maalim Seif midaa hii katangaza maandamano na mmemkamta.Hii habari JF wanaizuia.

ZANZIBAR: MAALIM SEIF NA VIONGOZI WENZAKE WAKAMATWA NA POLIS.

Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Maalim @SeifSharifHamad
Makamo Mwenyekiti Juma Duni Haji, @IsmailJussa na Viongozi wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Wamekamatwa.

#ZanzibarLivesMatter https://t.co/0ibNN4hQX3
 
Maalimu Seif ameshawaita wapenda mabadiliko wote wakutane round about ya Michenzani sasa hivi. Maandamano yasiyo na ukomo yanaanza.
 
Siasa bana. Ila aliyetegemea kitu tofauti na tunachokiona sasa alikuwa anajipa faraja tu.

Nilipopiga kura mimi niliona mawakala wawili waliochoooka. Wale hata haikuhitaji kuwatoa nje. Vipigo vingine Wapinzani huwa wanajiandalia wenyewe tu.
Sehemu nyingi hawakuwa na mawakala na ni wazi hawakuwapa mafunzo yoyote. Yaani hakuna organization yoyote, Lissu kapambana peke yake. Cowards yamejificha!
 
Achana na mambo ya Zanzibar, sisi tuko huku Bara, isitoshe kwenu Uchagani wameikataa chadema rasmi, nilikuwa nawaonya kila siku humu Wachaga hawawezi kumkubali na kumchagua Tundu Lisu hata siku moja, sasa kiko wapi? Laana ya kumdharau na kumdhihaki Mzee Mtei inawatafuna, na bado, ...
 
Maalimu Seif ameshawaita wapenda mabadiliko wote wakutane round about ya Michenzani sasa hivi. Maandamano yasiyo na ukomo yanaanza.
Najua inauma lakini sioni chochote cha maana huko mbele. Wachache watauwawa na tuliobakia tutakandamizwa na kudhulumiwa. International community will say nothing! No sanctions, no nothing.
 
BREAKING NEWS

Mwenyekiti wa ACT Maalim Seif Sharif Hamad, Makamo Mwenyekiti Juma Duni Haji Ismail jussa na Viongozi wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Wamekamatwa muda huu Michenzani walikuwa wanaongoza maandamano ya kutafuta haki.

Muda wa Ukombozo ni sasa. Kila pahala kila mtanzania atoke Sasa....Unguja asibaki mtu nyumbani.
 
Najua inauma lakini sioni chochote cha maana huko mbele. Wachache watauwawa na tuliobakia tutakandamizwa na kudhulumiwa. International community will say nothing! No sanctions, no nothing.
Ndiyo kwanza chai inaanza kuchemka.
 
Hata wakikutana na Amsterdam, hakuna watakachofanya kinyume na maamuzi ya wananchi. Ukiachwa achika, mtakula wa chuya safari hii.
 
Siasa bana. Ila aliyetegemea kitu tofauti na tunachokiona sasa alikuwa anajipa faraja tu.

Nilipopiga kura mimi niliona mawakala wawili waliochoooka. Wale hata haikuhitaji kuwatoa nje. Vipigo vingine Wapinzani huwa wanajiandalia wenyewe tu.
Sio hivyo tu mkuu..me mwaka 2015 nilisimamia uchaguzi,nilishangaa kuona wakala wa chadema kashinda na njaa kutwa nzima hakuna hata anaejisumbua kumletea chakula wala maji..wakati wenzao wa ccm watu wao kila baada ya lisaa utaona wameleta msosi au vinywaji.
 
Sehemu nyingi hawakuwa na mawakala na ni wazi hawakuwapa mafunzo yoyote. Yaani hakuna organization yoyote, Lissu kapambana peke yake. Cowards yamejificha!
Hapa hamna wa kulaumu nazingira ya siasa Tz yalikua magumu atakukusanya tu wana chama wako mkiwa ndani ya hoteli au nyumbani ulikua unakamatwa na police, lawama inakuja kwetu raia sie ni waoga tumeshidwa kudhibiti hiyo hali ya udikiteta
 
Sio hivyo tu mkuu..me mwaka 2015 nilisimamia uchaguzi,nilishangaa kuona wakala wa chadema kashinda na njaa kutwa nzima...
Mwaka 2015 Mawakala wa Mnyika waliombwa kusimamia bure na wengi waliombwa kutoka makanisa ya kilokole.

Wengine hata ile ahadi ya nauli hawakupewa baada ya uchaguzi kuisha
 
Back
Top Bottom