Mkuu unahangaika sana pambaneni na mgombea wenu huko mambo ya ACT na Chadema yanakuchelewesha kumtafutia kura mgombea wenu....
Muongeaji Lisu alionyesha hati ya ardhi kama ushahidi? Au alikuwa akitoa mimacho tu anapoongea? Yeye Lisu ndie atoe ushahidiBado sijaamini kama Magufuli amekwapua hekari elfu 25 huko Karagwe, nasubiri ajibu hili kama alivyojibu suala la ajira kwa kuajiri watu wachache saaana. Na namna alivyosema kitambulisho cha umachinga si lazima huku kunawatu aliwatumbua kwa kushindwa kufikia target ya makusanyo ya fedha za walalahoi,waliozulumiwa fedha zao kupitia vitambulisho fake visivyo na jina.
Je Magufuli amejimilikisha ekari elfu 25 huko karagwe?. Bado nasubiri hoja ya utetezi wake.
Mkuu tunahitaji JPM aseme neno juu yahiyo aridhi, mbona suala la majimbo kalisemea,suala la machinga, ndege ,uwanja wa chato, ajira akaamuru kabisa watu elfu 13 waajiriwe, tunasubiri nahio yakujimilikisha aridhi ya walalahoi.Muongeaji Lisu alionyesha hati ya ardhi kama ushahidi? Au alikuwa akitoa mimacho tu anapoongea? Yeye Lisu ndie atoe ushahidi