Nilitegemea hadi muda huu mmeshaitisha press conference kuelezea kinachojiri kuliko kila mtu kulia kivyake, Ester Bulaya analia kivyake, Heche analia kivyake, Zitto kivyake na Lema kivyake haisaidii, muda huu ni wakati wa kuonyesha mshikamano...
Unategemea nini kama mawakala wanatolewa kwa nguvu.Bado kwanza kura zinahesabiwa
Sasa hivi ni mapambano yanaendelea field ukiwapa nafasi tu wanamliza ndo maana sasa mapambano yanaendelea kwanza wakimaliza watatoa kauliUnategemea nini kama mawakala wanatolewa kwa nguvu.
Watawaridhisha kwa kuwapa wabunge kadhaa. Halafu nafasi za urais zote wanachukua ccm. Wakati ilitakiwa kuwa kinyume chake.Bado kwanza kura zinahesabiwa
Hizo za malori inatakiwa zizibitiwe hapo hapo na wapenzi wa demokrasia wakati mawakala nao wanapambana kwenye kujumlisha kila kituoWatawaridhisha kwa kuwapa wabunge kadhaa. Halafu nafasi za urais zote wanachukua ccm. Wakati ilitakiwa kuwa kinyume chake.
Muda ni Sasa. Kura zinakamatwa kwenye malori halafu tunasubiri zihesabiwe!!?? Tunahesabu nn?
Za kuambiwa, ongeza na zako. Ni ngumu kuamini mtu kama wewe unaweza kuamini habari hii ya uongo wa wazi.Watawaridhisha kwa kuwapa wabunge kadhaa. Halafu nafasi za urais zote wanachukua ccm. Wakati ilitakiwa kuwa kinyume chake.
Muda ni Sasa. Kura zinakamatwa kwenye malori halafu tunasubiri zihesabiwe!!?? Tunahesabu nn?
Wizi wa kura.Ungetafuta sababu zinazowawafanya kila mmoja wao alie kivyake.
Wapigie simu mkuu..Nilitegemea hadi muda huu mmeshaitisha press conference kuelezea kinachojiri kuliko kila mtu kulia kivyake, Ester Bulaya analia kivyake, Heche analia kivyake, Zitto kivyake na Lema kivyake haisaidii, muda huu ni wakati wa kuonyesha mshikamano.
Kama ni ushahidi wa wizi wa kura umeshaonekana, mmejionea wenyewe mawakala wenu wengi wakienguliwa na sasa wanatolewa vituoni wakati muhimu wa kuhesabu na kujumlisha kura. Mmeshuhudia viongozi wenu hasa wenyeviti na makatibu wakivamiwa na kuuwawa hadharani, mawakala wenu wanakamatwa, mnasubiri kitu gani kuongea na wapigakura wenu.
Lissu, Maalimu Seif, Mbowe, Zitto where are you.