Chadema na dharau kwa amri ya mahakama.

Chadema na dharau kwa amri ya mahakama.

Huyu kaka hakuwa na haja ya kwenda mahakamani.Ameonyesha jinsi gani yupo weak bila CDM .Angeanzisha tu chama chake nadhani anepata wafuasi.Ila sasa ameonyesha udhaifu.Nadhani washauri wake wanampoteza.
 
Kuna tofauti kati ya kumjadili zitto na kujadili uanachama wa zitto. Shughulisheni bongo zenu, msilete mihemko isiyo na msingi.

Unapomzuia zitto kufanya mikutano unaongelea suala lake binafsi au uanachama wake?
 
Kwa nukta hiyo, ni dhahiri Chadema wamejichanganya na yaonyesha kweli wamemjadili ZZK.

Kesho jaji asikilize shauri na kutoa hukumu kwa kimombo.
 
Dean, wana maanisha kuwa wao walisha ujadili uanachama wa zitto na walisha mvua uanachama kinyume na agizo la mahakama na hawajali litakalo tokea maana wao walisha fanya maamuzi.

Shirikisha ubongo hata kwa sekunde kiongozi,kwahyo hata wewe unaweza ukaenda mahakamani kuweka pingamizi ukihisi Invisible anaweza akafuta post/uzi y/wako?
 
Last edited by a moderator:
Kama ulivyosema ni kweli kwenye facebook page yake hakuna kitu kama hiki !

Lakini hata kama kingekuwepo, hivi kweli Zitto ni wa kumwamini na kuchukulia maneno yake at first value ? Kama yeye akisaidiwa na wapuuzi wenzake (Mkumbo na Mwigamba) wameweza kutunga shutuma nyingi za uongo kwa uongozi halali wa Chama ili tu kufanikisha malengo yake haramu ya kupata madaraka, atashindwaje kutunga uongo mwingine ?

Ngoja nikupe baadhi ya uongo wa wazi kabisa aliyeosema hadharani ambao hata wewe utakuwa unaujau !

1. Alisema ana majina ya walioficha mabilioni uswisi na atawataja --- Uongo wa wazi ili ajipatie umaarufu....

2. Alisema pale serena kwamba alijitoa kuwa signatory wa Chadema, (ili apate sifa kwamba yeye ni mtu safi hawezi kushiriki ufisadi) - Uongo wa wazi kweupe mchana kwani hakuwahi kuwa signatory !

Hivi kweli unaweza kumchukulia mtu huyu serious atakapotoa allegations (kama hizo hapo juu) kuhusu watu wengine ? Hivi Zitto ambaye yeye na watu wake hawaspare effort yeyete kumchafua Mbowe, Slaa na CDM kwa ujumla, angekuwa na hizo information kabla unafikiri angeacha kuzitumia against Mbowe ?

Uzuri ni kwamba yeye hajatoa hizo shutuma lakini hata kama angekuwa amezitoa, most probably zingekuwa fake !

kama hiyo thread ipo kwenye ukurasa wa zzk wa facebook mletaji atufafanulie huyo zzk ana kurasa ngapi maana nimemfollow cjaona kitu kama hicho. na kama ni kwelizzk amepost basi hakuna haja ya kuendelea kuwaamini wanasiasa kumbe wote wizi mtupu.
 
Huyu kaka hakuwa na haja ya kwenda mahakamani.Ameonyesha jinsi gani yupo weak bila CDM .Angeanzisha tu chama chake nadhani anepata wafuasi.Ila sasa ameonyesha udhaifu.Nadhani washauri wake wanampoteza.

Zzk ana chama tayari yupo na sisimizi mb. wa mahakama mwenzake kafulila chama chao kinaitwa CHAUMA.
 
mkuu MBWA WA MANZESE jaribu kumsoma lissu utagundua ninacho sema hapa.

LISSU ANASEMA KUWA ZITTO ANAENDELEA KUWA MWANA CHAMA KWA SABABU YA MAHAKAMA TUU. HAPA ANA JARIBU KUMAANISHA KUWA WAO KAMA CHADEMA WAME SHAUJADILI UANACHAMA WA ZITTO KINYUME NA AGIZO LA MAHAKAMA NA WAMESHA MVUA UANACHAMA.

HIVI KWANINI CHADEMA WAMEDHARAU AGIZO LA MAHAKAMA?

Jaribu kufikiri vizuri, Zitto alitakiwa ajitetee mbele ya kamati kuu kwa nini asifukuzwe kutokana na ule wa waraka, lakini yeye akakimbilia mahakamani uanachama wake usijadiliwe, lakini zuio la mahakama halifuti intention ya CC ya kumfukuza Zitto chamani kama angepatikana na hatia. Najua mapenzi yako kwa Zitto yanaweza kukufanya usione ukweli kwani kila mwanadamu ni victim wa mapenzi.
Lissu hakuna alichokosea alichozungumzia ni kuwa Zitto bado ni mwanachama wa CHADEMA kwa sababu za kimahakama lakini kama zisingekuwepo angeungana na wale wenzie wawili waliofukuzwa leo na shitaka lao lilikuwa moja.
 
we mhaya gani kilaza hjvyo sisi acha kutumika

si yumbishwi na kashifa zako. umeshindwa kujadili mada una jadili kabila langu.

TUKUBALIANE CHADEMA WAMEKIUKA AGIZO LA MAHAKAMA.
 
Chadema ni chama chenye ndoto za kushika dola na kilitegemewa kiwe chama cha kwanza kuheshimu amri za vyombo vya dola ikiwemo mahakama.

Sote tuna fahamu zitto kabwe aliweka zuio mahakamani dhidi ya kamati kuu ya chadema kujadili uanachama wake na kutokana na mwenendo wa shauri hilo mahakami, mahaka iliagiza chadema kutojadili uanachama wa mh zitto kabwe hadi mwisho wa shauri yani hukumu.

Siku ya ijumaa John Mnyika alionekana kwenye vyombo vya habari akisema hawatojadili uanachama wa zitto kutokana na agizo la mahakama na shauri linalo endelea.

Lakini cha ajabu leo kwenye kikao cha chadema na waandishi wa habari kilicho kuwa na lengo la kutoa na kueleza maazimio ya kamati kuu, wameonesha wazi kuwa wame kahidi agizo la mahakama na kuya dharau na ni wazi walijadili uanachama wa zitto.
Kurugenzi ya Habari imenukuu maneno yaliyo somwa na dr slaa ya kionesha kamati kuu imejadili uanachama wa zitto.
Na nukuu
" chama kina wataka wanachama wote na wapenzi wote kuto shiriki mikutano ,ama shughuli zozote za kisiasa zitakazo andaliwa na zitto kabwe na washirika wake kwa jina la chadema"

kwa hayo maneno hapo juu haihitaji kuwa profesa kuelewa kuwa chadema wamemjadili zitto pamoja na uanachama wake hivyo wame kahidi maagizo ya mahakama na kuyasigina kabisa kama hawatambui uwepo wake.

Hayo maneno yaliyo somwa na dr slaa leo yanaonesha kabisa chadema kuto heshimu mamlaka za nchi.

Wananchi wanatakiwa kujua hawa chadema mambo yanapo kwenda kombo kwa upande wao ndio huwa wa kwanza kusema wanaonewa.

Nimejiuliza kilicho wafanya chadema kuto subiri jumatatu baada ya hukumu ndio wajadili uanachama wa zitto?

Hivi kwanini mh Tundu Lissu unashindwa kuwa mshauri mzuri kwa chama chako?

Chadema kwa hili la leo ni dharau kubwa kwa mahakama.

Karibuni wana jamvi.
Tumewabamba hatujawabamba???Tumewa
bamba!!!Tena kinooooma."mtataga".
 
Last edited by a moderator:
Sijui Lissu alisoma cho gani.kitendo cha kuelezea hatima ya Zitto CHADEMA katika taarifa yake ya leo kitabadilisha maamuzi ya jaji.

lisu ni mlevi wa sheria na ameharibu mlengo wa kesi.

take from me.

usiku mwema.
 
Umeeleza vizuri sana, lakini sidhani kama Ruttashobolwa atakubaliana na wewe !

Mwanzoni nilifikiri haelewi nami nikabishana naye kwa posts kadhaa....baadaye nikaconclude kwamba hataki kuelewa kwa makusudi !

Jaribu kufikiri vizuri, Zitto alitakiwa ajitetee mbele ya kamati kuu kwa nini asifukuzwe kutokana na ule wa waraka, lakini yeye akakimbilia mahakamani uanachama wake usijadiliwe, lakini zuio la mahakama halifuti intention ya CC ya kumfukuza Zitto chamani kama angepatikana na hatia. Najua mapenzi yako kwa Zitto yanaweza kukufanya usione ukweli kwani kila mwanadamu ni victim wa mapenzi.
Lissu hakuna alichokosea alichozungumzia ni kuwa Zitto bado ni mwanachama wa CHADEMA kwa sababu za kimahakama lakini kama zisingekuwepo angeungana na wale wenzie wawili waliofukuzwa leo na shitaka lao lilikuwa moja.
 
Jaribu kufikiri vizuri, Zitto alitakiwa ajitetee mbele ya kamati kuu kwa nini asifukuzwe kutokana na ule wa waraka, lakini yeye akakimbilia mahakamani uanachama wake usijadiliwe, lakini zuio la mahakama halifuti intention ya CC ya kumfukuza Zitto chamani kama angepatikana na hatia. Najua mapenzi yako kwa Zitto yanaweza kukufanya usione ukweli kwani kila mwanadamu ni victim wa mapenzi.
Lissu hakuna alichokosea alichozungumzia ni kuwa Zitto bado ni mwanachama wa CHADEMA kwa sababu za kimahakama lakini kama zisingekuwepo angeungana na wale wenzie wawili waliofukuzwa leo na shitaka lao lilikuwa moja.

Huyu zzk anachelewesha ukombozi kweli,hatuna shida na ubunge wako zz endelea kuwa mb. Wa mahakama lakini sisi hatukutaki CDM mambo uliyoyafanya ya kuuza majimbo ili magamba yashinde ni mambo mabaya sana!
 
Sijui Lissu alisoma cho gani.kitendo cha kuelezea hatima ya Zitto CHADEMA katika taarifa yake ya leo kitabadilisha maamuzi ya jaji.

lisu ni mlevi wa sheria na ameharibu mlengo wa kesi.

take from me.

usiku mwema.

Mambo ya chadema hayakuhusu. Nenda kalalamike mahakamani na wewe.
 
acha wafu wawazike wafu wenzio siyo?
 
jaribu kufikiri vizuri, zitto alitakiwa ajitetee mbele ya kamati kuu kwa nini asifukuzwe kutokana na ule wa waraka, lakini yeye akakimbilia mahakamani uanachama wake usijadiliwe, lakini zuio la mahakama halifuti intention ya cc ya kumfukuza zitto chamani kama angepatikana na hatia. Najua mapenzi yako kwa zitto yanaweza kukufanya usione ukweli kwani kila mwanadamu ni victim wa mapenzi.
Lissu hakuna alichokosea alichozungumzia ni kuwa zitto bado ni mwanachama wa chadema kwa sababu za kimahakama lakini kama zisingekuwepo angeungana na wale wenzie wawili waliofukuzwa leo na shitaka lao lilikuwa moja.

msome dr slaa umuelewe.

Kama ulivyo sema anasema kama isingekuwa mahakama angeunganishwa na wenzie, lakini tukubaliane kuwa kauli hiyo ina maanisha walisha ujadili uanachama wake, kama sio mahakama na yeye wange mtangaza amefukuzwa kama wenzie.
Ka ame kwenda mbali zaidi kwa kusema wana chama wasi hudhurie mikutano yake aki maanisha hawamtambui kama mwana chama maana walisha ujadili uanachama wake na kumvua uanachama kinyume na agizo la mahakama.
 
"Wamejialibia", "take from me", "cho".
Uandishi wako unaonesha una upeo mdogo wa kufikiri.:thumbdown:
 
Back
Top Bottom