Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Nyie ni vichwa vigumu na hamjui jinsi ya kupata mnachotaka. You will learn the hard way.Subiri wewe usikurupuke jana si leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ni vichwa vigumu na hamjui jinsi ya kupata mnachotaka. You will learn the hard way.Subiri wewe usikurupuke jana si leo
CUF watapata wabunge, NCCR mmoja, TADEA ya Shibuda mbunge mmoja. Jumla watano. Lkn ACT na Chadema target yao ni kuviua kabisa.Mkuu hakuna mbunge wa CHADEMA wala ACT kwa Tanzania bara atakayetangazwa.
Huyu Mmawia sijui ndio kapotelea wapi. Simsikii kabisaaa.
Mawakala walitolewa vituoniWanaiba hivi:
Let say kituo kimoja kuna wapiga kura 500 wenye haki ya kupiga kura pale. Then wanajitokeza 200. Kati ya hao 200, CHADEMA inapata let say 110 na CCM 90.
NEC (DED) na mawakala mule ndani wanawapigia kura wale 300 ambao hawakwenda kupiga kura. In most cases wanaweza kuchukua 200 kati ya 300 ili isiwe too obvious. Then zile 90 plus 200 hewa inakuwa 290 kwa wagombea wa CCM. Ukifanya hivi jimbo zina, Lissu na wenzie wanatimuliwa vumbi kali.
Kama mawakala hawapo then kazi inakuwa laini mnooo. Michezo huanzia vituoni. Mawakala dhaifu wa Upinzani ni mwanzo wa vipigo heavy.
Utakutana na kikokotoo siku zijazo ndo utaelewaWapigie simu mkuu..
Bulaya ni kiherehere chake
Bado mpo vituoni kulinda kura?
Yupo Dubai ANAKULA bataMembe ye yuko wapi?
Inawezekana. Naanza kupata wasiwasi.Sjui yuko wapi Mmawia uwenda labda kajinyonga.
ngoja tusubiri.
Kivipi?We muuliju mbna umekata tamaa hv
Hakuna haja ya wapinzani kufanya press, msiba huu sio wa upinzani, acheni tunyooshwe tu, jambo hili ni la umma wa Tanzania nzima, kama kuna mwanaccm anadhani kutakuwa na upendeleo wa huduma basi asubiri tu, safari hii hakuna wa kuisoma namba, tutaziandika wote, halafu tutazisoma kwa pamoja. JPM for life, CCM mbele kwa mbele! Yajayo yanafurahisha?Nilitegemea hadi muda huu mmeshaitisha press conference kuelezea kinachojiri kuliko kila mtu kulia kivyake, Ester Bulaya analia kivyake, Heche analia kivyake, Zitto kivyake na Lema kivyake haisaidii, muda huu ni wakati wa kuonyesha mshikamano.
Kama ni ushahidi wa wizi wa kura umeshaonekana, mmejionea wenyewe mawakala wenu wengi wakienguliwa na sasa wanatolewa vituoni wakati muhimu wa kuhesabu na kujumlisha kura. Mmeshuhudia viongozi wenu hasa wenyeviti na makatibu wakivamiwa na kuuwawa hadharani, mawakala wenu wanakamatwa, mnasubiri kitu gani kuongea na wapigakura wenu.
Lissu, Maalimu Seif, Mbowe, Zitto where are you.
Ni msiba wa waliowengi hiyo ipo dhahiri. Jambazi ameshafanya yake.Hakuna haja ya wapinzani kufanya press, msiba huu sio wa upinzani, acheni tunyooshwe tu, jambo hili ni la umma wa Tanzania nzima, kama kuna mwanaccm anadhani kutakuwa na upendeleo wa huduma basi asubiri tu, safari hii hakuna wa kuisoma namba, tutaziandika wote, halafu tutazisoma kwa pamoja. JPM for life, CCM mbele kwa mbele! Yajayo yanafurahisha?
Anza we we uwe mfano kwa wenzio. Ule Uhuru wa kuropoka mwisho ulikuwa Oktoba 27, baada ya hapo ni kazi kazi. Jitokeze barabarani ujifanye kama unaandamana uoneNilitegemea hadi muda huu mmeshaitisha press conference kuelezea kinachojiri kuliko kila mtu kulia kivyake, Ester Bulaya analia kivyake, Heche analia kivyake, Zitto kivyake na Lema kivyake haisaidii, muda huu ni wakati wa kuonyesha mshikamano.
Kama ni ushahidi wa wizi wa kura umeshaonekana, mmejionea wenyewe mawakala wenu wengi wakienguliwa na sasa wanatolewa vituoni wakati muhimu wa kuhesabu na kujumlisha kura. Mmeshuhudia viongozi wenu hasa wenyeviti na makatibu wakivamiwa na kuuwawa hadharani, mawakala wenu wanakamatwa, mnasubiri kitu gani kuongea na wapigakura wenu.
Lissu, Maalimu Seif, Mbowe, Zitto where are you.
Sasa mkakamata ushahidi na kuuchoma moto, jamii itawasaidiaje?. Unachoma ushahidi kisha unalalamika?Nilitegemea hadi muda huu mmeshaitisha press conference kuelezea kinachojiri kuliko kila mtu kulia kivyake, Ester Bulaya analia kivyake, Heche analia kivyake, Zitto kivyake na Lema kivyake haisaidii, muda huu ni wakati wa kuonyesha mshikamano.
Kama ni ushahidi wa wizi wa kura umeshaonekana, mmejionea wenyewe mawakala wenu wengi wakienguliwa na sasa wanatolewa vituoni wakati muhimu wa kuhesabu na kujumlisha kura. Mmeshuhudia viongozi wenu hasa wenyeviti na makatibu wakivamiwa na kuuwawa hadharani, mawakala wenu wanakamatwa, mnasubiri kitu gani kuongea na wapigakura wenu.
Lissu, Maalimu Seif, Mbowe, Zitto where are you.
Acha uongo tuliwaambia watz siyo wajinga kama mnavyofikiria. Naona wamewayoosha tayari na huku Kawe Mdee anapumlia mipira!!! hahahahaha.Nilitegemea hadi muda huu mmeshaitisha press conference kuelezea kinachojiri kuliko kila mtu kulia kivyake, Ester Bulaya analia kivyake, Heche analia kivyake, Zitto kivyake na Lema kivyake haisaidii, muda huu ni wakati wa kuonyesha mshikamano.