Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo ni wakati wa kukutana na kutoa tamko la pamoja nini kifanyike

Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo ni wakati wa kukutana na kutoa tamko la pamoja nini kifanyike

Nilitegemea hadi muda huu mmeshaitisha press conference kuelezea kinachojiri kuliko kila mtu kulia kivyake, Ester Bulaya analia kivyake, Heche analia kivyake, Zitto kivyake na Lema kivyake haisaidii, muda huu ni wakati wa kuonyesha mshikamano.

Kama ni ushahidi wa wizi wa kura umeshaonekana, mmejionea wenyewe mawakala wenu wengi wakienguliwa na sasa wanatolewa vituoni wakati muhimu wa kuhesabu na kujumlisha kura. Mmeshuhudia viongozi wenu hasa wenyeviti na makatibu wakivamiwa na kuuwawa hadharani, mawakala wenu wanakamatwa, mnasubiri kitu gani kuongea na wapigakura wenu.

Lissu, Maalimu Seif, Mbowe, Zitto where are you.
Nadhani wengi wamo kwenye vizuizi maana matokeo ya kuwaacha huru yanajulikana.
 
Mimi nalia na Jaji Mugasha. Dhuluma yote hii ya kuibiwa kura ni juu yake.
 
Wanaiba hivi:

Let say kituo kimoja kuna wapiga kura 500 wenye haki ya kupiga kura pale. Then wanajitokeza 200. Kati ya hao 200, CHADEMA inapata let say 110 na CCM 90.

NEC (DED) na mawakala mule ndani wanawapigia kura wale 300 ambao hawakwenda kupiga kura. In most cases wanaweza kuchukua 200 kati ya 300 ili isiwe too obvious. Then zile 90 plus 200 hewa inakuwa 290 kwa wagombea wa CCM. Ukifanya hivi jimbo zina, Lissu na wenzie wanatimuliwa vumbi kali.

Kama mawakala hawapo then kazi inakuwa laini mnooo. Michezo huanzia vituoni. Mawakala dhaifu wa Upinzani ni mwanzo wa vipigo heavy.
tena wanaachwa na njaa huko ndani.
 
Anza we we uwe mfano kwa wenzio. Ule Uhuru wa kuropoka mwisho ulikuwa Oktoba 27, baada ya hapo ni kazi kazi. Jitokeze barabarani ujifanye kama unaandamana uone
Hata mwizi humwomba mungu wake ili afanikiwe. Akishaiba anaenda kufurahia na malaya zake.
 
Wapo in shock (kumbuka vipato vyao vimeguswa) wape mda pressure ipungue kidogo halafu hata hivyo low turn out imewavunja sana nguvu. Check body language ya TL utaelewa.
Low turnout gani wakati kuna sehemu wapakura walikuwa 165%.
 
Sio hivyo tu mkuu..me mwaka 2015 nilisimamia uchaguzi,nilishangaa kuona wakala wa chadema kashinda na njaa kutwa nzima hakuna hata anaejisumbua kumletea chakula wala maji..wakati wenzao wa ccm watu wao kila baada ya lisaa utaona wameleta msosi au vinywaji.
Na mwaka huu 2020 bado hali ni hio hio wanawaahidi watawaletea chakula alafu hao wanaoratibu wenyewe wanaenda vamia vituo huko [emoji23] matokeo yake wanashinda njaa na ni rahisi kushawishiwa, unakuta wakala yupo lakini chama chake hakina kura hata moja ina maana hata yeye hajakipigia kura
 
Mmawia tindo BAK nawengine wamepoteana.
niliwaambia mvae pampers siku ya uchaguzi lazima yatashuka bila break.
Endeleeni kujidanganya, CDM humu jamnvini haiwezi kufa, we are even stronger than before. Yani hata ccm ikitawala milele bado tupo tu na tutawapa spana humu mpaka muombe msaada kwa mods, au mkitaka kaombeni msaada kwa polisi na tume kama walivyowasaidia kuiba kura
 
Viongozi wa juu wa ACT Wazalendo na CHADEMA Kesho, Jumamosi, Oct 31, watazungumza na vyombo vya habari saa nne asubuhi. Watakua Makao Makuu ya CHADEMA Kinondoni. @zittokabwe @freemanmbowetz @jjmnyika @SeifSharifHamad
 
Back
Top Bottom