Post nyingine bhana!Aarrgghh,kwani ni lazima?by the way umetekeleza kazi ya leo ok wahi B7 yako lumumba.
Haya ndio aliyosema Zitto kuhusu fisadi Mbowe."Lissu anasema nimepewa magari
2 na Mzee Mkono. Anasema
kaambiwa na Mkono. Naamini
Mkono alimwambia pia mwaka
2005 alimpa Freeman Aikaeli
Mbowe tshs 40m ili Mbowe
asifanye kampeni Musoma vijijini.
Nadhani alimwambia pia mwaka
2008 (baada ya orodha ya
mafisadi kutangazwa 2007) Mkono
alimpa Freeman tshs 20m za
uchaguzi wa Tarime na Freeman
akasema kwenye chama ametoa
mkopo na akalipwa. Nadhani
alimwambia pia kuwa Mwaka 2010
Mkono alimpa Mbowe tshs 200m
za kampeni ya Slaa. Pia
hakusahau kumwambia kuwa
Rostam Aziz alimpa Mbowe tshs
100m za kampeni. Lissu anajua
kuwa gazeti la Tanzania Daima
limeanzishwa na fedha za chama
kutoka Conservative party?
Nimefanya internship yangu kwa
Mkono and Company Advocates
kuhusu masuala ya mikataba.
Mzee Mkono ni Mzee wangu na
alisaini petition ya kumtoa Waziri
Mkuu Pinda.
Lissu awaambie waliyemtuma
wamwambie ukweli wote. Lissu
ajue yeye ni kifaranga tu, Mimi
namtaka mama wa kifaranga
ajitokeze. Aeleze aliingia deal gani
na Kinana na Sumaye mwaka 2005
kufuatia deni lake NSSF. Aweke
wazi mkataba kati yake na NHC
kuhusu nyumba ya Umma ilipo
Club Bilicanas.
They must know I am not a push
over. Chacha died, I won't.
Mtu ambaye hawezi kuheshimu
mke wake aliyemzalia watoto
hawezi kunyooshea mtu kidole
kuhusu maadili
kama hiyo thread ipo kwenye ukurasa wa zzk wa facebook mletaji atufafanulie huyo zzk ana kurasa ngapi maana nimemfollow cjaona kitu kama hicho. na kama ni kwelizzk amepost basi hakuna haja ya kuendelea kuwaamini wanasiasa kumbe wote wizi mtupu.
Kwenye hili ulihitaji Profesa kuelewa tofauti ya kujadili uanachama wa mtu na maelekezo kwa wanachama!
Mbumbummbu wa sheria kama #TeamZitto !
CC
MBOWE
slaa
lema
Ben Saanane
Yericko Nyerere
Zitto
Mnyika
Mtei
Mwita Maranya
Josephine
Nguruvi3
Mchambuzi
Mage3
Mnyika
Crashwise
Na Vifaranga wote
Ruttashobolwa did not use his head but his fingers but i think now he may start using his head.
Chadema ni chama chenye ndoto za kushika dola na kilitegemewa kiwe chama cha kwanza kuheshimu amri za vyombo vya dola ikiwemo mahakama.
Sote tuna fahamu zitto kabwe aliweka zuio mahakamani dhidi ya kamati kuu ya chadema kujadili uanachama wake na kutokana na mwenendo wa shauri hilo mahakami, mahaka iliagiza chadema kutojadili uanachama wa mh zitto kabwe hadi mwisho wa shauri yani hukumu.
Siku ya ijumaa John Mnyika alionekana kwenye vyombo vya habari akisema hawatojadili uanachama wa zitto kutokana na agizo la mahakama na shauri linalo endelea.
Lakini cha ajabu leo kwenye kikao cha chadema na waandishi wa habari kilicho kuwa na lengo la kutoa na kueleza maazimio ya kamati kuu, wameonesha wazi kuwa wame kahidi agizo la mahakama na kuya dharau na ni wazi walijadili uanachama wa zitto.
Kurugenzi ya Habari imenukuu maneno yaliyo somwa na dr slaa ya kionesha kamati kuu imejadili uanachama wa zitto.
Na nukuu
" chama kina wataka wanachama wote na wapenzi wote kuto shiriki mikutano ,ama shughuli zozote za kisiasa zitakazo andaliwa na zitto kabwe na washirika wake kwa jina la chadema"
kwa hayo maneno hapo juu haihitaji kuwa profesa kuelewa kuwa chadema wamemjadili zitto pamoja na uanachama wake hivyo wame kahidi maagizo ya mahakama na kuyasigina kabisa kama hawatambui uwepo wake.
Hayo maneno yaliyo somwa na dr slaa leo yanaonesha kabisa chadema kuto heshimu mamlaka za nchi.
Wananchi wanatakiwa kujua hawa chadema mambo yanapo kwenda kombo kwa upande wao ndio huwa wa kwanza kusema wanaonewa.
Nimejiuliza kilicho wafanya chadema kuto subiri jumatatu baada ya hukumu ndio wajadili uanachama wa zitto?
Hivi kwanini mh Tundu Lissu unashindwa kuwa mshauri mzuri kwa chama chako?
Chadema kwa hili la leo ni dharau kubwa kwa mahakama.
Karibuni wana jamvi.
CC
MBOWE
slaa
lema
Ben Saanane
Yericko Nyerere
Zitto
Mnyika
Mtei
Mwita Maranya
Josephine
Nguruvi3
Mchambuzi
Mage3
Mnyika
Crashwise
Na Vifaranga wote
CC
MBOWE
slaa
lema
Ben Saanane
Yericko Nyerere
Zitto
Mnyika
Mtei
Mwita Maranya
Josephine
Nguruvi3
Mchambuzi
Mage3
Mnyika
Crashwise
Na Vifaranga wote
hapa wanamaanisha nini jaman mimi sijaelewa
"Zitto anaendelea kuwa Mwanachama na Mbunge wa CHADEMA kwasababu ya Mahakama tu na sio kwasababu ya mapenzi ya CHADEMA."
Zitto semaaaa....semaaaa usiogope semaaaa,sisi vijana hatuogopi vibaraka semaaaa*4Haya ndio aliyosema Zitto kuhusu fisadi Mbowe."Lissu anasema nimepewa magari
2 na Mzee Mkono. Anasema
kaambiwa na Mkono. Naamini
Mkono alimwambia pia mwaka
2005 alimpa Freeman Aikaeli
Mbowe tshs 40m ili Mbowe
asifanye kampeni Musoma vijijini.
Nadhani alimwambia pia mwaka
2008 (baada ya orodha ya
mafisadi kutangazwa 2007) Mkono
alimpa Freeman tshs 20m za
uchaguzi wa Tarime na Freeman
akasema kwenye chama ametoa
mkopo na akalipwa. Nadhani
alimwambia pia kuwa Mwaka 2010
Mkono alimpa Mbowe tshs 200m
za kampeni ya Slaa. Pia
hakusahau kumwambia kuwa
Rostam Aziz alimpa Mbowe tshs
100m za kampeni. Lissu anajua
kuwa gazeti la Tanzania Daima
limeanzishwa na fedha za chama
kutoka Conservative party?
Nimefanya internship yangu kwa
Mkono and Company Advocates
kuhusu masuala ya mikataba.
Mzee Mkono ni Mzee wangu na
alisaini petition ya kumtoa Waziri
Mkuu Pinda.
Lissu awaambie waliyemtuma
wamwambie ukweli wote. Lissu
ajue yeye ni kifaranga tu, Mimi
namtaka mama wa kifaranga
ajitokeze. Aeleze aliingia deal gani
na Kinana na Sumaye mwaka 2005
kufuatia deni lake NSSF. Aweke
wazi mkataba kati yake na NHC
kuhusu nyumba ya Umma ilipo
Club Bilicanas.
They must know I am not a push
over. Chacha died, I won't.
Mtu ambaye hawezi kuheshimu
mke wake aliyemzalia watoto
hawezi kunyooshea mtu kidole
kuhusu maadili
Ngoja mchinjane wajemeni sisi yetu macho na maskia wagalatia nyie.
mkuu hizi kashifa zako hazi niyumbishi kabisa. hapa tuna jadili chadema kudharau mahakama na kujadili uanachama wa zitto.
nyie magamba mbona mnamtetea sana zitto abaki cdm? Kama mnamtaka mchukueni sisi huku hatumtaki,kama hajamaliza mission zenu imekula kwenu mwambieni arudishe pesa thru andrea codes!!