Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo ni wakati wa kukutana na kutoa tamko la pamoja nini kifanyike

Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo ni wakati wa kukutana na kutoa tamko la pamoja nini kifanyike

Wewe ni wakupuuzwa tu.

Ni vizuri alivyofanya lakini mwaka huu hatuko peke yetu. Kumbuka 2015 mpaka serikali ilimuondoa muwakilishi wa UNDP kwa msaada alikmpa Maalim. Sasa hivi wamerudia yale yale.
Watatulia tu hao na hakuna kitakachotokea Zanzibar.

Uchaguzi umekwisha tulijenge Taifa letu.

Mwenye nguvu bado ajipange kwa 2025.

Adios.
 
Wapinzani wenyewe wanatengeneza mazingira ya kuibiwa,ingawa sina uhakika kama kura zinaibiwa kweli.
Wanaiba hivi:

Let say kituo kimoja kuna wapiga kura 500 wenye haki ya kupiga kura pale. Then wanajitokeza 200. Kati ya hao 200, CHADEMA inapata let say 110 na CCM 90.

NEC (DED) na mawakala mule ndani wanawapigia kura wale 300 ambao hawakwenda kupiga kura. In most cases wanaweza kuchukua 200 kati ya 300 ili isiwe too obvious. Then zile 90 plus 200 hewa inakuwa 290 kwa wagombea wa CCM. Ukifanya hivi jimbo zina, Lissu na wenzie wanatimuliwa vumbi kali.

Kama mawakala hawapo then kazi inakuwa laini mnooo. Michezo huanzia vituoni. Mawakala dhaifu wa Upinzani ni mwanzo wa vipigo heavy.
 
Sky Eclat na BAK angalau nyinyi bado mnanguvu ya kutype.
wenzenu wanalia,wamesusa hata kula na kuoga.
hii ndo Tanzania na walioamua ni wananchi wapenda maendeleo.
tunnaubiri matamko mfululizo pamoja na mikwala pamoja na lugha za matumaini kutoka kwa viongozi wenu.
 
Wanaiba hivi:

Let say kituo kimoja kuna wapiga kura 500 wenye haki ya kupiga kura pale. Then wanajitokeza 200. Kati ya hao 200, CHADEMA inapata let say 110 na CCM 90.

NEC (DED) na mawakala mule ndani wanawapigia kura wale 300 ambao hawakwenda kupiga kura. In most cases wanaweza kuchukua 200 kati ya 300 ili isiwe too obvious. Then zile 90 plus 200 hewa inakuwa 290 kwa wagombea wa CCM

Kama mawakala hawapo then kazi inakuwa laini mnooo. Michezo huanzia vituoni. Mawakala dhaifu wa Upinzani ni mwanzo wa vipigo heavy.
Haya yangekua solved kma kila kituo wangeacha mawakala wa upinzani na pia wawape nakala ya matokeo.

Mbagala 2015 yaliletwa masanduku mapya kabisa kureplace yaliyokuwepo na hapo askari wana mtutu wakati wa ujumuishwaji huna la kuzuia. Kuna maeneo mengine mnaanza kupiga kura ila kuna masanduku tayari yana kura.

So haya yanawezekana kabisa maana kura hazitumwi ki-electronic kma Kenya.
 
Nilitegemea hadi muda huu mmeshaitisha press conference kuelezea kinachojiri kuliko kila mtu kulia kivyake, Ester Bulaya analia kivyake, Heche analia kivyake, Zitto kivyake na Lema kivyake haisaidii, muda huu ni wakati wa kuonyesha mshikamano.

Kama ni ushahidi wa wizi wa kura umeshaonekana, mmejionea wenyewe mawakala wenu wengi wakienguliwa na sasa wanatolewa vituoni wakati muhimu wa kuhesabu na kujumlisha kura. Mmeshuhudia viongozi wenu hasa wenyeviti na makatibu wakivamiwa na kuuwawa hadharani, mawakala wenu wanakamatwa, mnasubiri kitu gani kuongea na wapigakura wenu.

Lissu, Maalimu Seif, Mbowe, Zitto where are you.
Nadhani wanangoja Koramu itimie. Mbowe tayari, Sugu tayari, Msigwa tayari, Heche tayari, Mdee tayari, Lema ni kama tayari, na wengine tayari. Najua wanangojana kwa kuwa kuingia mitaani si suala la kukurupuka. Ni lazima lipangiliwe na kuratibiwa kwa makini. Najua kitu fulani kinapikwa sasa hivi.
 
Sky Eclat na BAK angalau nyinyi bado mnanguvu ya kutype.
wenzenu wanalia,wamesusa hata kula na kuoga.
hii ndo Tanzania na waliomua ni wananchi wapenda maendeleo.
tunaaubiri matamko mfululizo pamoja na mikwara,lugha za matumaini kutoka kwa viongozi wenu.
Mwaka huu ni pampa to pampa hakuna kusubiri.
 
Maalimu Seif ameshawaita wapenda mabadiliko wote wakutane round about ya Michenzani sasa hivi. Maandamano yasiyo na ukomo yanaanza.
Hii ni sawa na jinsi mlivyochezewa kwenye kura hawa wamejipanga ku deal na hilo tena kwa huko Zanzibar. Sijui lini mtajifunza hampambani na waswahili wa pale Lipumba bali watu wa system wenye akili zao.
 
Mwaka huu ni pampa to pampa hakuna kusubiri.
Zito kabwe kawauza,michezo yote anaijua ila aliaidiwa kwake patakuwa salama na atachiwa jimbo akanyamaza,kilichofatia wamempiga mpaka yeye mwenyewe.
Kikulacho kinguoni,,,,!!
 
Nilitegemea hadi muda huu mmeshaitisha press conference kuelezea kinachojiri kuliko kila mtu kulia kivyake, Ester Bulaya analia kivyake, Heche analia kivyake, Zitto kivyake na Lema kivyake haisaidii, muda huu ni wakati wa kuonyesha mshikamano.

Kama ni ushahidi wa wizi wa kura umeshaonekana, mmejionea wenyewe mawakala wenu wengi wakienguliwa na sasa wanatolewa vituoni wakati muhimu wa kuhesabu na kujumlisha kura. Mmeshuhudia viongozi wenu hasa wenyeviti na makatibu wakivamiwa na kuuwawa hadharani, mawakala wenu wanakamatwa, mnasubiri kitu gani kuongea na wapigakura wenu.

Lissu, Maalimu Seif, Mbowe, Zitto where are you.
Mzee tamko does not make sense
 
CHADEMA na ACT Hata wafanyaje bado nchi hii ipo mikononi mwaa polis na Wanajeshi kwahiyo wataishia kupiga kelele tu lakin nadhan haitasaidia sana!
 
Niliandika hizo nyuzi nikaonekana CCM kumbe msema kweli...aya tekelezeni sasa
 
Kuna baadhi ya watanzania ni wapumbavu, kwahy wakisema muandamane bc kuna watakao andamana kweli
 
Kilichotokea ni calculations, baada ya Lissu kuitangazia jumuia ya kimataifa ndiyo maandamano yanaanza. ICC watafanya uchunguzi sababu ya Maalim kuwekwa ndani. Kumbuka Lissu amewaomba majirani pia wasiukubali ichaguzi huu uliokosa haki.
Hamna calculation wala strategy yoyote viongozi wa Upinzani wanafanya mambo kwa trends tu huku wakiomba Mungu , Mataifa ya nje yatoe tamko
FYI ICC haifanyi kazi hivyo. Fuatilia kinachotokea Guinea utaelewa.
 
Subiri wewe usikurupuke jana si leo
 
Labda ulianzishe wewe hapo ulipo .una weza jikuta peke ako
 
Back
Top Bottom